Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Mada nzito kama hizi watu wanazipita tu kama hawazioni.
Ila wako tayari kujadilu umbea, so sad jamii ya kibongo hawajali tena ishu muhimu kama hizi until its too late
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mada nzito kama hizi watu wanazipita tu kama hawazioni.
Parts! Wewe ulitaka wajinyee humu!Mada nzito kama hizi watu wanazipita tu kama hawazioni.
Nchi imeoza mkuu nashangaa kuna watu wanawasikiliza akina msukuma na Lusinde, yaani hatari tupu ukijua yanayoendele Unaweza kuliaKuna mambo mengi ya hovyo yanaendelea nchini,
Bandari
Utalii
Madini
Mikopo ya kijinga
Ufisadi CAG report
Mfumuko wa bei n.k
Wanasiasa tumewapa dhamana kubwa ya kutuongoza ila nasikitika kusema wengi wa wanasiasa nchini Tanzania ni walafi, vibaraka na watumwa wa wageni.
Nasikitika kusema Rais ana uwezo mdogo sana wa kuongoza hii nchi, amezungukwa na wahuni wenye lengo la kunyonya nchi kadiri iwezekanavyo.
Inawezekana Rais hapendi haya yanayoendelea ila hana namna ya kutatua sababu wenye nguvu ya kuamua urais wake ndio wanaofanya kila namna kuinyonya hii nchi.
Wito wangu kwa watanzania wote, naomba tujadili namna kuikomboa nchi bila kutegemea wanasiasa, hatma ya vizazi vyetu ipo mikononi mwetu wote.
Wanasiasa wa sasa hawaaminiki na hata bunge haliaminiki.
Tunaangamia kwa kukosa maarifaKuna mambo mengi ya hovyo yanaendelea nchini,
Bandari
Utalii
Madini
Mikopo ya kijinga
Ufisadi CAG report
Mfumuko wa bei n.k
Wanasiasa tumewapa dhamana kubwa ya kutuongoza ila nasikitika kusema wengi wa wanasiasa nchini Tanzania ni walafi, vibaraka na watumwa wa wageni.
Nasikitika kusema Rais ana uwezo mdogo sana wa kuongoza hii nchi, amezungukwa na wahuni wenye lengo la kunyonya nchi kadiri iwezekanavyo.
Inawezekana Rais hapendi haya yanayoendelea ila hana namna ya kutatua sababu wenye nguvu ya kuamua urais wake ndio wanaofanya kila namna kuinyonya hii nchi.
Wito wangu kwa watanzania wote, naomba tujadili namna kuikomboa nchi bila kutegemea wanasiasa, hatma ya vizazi vyetu ipo mikononi mwetu wote.
Wanasiasa wa sasa hawaaminiki na hata bunge haliaminiki.
"Njia pekee ambayo wananchi wataitumia katika kuzungumza au kujadiliana na watawala wao ambao ni madikteta ili kufikia muafaka wenye maslahi kwa pande zote mbili ni kwa KUPITIA MTUTU WA BUNDUKI".Kuna mambo mengi ya hovyo yanaendelea nchini,