Watanzania tujifunze na kujadili hatma ya vizazi vyetu, hali ya nchi ni mbaya sana

Raisi ni mwanamke wewe unategemea nini? Alafu kazungukwa na wanaume kikweli kama samia ana chembe ya nidhamu aachie kiti mwanaume akae hapo.
 
Nchi imeoza mkuu nashangaa kuna watu wanawasikiliza akina msukuma na Lusinde, yaani hatari tupu ukijua yanayoendele Unaweza kulia
 
Tunaangamia kwa kukosa maarifa
 
"Njia pekee ambayo wananchi wataitumia katika kuzungumza au kujadiliana na watawala wao ambao ni madikteta ili kufikia muafaka wenye maslahi kwa pande zote mbili ni kwa KUPITIA MTUTU WA BUNDUKI".
By Jeff's O'Brien.
 
Na isiishie kujadili tuu !!! Maana inaweza isilete matokeo chanya !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…