Watanzania Tujitokeze Kulaani na Kukemea Vikali kauli Chafu za Mdude Nyagali kwa Rais Wetu

Ndugu zangu Watanzania,

Nawaombeni Watanzania wenzangu na Wazalendo wa Taifa letu kujitokeza hadharani kulaani na kukemea vikali sana kauli Chafu za Mdude Nyagali kwa Rais wetu. Mtu huyu hatupaswi kumkalia kimya pasipo kutoa kauli na kumkemea pamoja na kumuonya vikali sana kuacha mara moja kutoa lugha chafu kwa Rais wetu.

Mtu huyu ambaye inaonyesha alikosa malezi mazuri utotoni mwake ameshajenga desturi na utamaduni wa hovyo na ambao haukubaliki hata kidogo.ambapo amekuwa akitoa lugha za udhalilishaji, kumshushia heshima Mheshimiwa Rais na Sasa amevuka mstari kuanza kutoa lugha za vitisho kwa Rais.

Inawezekana kwa akili yake na ulimbukeni wake,na kukosa kwake adabu na heshima akawa anafikiria labda anaongopwa au anaweza kufanya lolote lile au kutamka neno na maneno yoyote yale pasipo kuchukuliwa hatua kali za kisheria. Anaweza kuwa anafikiria wote wana akili za aina yake za kuunga mkono ujinga wake.

Watanzania hatupo tayari kumvumilia wala kuona mtu akimtishia Rais Wetu au kumtukana, kumfedhehesha au kumtweza utu wake au kumshushia heshima bila sababu. Ni lazima Rais wetu aheshimiwe na kama kukosolewa basi akosolewe kwa lugha za staha ,adabu,heshima na zinazokubalika katika jamii yoyote ile iliyostaarabika.

Lugha na maneno mabaya anayotumia Mdude Nyagali kwa Rais wetu hayakubaliki na hayawezi kukubalika mahali popote pale hapa Duniani.hakuna anayeweza kuyavumilia maana hiyo siyo demokrasia wala misingi ya demokrasia. Haiwezekani kwake demokrasia iwe ni kumtukana na kumdhalilisha Rais wetu.

Hivyo natoa Rai kwa watanzania wote kukemea vikali sana lugha chafu za Mdude Nyagali anazoendelea kuzitoa zidi ya Rais wetu. Shambulizi na mashambulizi ya aina yoyote ile kwa Rais wetu mpendwa ni shambulizi kwetu sote watanzania na wazalendo wa Taifa letu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Nadhani tatizo la malezi Kwa wazazi wako walipuyanga sana Lukas haiwezekan ulelewe vyema then uwe chawa inasikitisha mno.
 
Mlaani mwenyewe na wapuuzi wenzako. Unafikiri wahusika hawajaona, una kiherehere chaa kijinga sana
Hakuna mwenye akili Timamu anayeweza kuunga mkono kauli na lugha chafu za Mdude Nyagali.hiyo siyo demokrasia wala uhuru wa maoni.kila kitu kina mipaka yake.
 
Je, uchawa una mipaka au hauna mipaka? Mipaka ya uchawa umeshaivuka au bado?

NB: Hakuna binadamu aliyepata malezi bora toka kwa wazazi na jamii yake, halafu akaishia kuwa chawa. Kuwa chawa ni lazima kwanza ukose malezi bora, pili uwe na upungufu wa akili, na mwisho kabisa uwe umekata tamaa ya maisha.
 
Exactly 💯 💯 💯

Lukas Nina wasi wasi na jinsia yake. Tangu ulimwengu huu uumbwe sijawahi ona mwanaume makini Kawa chawa sijawahi
 
Nchi inadaiwa trillion 2+ kwa kuvunja mkataba wa gas ww unaleta habari za mdude we ni jinga kbsa,
Mdude ni nani katika nchi hii mdude anamadhara au anadhari gan ktk nchi hii.

Umeandika uzi mrefu ulojaa pumba na mavi mavi tu

Mungu ndo muumba wa binaadam lakin bado binadamu wanamkashifu na wengne wanamkata ije kua uyo kiongozi wako
Huwezi penda na kila mtu ata mohammad na Yesu walileta uokovu ila binadamu wanadhihaki
 
Je, uchawa una mipaka au hauna mipaka? Mipaka ya uchawa umeshaivuka au bado?

NB: Hakuna binadamu aliyepata malezi bora toka kwa wazazi na jamii yake, halafu akaishia kuwa chawa. Kuwa chawa ni lazima kwanza ukose malezi bora, pili uwe na upungufu wa akili, na mwisho kabisa uwe umekata tamaa ya maisha.
Mimi siyo chawa.mimi ni msema kweli
 
Samia anaiharibia Tanzania heshima yoyote iliyobaki kimataifa.

Na anajiharibia hadithi yake kwamba yeye ni reformer anayerekebisha pale alipoharibu Magufuli.

Leo nilikuwa nasikiliza BBC World Service, nimesikia wametangaza habari kwamba Tundu Lissu na wenzake wamekamatwa wakiwa wanaenda kwenye mkutano.

Tanzania inaanikwa kama repressive police state.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nawaombeni Watanzania wenzangu na Wazalendo wa Taifa letu kujitokeza hadharani kulaani na kukemea vikali sana kauli Chafu za Mdude Nyagali kwa Rais wetu. Mtu huyu hatupaswi kumkalia kimya pasipo kutoa kauli na kumkemea pamoja na kumuonya vikali sana kuacha mara moja kutoa lugha chafu kwa Rais wetu.

Mtu huyu ambaye inaonyesha alikosa malezi mazuri utotoni mwake ameshajenga desturi na utamaduni wa hovyo na ambao haukubaliki hata kidogo.ambapo amekuwa akitoa lugha za udhalilishaji, kumshushia heshima Mheshimiwa Rais na Sasa amevuka mstari kuanza kutoa lugha za vitisho kwa Rais.

Inawezekana kwa akili yake na ulimbukeni wake,na kukosa kwake adabu na heshima akawa anafikiria labda anaongopwa au anaweza kufanya lolote lile au kutamka neno na maneno yoyote yale pasipo kuchukuliwa hatua kali za kisheria. Anaweza kuwa anafikiria wote wana akili za aina yake za kuunga mkono ujinga wake.

Watanzania hatupo tayari kumvumilia wala kuona mtu akimtishia Rais Wetu au kumtukana, kumfedhehesha au kumtweza utu wake au kumshushia heshima bila sababu. Ni lazima Rais wetu aheshimiwe na kama kukosolewa basi akosolewe kwa lugha za staha ,adabu,heshima na zinazokubalika katika jamii yoyote ile iliyostaarabika.

Lugha na maneno mabaya anayotumia Mdude Nyagali kwa Rais wetu hayakubaliki na hayawezi kukubalika mahali popote pale hapa Duniani.hakuna anayeweza kuyavumilia maana hiyo siyo demokrasia wala misingi ya demokrasia. Haiwezekani kwake demokrasia iwe ni kumtukana na kumdhalilisha Rais wetu.

Hivyo natoa Rai kwa watanzania wote kukemea vikali sana lugha chafu za Mdude Nyagali anazoendelea kuzitoa zidi ya Rais wetu. Shambulizi na mashambulizi ya aina yoyote ile kwa Rais wetu mpendwa ni shambulizi kwetu sote watanzania na wazalendo wa Taifa letu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
nashauri Jeshi imara la polisi kuchukua hatua kwa uhaini huu wa huyo kijana japo inafahamika ana matatizo ya afya ya akili kutokana na ubwiaji madawa ya kulevya 🐒
 
WeKa hapamfano wa hayo maneno machafu,aliyetukanwa yuko kimya we chawa unaumia
 
Back
Top Bottom