Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Umekula lakini wewe kichaa? nikianza usilaumu mtuAcha ujinga wako dogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekula lakini wewe kichaa? nikianza usilaumu mtuAcha ujinga wako dogo.
Niko nasoma maoni tu badiko lake ni kama linanukaHii mada unaileta mara ya tatu na watu wameipuuza.
Ila wewe mnafki Muongo na mzandiki Ndio ulipata malezi mazuri utotoni?Ndugu zangu Watanzania,
Nawaombeni Watanzania wenzangu na Wazalendo wa Taifa letu kujitokeza hadharani kulaani na kukemea vikali sana kauli Chafu za Mdude Nyagali kwa Rais wetu. Mtu huyu hatupaswi kumkalia kimya pasipo kutoa kauli na kumkemea pamoja na kumuonya vikali sana kuacha mara moja kutoa lugha chafu kwa Rais wetu.
Mtu huyu ambaye inaonyesha alikosa malezi mazuri utotoni mwake ameshajenga desturi na utamaduni wa hovyo na ambao haukubaliki hata kidogo.ambapo amekuwa akitoa lugha za udhalilishaji, kumshushia heshima Mheshimiwa Rais na Sasa amevuka mstari kuanza kutoa lugha za vitisho kwa Rais.
Inawezekana kwa akili yake na ulimbukeni wake,na kukosa kwake adabu na heshima akawa anafikiria labda anaongopwa au anaweza kufanya lolote lile au kutamka neno na maneno yoyote yale pasipo kuchukuliwa hatua kali za kisheria. Anaweza kuwa anafikiria wote wana akili za aina yake za kuunga mkono ujinga wake.
Watanzania hatupo tayari kumvumilia wala kuona mtu akimtishia Rais Wetu au kumtukana, kumfedhehesha au kumtweza utu wake au kumshushia heshima bila sababu. Ni lazima Rais wetu aheshimiwe na kama kukosolewa basi akosolewe kwa lugha za staha, adabu, heshima na zinazokubalika katika jamii yoyote ile iliyostaarabika.
Lugha na maneno mabaya anayotumia Mdude Nyagali kwa Rais wetu hayakubaliki na hayawezi kukubalika mahali popote pale hapa Duniani.hakuna anayeweza kuyavumilia maana hiyo siyo demokrasia wala misingi ya demokrasia. Haiwezekani kwake demokrasia iwe ni kumtukana na kumdhalilisha Rais wetu.
Hivyo natoa Rai kwa watanzania wote kukemea vikali sana lugha chafu za Mdude Nyagali anazoendelea kuzitoa zidi ya Rais wetu. Shambulizi na mashambulizi ya aina yoyote ile kwa Rais wetu mpendwa ni shambulizi kwetu sote watanzania na wazalendo wa Taifa letu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Matusi yapi hayo?Tangia lini matusi yakawa ndio uhuru? Yaani utukane watu matusi halafu useme ndio uhuru huo?
😃😃😃Acha ujinga dogoIla wewe kichwa ngumu nitakuja nikuumize mara moja
Acha ujinga wakoIla wewe mnafki Muongo na mzandiki Ndio ulipata malezi mazuri utotoni?
nafsi naona bora anaeonyesha sura yake wazi wazi kuliko wewe unaemla mama kisogo.
Mjinga wewe umeachiwa modem sahivi wakati wa kufunga ofisi😃😃😃Acha ujinga dogo
Weka kwanza hizo kauliNdugu zangu Watanzania,
Nawaombeni Watanzania wenzangu na Wazalendo wa Taifa letu kujitokeza hadharani kulaani na kukemea vikali sana kauli Chafu za Mdude Nyagali kwa Rais wetu. Mtu huyu hatupaswi kumkalia kimya pasipo kutoa kauli na kumkemea pamoja na kumuonya vikali sana kuacha mara moja kutoa lugha chafu kwa Rais wetu.
Mtu huyu ambaye inaonyesha alikosa malezi mazuri utotoni mwake ameshajenga desturi na utamaduni wa hovyo na ambao haukubaliki hata kidogo.ambapo amekuwa akitoa lugha za udhalilishaji, kumshushia heshima Mheshimiwa Rais na Sasa amevuka mstari kuanza kutoa lugha za vitisho kwa Rais.
Inawezekana kwa akili yake na ulimbukeni wake,na kukosa kwake adabu na heshima akawa anafikiria labda anaongopwa au anaweza kufanya lolote lile au kutamka neno na maneno yoyote yale pasipo kuchukuliwa hatua kali za kisheria. Anaweza kuwa anafikiria wote wana akili za aina yake za kuunga mkono ujinga wake.
Watanzania hatupo tayari kumvumilia wala kuona mtu akimtishia Rais Wetu au kumtukana, kumfedhehesha au kumtweza utu wake au kumshushia heshima bila sababu. Ni lazima Rais wetu aheshimiwe na kama kukosolewa basi akosolewe kwa lugha za staha, adabu, heshima na zinazokubalika katika jamii yoyote ile iliyostaarabika.
Lugha na maneno mabaya anayotumia Mdude Nyagali kwa Rais wetu hayakubaliki na hayawezi kukubalika mahali popote pale hapa Duniani.hakuna anayeweza kuyavumilia maana hiyo siyo demokrasia wala misingi ya demokrasia. Haiwezekani kwake demokrasia iwe ni kumtukana na kumdhalilisha Rais wetu.
Hivyo natoa Rai kwa watanzania wote kukemea vikali sana lugha chafu za Mdude Nyagali anazoendelea kuzitoa zidi ya Rais wetu. Shambulizi na mashambulizi ya aina yoyote ile kwa Rais wetu mpendwa ni shambulizi kwetu sote watanzania na wazalendo wa Taifa letu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mjinga ni wewe,ambae anamsifia mama Samia wakati unajua hakuna analolifanya duniani hapaAcha ujinga wako
Itakuwa ni kuendeleza ujinga wake kuusambaza.Weka kwanza hizo kauli
Tusikubali watu waliokosa adabu aina ya Mdude Nyagali kumdhalilisha Rais wetuWewe kibaraka wa uovu ndio ulaniwe.
Itakuwa wewe ni kipofu wa akili na macho.Mjinga ni wewe,ambae anamsifia mama Samia wakati unajua hakuna analolifanya duniani hapa
4R tu alizozianzisha yeye zimemshinda😂😂😂 ,amebaki na kamata kamata tuuuItakuwa wewe ni kipofu wa akili na macho.
Tii sheria bila shuruti.ukikiuka sheria ni lazima ushughulikiwe bila kujali ukubwa wa jina lako.4R tu alizozianzisha yeye zimemshinda😂😂😂 ,amebaki na kamata kamata tuuu
Ndio Maana ya 4R hiyo sio, watu wasije Mbeya kwetu huku kisa nyie mmeshindwa kuvumilia.Tii sheria bila shuruti.ukikiuka sheria ni lazima ushughulikiwe bila kujali ukubwa wa jina lako.
Muwe na adabu kwa Mheshimiwa Rais hata kama mlikosa malezi ya wazazi wenu.asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na Ulimwengu.
Hajitambui tu na amekosa malezi mazuri utotoni mwake ndio sababu hana adabu wala hekima.Mdude mbishi yule alipambana na magufuli sio mchezo