Watanzania Tujitokeze Kulaani na Kukemea Vikali kauli Chafu za Mdude Nyagali kwa Rais Wetu

Ndugu zangu Watanzania,

Nawaombeni Watanzania wenzangu na Wazalendo wa Taifa letu kujitokeza hadharani kulaani na kukemea vikali sana kauli Chafu za Mdude Nyagali kwa Rais wetu. Mtu huyu hatupaswi kumkalia kimya pasipo kutoa kauli na kumkemea pamoja na kumuonya vikali sana kuacha mara moja kutoa lugha chafu kwa Rais wetu.

Mtu huyu ambaye inaonyesha alikosa malezi mazuri utotoni mwake ameshajenga desturi na utamaduni wa hovyo na ambao haukubaliki hata kidogo.ambapo amekuwa akitoa lugha za udhalilishaji, kumshushia heshima Mheshimiwa Rais na Sasa amevuka mstari kuanza kutoa lugha za vitisho kwa Rais.

Inawezekana kwa akili yake na ulimbukeni wake,na kukosa kwake adabu na heshima akawa anafikiria labda anaongopwa au anaweza kufanya lolote lile au kutamka neno na maneno yoyote yale pasipo kuchukuliwa hatua kali za kisheria. Anaweza kuwa anafikiria wote wana akili za aina yake za kuunga mkono ujinga wake.

Watanzania hatupo tayari kumvumilia wala kuona mtu akimtishia Rais Wetu au kumtukana, kumfedhehesha au kumtweza utu wake au kumshushia heshima bila sababu. Ni lazima Rais wetu aheshimiwe na kama kukosolewa basi akosolewe kwa lugha za staha ,adabu,heshima na zinazokubalika katika jamii yoyote ile iliyostaarabika.

Lugha na maneno mabaya anayotumia Mdude Nyagali kwa Rais wetu hayakubaliki na hayawezi kukubalika mahali popote pale hapa Duniani.hakuna anayeweza kuyavumilia maana hiyo siyo demokrasia wala misingi ya demokrasia. Haiwezekani kwake demokrasia iwe ni kumtukana na kumdhalilisha Rais wetu.

Hivyo natoa Rai kwa watanzania wote kukemea vikali sana lugha chafu za Mdude Nyagali anazoendelea kuzitoa zidi ya Rais wetu. Shambulizi na mashambulizi ya aina yoyote ile kwa Rais wetu mpendwa ni shambulizi kwetu sote watanzania na wazalendo wa Taifa letu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe wazazi wako walizaa hasara tupu
 
Naifahamu vyema sana sheria hiyo na ndio maana nikasema kwa kauli zake za jana anapaswa kufunguliwa kesi ya uhaini.maana ametishia maisha ya Rais wetu mpendwa.
Acha uongo . Angekuwa ametishia maisha ya rais immediately angekuwa amewekwa kizuizini maana anajulikana alipo. Punguza chuki na upande wa pili na ujue in longrun what u are doin (boot licking) won't paying you off
 
Panic mode, issue ya GenZ wa Kenya imefanya viongozi wengi wa Africa kuwa kwenye panic mode.

Ulaya, America, Asia nk ambako kuna maisha mazuri na matumaini ya watu kuishi bado kuna UPINZANI.
Siasa za upinzani zimeikuta CCM Iko offguard.
Vijana wa Tanzania wana imani kubwa sana tena sana na serikali ya CCM,kwa sababu wameona namna ilivyo Sikivu kwao,kuwapa mahitaji yao pamoja na kuwatengenezea fursa mbalimbali za ajira na kuwawezesha mitaji kwa ajili ya kufungua na kuanzisha shughuli za kiuchumi.
 
Acha uongo . Angekuwa ametishia maisha ya rais immediately angekuwa amewekwa kizuizini maana anajulikana alipo. Punguza chuki na upande wa pili na ujue in longrun what u are doin (boot licking) won't paying you off
Umeona Alichokiandika siku ya jana? Au unakurupuka tu bila kujua Alichokiandika na kukisema?
 
Huo ndio ukweli ambao hutaki kukubari

Hayo maneno uliyoandika, let's say angeandika Mdude ungesema ni mgonjwa wa akili

Ila because umeandika ww then unaona ni Sawa kabisa
Akili yangu haiwezi kulingana na mdude hata kidogo.ni sawa na kichuguu na mlima.mimi ni mlima na mdude ni kama kakichuguu tu
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nawaombeni Watanzania wenzangu na Wazalendo wa Taifa letu kujitokeza hadharani kulaani na kukemea vikali sana kauli Chafu za Mdude Nyagali kwa Rais wetu. Mtu huyu hatupaswi kumkalia kimya pasipo kutoa kauli na kumkemea pamoja na kumuonya vikali sana kuacha mara moja kutoa lugha chafu kwa Rais wetu.

Mtu huyu ambaye inaonyesha alikosa malezi mazuri utotoni mwake ameshajenga desturi na utamaduni wa hovyo na ambao haukubaliki hata kidogo.ambapo amekuwa akitoa lugha za udhalilishaji, kumshushia heshima Mheshimiwa Rais na Sasa amevuka mstari kuanza kutoa lugha za vitisho kwa Rais.

Inawezekana kwa akili yake na ulimbukeni wake,na kukosa kwake adabu na heshima akawa anafikiria labda anaongopwa au anaweza kufanya lolote lile au kutamka neno na maneno yoyote yale pasipo kuchukuliwa hatua kali za kisheria. Anaweza kuwa anafikiria wote wana akili za aina yake za kuunga mkono ujinga wake.

Watanzania hatupo tayari kumvumilia wala kuona mtu akimtishia Rais Wetu au kumtukana, kumfedhehesha au kumtweza utu wake au kumshushia heshima bila sababu. Ni lazima Rais wetu aheshimiwe na kama kukosolewa basi akosolewe kwa lugha za staha ,adabu,heshima na zinazokubalika katika jamii yoyote ile iliyostaarabika.

Lugha na maneno mabaya anayotumia Mdude Nyagali kwa Rais wetu hayakubaliki na hayawezi kukubalika mahali popote pale hapa Duniani.hakuna anayeweza kuyavumilia maana hiyo siyo demokrasia wala misingi ya demokrasia. Haiwezekani kwake demokrasia iwe ni kumtukana na kumdhalilisha Rais wetu.

Hivyo natoa Rai kwa watanzania wote kukemea vikali sana lugha chafu za Mdude Nyagali anazoendelea kuzitoa zidi ya Rais wetu. Shambulizi na mashambulizi ya aina yoyote ile kwa Rais wetu mpendwa ni shambulizi kwetu sote watanzania na wazalendo wa Taifa letu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Anastahili na bado
 
Tunalaani jeshi la polisi kuwakamata na kuwaweka kizuizini wanachama wetu 427 bila kuwaeleza makosa yao.
 
..
 
Attachments

  • downloadfile-36.jpg
    downloadfile-36.jpg
    186.4 KB · Views: 1

Luca nashida na million moja chap nichomolee kwenye zile unazopewaga plz 😭😭😭
 
Back
Top Bottom