Watanzania tujifunze kukubali kuna vitu hatuwezi, tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?

Tafsiri yake hatukuwa na haja ya kumtoa Mkoloni.
Kama taifa kinashindwa kujiendesha au halina uwezo wa kuendesha mambo muhimu yakazaa matunda mpaka yakabidhi Watu wa mataifa mengine ni dhahiri nchi ya Watu milioni 60 inamidoli badala ya Watu.
Watanzania sote ( labda asilimia ndogo sana) ni mafisadi na wadhulumaji. kazi yetu kufikiri vipi kula mali zawatu wengine.
Kama una mchepuo ni mwizi
Muuza nyama anapunguza mezani mwizi
Wauza nyanya ,mihigo , viazi hutia majani na vitu vibovu kutapeli wengine.
Majaji , Polisi na wote wengine ndio hivyo hivyo.
Sasa hatuna tuna cho weza kufanya kusaidia raia.

Samahani kama nimekwaza mtu.
 
Mayala, unakumbuka kilichofanyika tulipowapa wahindi waendeshe TRC ?
Ndio kitakachotokea na DP shit.
Wait and see.
 
Jiwe ndio alikuwa mpigaji mkuu
 
GOOD WORK PASKALI
 
Unajisikiaje kama nchi huru yenye watu wenye afya njema ya akili na watu wanaojiita Wasomi wakiwa na vyuo Kikuu lukuki kutamka kuwa hawawezi kufanya mradi wowote ule na wanawategemea watu kutoka mataifa ya nje waje wawafanyie kila kitu, nyie mbakie kupiga porojo tu za PHD zenu kwenye vijiwe vya KAHAWA ?

Ndio utajisikia vizuri PASKALI ?
Utawezaje kujilinda baada ya hapo PASKALI ?
 

Kama majizi ni mengi kuliko waaminifu huna haja ya kuomba Msamaha
 
CCM ni chama cha watu wanaojitoa ufamu, kikiongoza jamii mfu ambayo haiwezi kuhoji kwa sauti inayosikika, (herding behavior), herding behavior is an occurrence of thoughtful people suspending their reasoning because of group objective or fear
 
Huu uzi ni uzi ambao mtu anatakiwa auelewe vizuri kabla hajawa u reply.. Umenichukua muda wa masaa kadhaa nikasema niuamkie alfajiri ili niusome na kuuelewa...

Hivyo basi niweze kusema Ndugu paskali uzi wako nimeuelewa vizuri...

Hii nchi inamatajiri ambao wangeweza kupewa baadhi ya miradi wangeiendesha vizuri na kodi ingerudi kwetu vizuri sana...

Sina haja ya kuandika sana ila Ndugu paskali umeeleweka kwa aliyetaka kukuelewa..

#SerikaliIkishindwaIrudiKwaWananchiKukiriImeshindwa
 
ubinafsishaji ni suala la kimkakati kufuatia zoezi la ufuatiliaji na tathmini yenye upembuzi wa kina,taarifa za kiitelenjesia na ushirikishwaji. ni mchakato. Tusiwe tunakurupuka. tutarudi kule kule soma kitabu cha Mkapa,makoss ya kubinafsisha. Yapo mashirika tulifaulu km TBL na yapo tui-fail a k viwanda vya nguo,urafiki,
 
Pointless kabisa...

Umeongea pumba kabisa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…