Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilisema hata jana kuwa huyu mtu inatakiwa afunguliwe kesi ya uhaini .nashauri Jeshi imara la polisi kuchukua hatua kwa uhaini huu wa huyo kijana japo inafahamika ana matatizo ya afya ya akili kutokana na ubwiaji madawa ya kulevya 🐒
Itakuwa ni sawa na kuendeleza ujinga wake huo.Taja hizo kauli ambazo alizitamka
Tujenge utamaduni wa kuheshimianaUkijotokeza ww inatosha
Mbona nyie hamfanyi kazi ila mnajichotea pesa tu. Au nyie hamstahili kufanya kazi? Ispokuwa chadema tuKazi ni kipimo cha utu.kila siku huwa nakwambia kuwa fanya kazi kwa bidii ndugu yangu utaweza kuipata hela ya aina yoyote ile unayoihitaji.
Luca kesi ya uhaini sio kirahisi kam unavyowaza mtu afunguliwe kama hivyo. Kasome tena nini maana ya uhaini.Nilisema hata jana kuwa huyu mtu inatakiwa afunguliwe kesi ya uhaini .
Naifahamu vyema sana sheria hiyo na ndio maana nikasema kwa kauli zake za jana anapaswa kufunguliwa kesi ya uhaini.maana ametishia maisha ya Rais wetu mpendwa.Luca kesi ya uhaini sio kirahisi kam unavyowaza mtu afunguliwe kama hivyo. Kasome tena nini maana ya uhaini.
Ninyi endeleeni kumjaza ujinga wenu hapa. Tambua tu ya kuwa jinai anayoendelea kuitenda haikubaliki hata kidogo na muda utafika wa yeye kuwajibika kisheriaKwan mara ya kwanza nimekutana na mtu wa ovyo na mjinga ndani ya jf..
Bora ungekaa kimya kuficha upumbavu wako,,tuache kukemea tabia za uchawa sabb mnakiuka law of work "mnavuna msichopanda sabb ya uchawa wenu" unataka tumkemeee mdude shujaa anaepambania wanyonge na kuwaambia viongoz udhaifu wao wazwaz..
Mdude yule hata mumuue Sina shaka hana hofu kabisa akilin mwake anakumbuka hata Yesu Masih alishasema "msiwaogope hao wauao mwili kisha baada ya hapo hakuna wanachoweza kufanya..."
Mdude endeelea kupambanua haki za watanzania dhidi ya hao dhulmati..
Utamfanyeje mkuu??ila huyu jamaa binafsi kutoka moyoni namchukia kuliko mavi ila tu simjui na sijawahi kumuona shoga huyu sijui atakua na muonekano gani maandiko yake yanatia kinyaa mnoIkitokea nmekutana na wewe mtaani yafiche makalio Yako.
(Sio Kwa chuki ila kutokomeza kizazi kibaya kijacho)
Ushauri wangu wa bure ni kuwa ungekunywa sumu UFE kabisa na kutoweka hapa Duniani,maana huna faida yoyote ile na hakuna atakaye sikitika ukifa.Utamfanyeje mkuu??ila huyu jamaa binafsi kutoka moyoni namchukia kuliko mavi ila tu simjui na sijawahi kumuona shoga huyu sijui atakua na muonekano gani maandiko yake yanatia kinyaa mno
Watanzania siyo wajinga kama ulivyo wewe na Mdude.Mdudue yuko sahihi sana. Binafsi nashauri watanzania wajitokeze kuunga mkono kauli za Mdude.
Ndugu zangu Watanzania,
Nawaombeni Watanzania wenzangu na Wazalendo wa Taifa letu kujitokeza hadharani kulaani na kukemea vikali sana kauli Chafu za Mdude Nyagali kwa Rais wetu. Mtu huyu hatupaswi kumkalia kimya pasipo kutoa kauli na kumkemea pamoja na kumuonya vikali sana kuacha mara moja kutoa lugha chafu kwa Rais wetu.
Mtu huyu ambaye inaonyesha alikosa malezi mazuri utotoni mwake ameshajenga desturi na utamaduni wa hovyo na ambao haukubaliki hata kidogo.ambapo amekuwa akitoa lugha za udhalilishaji, kumshushia heshima Mheshimiwa Rais na Sasa amevuka mstari kuanza kutoa lugha za vitisho kwa Rais.
Inawezekana kwa akili yake na ulimbukeni wake,na kukosa kwake adabu na heshima akawa anafikiria labda anaongopwa au anaweza kufanya lolote lile au kutamka neno na maneno yoyote yale pasipo kuchukuliwa hatua kali za kisheria. Anaweza kuwa anafikiria wote wana akili za aina yake za kuunga mkono ujinga wake.
Watanzania hatupo tayari kumvumilia wala kuona mtu akimtishia Rais Wetu au kumtukana, kumfedhehesha au kumtweza utu wake au kumshushia heshima bila sababu. Ni lazima Rais wetu aheshimiwe na kama kukosolewa basi akosolewe kwa lugha za staha ,adabu,heshima na zinazokubalika katika jamii yoyote ile iliyostaarabika.
Lugha na maneno mabaya anayotumia Mdude Nyagali kwa Rais wetu hayakubaliki na hayawezi kukubalika mahali popote pale hapa Duniani.hakuna anayeweza kuyavumilia maana hiyo siyo demokrasia wala misingi ya demokrasia. Haiwezekani kwake demokrasia iwe ni kumtukana na kumdhalilisha Rais wetu.
Hivyo natoa Rai kwa watanzania wote kukemea vikali sana lugha chafu za Mdude Nyagali anazoendelea kuzitoa zidi ya Rais wetu. Shambulizi na mashambulizi ya aina yoyote ile kwa Rais wetu mpendwa ni shambulizi kwetu sote watanzania na wazalendo wa Taifa letu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Usinifananishe na Mdude Nyagali.huko ni kunidhalilisha mimi.Niliwahi kukwambia, wewe na Mdude hamna tofaut yoyote
Inapofikia hatua ya kuona ugali wenu unawekwa mchanga
Kila mmoja anakuja mbio kutetea anachokiona ni sawa
Mdude anatetea ugali wake because viongozi wake wote wako jela sasa hivi, so ndio maana anaongea ambayo anaongea
Na wewe anatetea ugali wako because viongozi wako wameongelewa vibaya na Mdude
I think mnatakiwa kuheshimiana ili kila mtu ale ugali wake vizuri na apate posho yake vizuri kabisa bila tabu