Watanzania tujifunze kukubali kuna vitu hatuwezi, tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?

Tafsiri yake hatukuwa na haja ya kumtoa Mkoloni.
Kama taifa kinashindwa kujiendesha au halina uwezo wa kuendesha mambo muhimu yakazaa matunda mpaka yakabidhi Watu wa mataifa mengine ni dhahiri nchi ya Watu milioni 60 inamidoli badala ya Watu.
Kumtoa mkoloni ilikua ni interest za wachache wanaonufaika na matunda ya Uhuru hata sasa
 
Tunashindwa sio kwasababu hatuna akili na plan za ku drive mambo yetu kwa mpangilio mzuri.
Tunaakili na uwezo mkubwatu wakufikiri mambo makubwa na mipango ya kila aina yenye manufaa kwa taifaletu.

Tatizoletu kubwa ni ubinafsi,rushwa, ufisadi na kukosa uzalendo.
 
Hohe hahe dhofulhali hatujiwezi kwa lolote zaid ya majungu uchawi ngono na mambo ya kipuuzi.

Ngoja Wanaume wanaojua kazi waje DPWorld



Karibu Akhui tupige kazi njooni mtuonyeshe jinsi mlivyoitoa Dubai kutoka Kijiji cha wazamia Pweza hadi kuwa Dunia ya kwanza. Karibu Akhui.
 
Mwarabu Hana akili hio ya kusimamia mambo hapo nyuma yake yupo mzungu
 

Solutions ni kuiondoa CCM. Tunahitaji chama kipya cha wazalendo kitakachowakilisha maslahi ya Taifa kuliko maslahi ya CCM.

Vyote hivyo vimeshindikana chini ya uongozi wa CCM. Sio chini ya Watanzania wote.

Wapewe nafasi na wengine sasa. Chama kipya, mawazo mapya, wabunifu, wenye uzalendo na watu wenye uchungu na rasilimali za nchi.
 
Kaz ya serikar ni kufatilia mambo kama haya na kuyatafutia ufumbuz either kubadil watumish au vifaa kwann zambia watumie 5 minutes maviongoz yetu yamekaa tu ofisin kila siku ziara uarabun cjui wanaenda kujfunza ujinga uko
 
Pia wakuu paskal mayala ni chawa wa serikali tuweni makin nae hili jambo ni la kitaifa tuungane kupaza sauti zetu kama watanzania kukataa swala la ubinafsishwaj wa bandar kwanza 25 rais na wabunge wa Ccm kura yangu hawapati.
 
Tatizo sio kuipa kampuni ya kingeni kuendesha bandari shida iko kwenye vipendele vya huo mkataba.
Kama kweli ndio huo unazunguka mtandaoni ambapo kuna kipengele kinasema mkataba hauwezi kuvunja hata kama wata breach contract, hata kama kuna kutoelewana baina ya nchi mbili na vipengele vingine vya ajabu hapo kwakweli kuna shida.
Kama mkataba ungekuwa unaeleweka sidhan kama kelele zingekuqa kubwa kiasi hiki.
 
Ndugai alisema kweli kukopa kopa kwa uyu mtu cku moja tutpigwa mnada, Mwigulu yeye kaz yake kucheka cheka tu na kwenda kukopa akitumwa kama mwehu flan
 
Mzee Sisi tutaweza lini kama Kila kitu ni kubinafisisha tu.

Privatización inaongeza gharama za maisha, that is why Leo hii tunasomesha watoto Kwa Ada kubwa kisa tumeshindwa kuwasimamia walimu wetu.
 
Tatizo wewe na hao wanaofanya maamuzi wanahisi mnamawazo bora, yaani nyinyi mnajua sana kuliko raia, nyinyi mmesoma sana na kuijua vizuri dunia.

Ukiona wewe huwezi; usihisi kila mtu awezi kama ulivyoshindwa wewe.

Tokeni madarakani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…