Watanzania Tujitokeze Kulaani na Kukemea Vikali kauli Chafu za Mdude Nyagali kwa Rais Wetu

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Nawaombeni Watanzania wenzangu na Wazalendo wa Taifa letu kujitokeza hadharani kulaani na kukemea vikali sana kauli Chafu za Mdude Nyagali kwa Rais wetu. Mtu huyu hatupaswi kumkalia kimya pasipo kutoa kauli na kumkemea pamoja na kumuonya vikali sana kuacha mara moja kutoa lugha chafu kwa Rais wetu.

Mtu huyu ambaye inaonyesha alikosa malezi mazuri utotoni mwake ameshajenga desturi na utamaduni wa hovyo na ambao haukubaliki hata kidogo.ambapo amekuwa akitoa lugha za udhalilishaji, kumshushia heshima Mheshimiwa Rais na Sasa amevuka mstari kuanza kutoa lugha za vitisho kwa Rais.

Inawezekana kwa akili yake na ulimbukeni wake,na kukosa kwake adabu na heshima akawa anafikiria labda anaongopwa au anaweza kufanya lolote lile au kutamka neno na maneno yoyote yale pasipo kuchukuliwa hatua kali za kisheria. Anaweza kuwa anafikiria wote wana akili za aina yake za kuunga mkono ujinga wake.

Watanzania hatupo tayari kumvumilia wala kuona mtu akimtishia Rais Wetu au kumtukana, kumfedhehesha au kumtweza utu wake au kumshushia heshima bila sababu. Ni lazima Rais wetu aheshimiwe na kama kukosolewa basi akosolewe kwa lugha za staha, adabu, heshima na zinazokubalika katika jamii yoyote ile iliyostaarabika.

Lugha na maneno mabaya anayotumia Mdude Nyagali kwa Rais wetu hayakubaliki na hayawezi kukubalika mahali popote pale hapa Duniani.hakuna anayeweza kuyavumilia maana hiyo siyo demokrasia wala misingi ya demokrasia. Haiwezekani kwake demokrasia iwe ni kumtukana na kumdhalilisha Rais wetu.

Hivyo natoa Rai kwa watanzania wote kukemea vikali sana lugha chafu za Mdude Nyagali anazoendelea kuzitoa zidi ya Rais wetu. Shambulizi na mashambulizi ya aina yoyote ile kwa Rais wetu mpendwa ni shambulizi kwetu sote watanzania na wazalendo wa Taifa letu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Luka kakaangu niazime LAKI basi, njaa itaniua mjini wakati nyie huko CCM mnajipakulia tu MINYAMA....

Angalau kalaki tu basi cha haraka haraka Kakaangu...

Cc: mshamba_mwingine Poor Brain
Kazi ni kipimo cha utu.kila siku huwa nakwambia kuwa fanya kazi kwa bidii ndugu yangu utaweza kuipata hela ya aina yoyote ile unayoihitaji.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nawaombeni Watanzania wenzangu na Wazalendo wa Taifa letu kujitokeza hadharani kulaani na kukemea vikali sana kauli Chafu za Mdude Nyagali kwa Rais wetu. Mtu huyu hatupaswi kumkalia kimya pasipo kutoa kauli na kumkemea pamoja na kumuonya vikali sana kuacha mara moja kutoa lugha chafu kwa Rais wetu.

Mtu huyu ambaye inaonyesha alikosa malezi mazuri utotoni mwake ameshajenga desturi na utamaduni wa hovyo na ambao haukubaliki hata kidogo.ambapo amekuwa akitoa lugha za udhalilishaji, kumshushia heshima Mheshimiwa Rais na Sasa amevuka mstari kuanza kutoa lugha za vitisho kwa Rais.

Inawezekana kwa akili yake na ulimbukeni wake,na kukosa kwake adabu na heshima akawa anafikiria labda anaongopwa au anaweza kufanya lolote lile au kutamka neno na maneno yoyote yale pasipo kuchukuliwa hatua kali za kisheria. Anaweza kuwa anafikiria wote wana akili za aina yake za kuunga mkono ujinga wake.

Watanzania hatupo tayari kumvumilia wala kuona mtu akimtishia Rais Wetu au kumtukana, kumfedhehesha au kumtweza utu wake au kumshushia heshima bila sababu. Ni lazima Rais wetu aheshimiwe na kama kukosolewa basi akosolewe kwa lugha za staha ,adabu,heshima na zinazokubalika katika jamii yoyote ile iliyostaarabika.

Lugha na maneno mabaya anayotumia Mdude Nyagali kwa Rais wetu hayakubaliki na hayawezi kukubalika mahali popote pale hapa Duniani.hakuna anayeweza kuyavumilia maana hiyo siyo demokrasia wala misingi ya demokrasia. Haiwezekani kwake demokrasia iwe ni kumtukana na kumdhalilisha Rais wetu.

Hivyo natoa Rai kwa watanzania wote kukemea vikali sana lugha chafu za Mdude Nyagali anazoendelea kuzitoa zidi ya Rais wetu. Shambulizi na mashambulizi ya aina yoyote ile kwa Rais wetu mpendwa ni shambulizi kwetu sote watanzania na wazalendo wa Taifa letu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Samia kama upo humu nisikilize, au kama kuna TEETH wowote mpelekeeni taarifa na msimshauri vibaya. MNAWAPA HAWA CHADEMA PUBLICITY UNNECESSARILY. mnapowakamata na kuwafanya vyovyote ndio mnawapa umaarufu, Gen z wanaona kama mnawaonea na wanazidi kuwaunga mkono. kama wanaandamana, acheni waandamane, pia acheni kuteka watu, mnatoa attention zisizo za lazima, na mnafanya Rais anachukiwa kirahisi mno.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nawaombeni Watanzania wenzangu na Wazalendo wa Taifa letu kujitokeza hadharani kulaani na kukemea vikali sana kauli Chafu za Mdude Nyagali kwa Rais wetu. Mtu huyu hatupaswi kumkalia kimya pasipo kutoa kauli na kumkemea pamoja na kumuonya vikali sana kuacha mara moja kutoa lugha chafu kwa Rais wetu.

Mtu huyu ambaye inaonyesha alikosa malezi mazuri utotoni mwake ameshajenga desturi na utamaduni wa hovyo na ambao haukubaliki hata kidogo.ambapo amekuwa akitoa lugha za udhalilishaji, kumshushia heshima Mheshimiwa Rais na Sasa amevuka mstari kuanza kutoa lugha za vitisho kwa Rais.

Inawezekana kwa akili yake na ulimbukeni wake,na kukosa kwake adabu na heshima akawa anafikiria labda anaongopwa au anaweza kufanya lolote lile au kutamka neno na maneno yoyote yale pasipo kuchukuliwa hatua kali za kisheria. Anaweza kuwa anafikiria wote wana akili za aina yake za kuunga mkono ujinga wake.

Watanzania hatupo tayari kumvumilia wala kuona mtu akimtishia Rais Wetu au kumtukana, kumfedhehesha au kumtweza utu wake au kumshushia heshima bila sababu. Ni lazima Rais wetu aheshimiwe na kama kukosolewa basi akosolewe kwa lugha za staha ,adabu,heshima na zinazokubalika katika jamii yoyote ile iliyostaarabika.

Lugha na maneno mabaya anayotumia Mdude Nyagali kwa Rais wetu hayakubaliki na hayawezi kukubalika mahali popote pale hapa Duniani.hakuna anayeweza kuyavumilia maana hiyo siyo demokrasia wala misingi ya demokrasia. Haiwezekani kwake demokrasia iwe ni kumtukana na kumdhalilisha Rais wetu.

Hivyo natoa Rai kwa watanzania wote kukemea vikali sana lugha chafu za Mdude Nyagali anazoendelea kuzitoa zidi ya Rais wetu. Shambulizi na mashambulizi ya aina yoyote ile kwa Rais wetu mpendwa ni shambulizi kwetu sote watanzania na wazalendo wa Taifa letu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ukoo wako unatosha kukemea mkisaidiana na mashetani yenu.
 
Kuna mtu anapendwa na watu wote?
Hata Yesu walimsulubu.
 
Mlaani mwenyewe na wapuuzi wenzako. Unafikiri wahusika hawajaona, una kiherehere chaa kijinga sana
 
Kujipendekeza pendekeza nako ni sumu.
 
Back
Top Bottom