Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,951
- 9,977
Kweli mkuu wamejitia kitanzi Kwa tai zao. Mategemeo Yao kwamba mtaburuzwa ICSID na MIGA na kulipa mabilioni yameyeyuka. Roho zinawapasuka mchana kweupeWazee wa MIGa mnakufa na tai shingoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuu wamejitia kitanzi Kwa tai zao. Mategemeo Yao kwamba mtaburuzwa ICSID na MIGA na kulipa mabilioni yameyeyuka. Roho zinawapasuka mchana kweupeWazee wa MIGa mnakufa na tai shingoni
Yaani wewe katika vipengele vyote vile vya makubaliano umeona hiyo $300m tu? Halafu ukiitwa nyumbu au lofa unakasirika. Samahani kama nimetumia lugha isiyopendeza lakini....Maamuzi hayo ni pale mwizi wetu alipoona stahili yetu ni $300m tena za uaminifu...
Kweli mkuu wamejitia kitanzi Kwa tai zao. Mategemeo Yao kwamba mtaburuzwa ICSID na MIGA na kulipa mabilioni yameyeyuka. Roho zinawapasuka mchana kweupe
Mkuu tafadhali USIPOTOSHE Umma. MCC HATUKUIKATAA ila ni wao WENYEWE walisitisha misaada yao kutokana na sababu zao.
Kuhusu MAKUBALIANO na hao wawekezaji na kukubali kutulipa hizo pesa huoni kwamba serikali ya awamu ya 5 IMEJARIBU sana?
USIPOFURAHIA hayo basi wewe si MZALENDO wa nchi hii.
Katika mazungumuzo kama haya kilichozingatiwa ni WIN WIN situation/Kila UPANDE usimuumize mwingine.
Maana BADO tungali TUNAHITAJIANA.
Na usipoelewa haya itakuwa ni vigumu kukusaidia.
Mwisho wa siku hiyo $300m haki yetu sio haki yetu!?
Mkuu sijapotosha popote, pesa za MCC zilitaka sisi tutii demokrasia lakini kilichofanyika ccm waliona bora sifa na madaraka kwa chama chao kuliko maslahi ya taifa. Kumbuka tatizo ilikuwa ni uchaguzi wa Znz. Je kilichofanyika Znz kilikuwa sawa kwa taifa au ilikuwa kwa ccm?
Anyway tuache hayo naona ww kutopendezwa kwani ukweli unauma. Tuje kwenye hiki kilichofanyika sasa. Hakijanifurahisha wala kunikasirisha bali kimenishangaza. Hao jamaa kumbuka ni wezi baada ya tathmini ya kina kupitia tune zetu chini ya wataalamu mahiri, huku taasisi yetu ya kodi ikiweka malipo stahiki dhidi ya wezi wetu. Sasa mwizi wetu anapotupa malipo ya matumizi ya serekali ya mwezi mmoja ni utani wa mchana kweupe. Haya mnasema kwamba kuna makubaliano ya 50/50, je hiyo ni gawio la faida tu au haya na sisi tunachangia uendeshaji. Huoni hao jamaa kutupa $300m hawajapoteza chochote kwani watazipata hapohapo kwenye uchimbaji? Tungepoteza nini kama tungerekebisha denikrasia tukapokea hela za MCC na leo tukapokea hicho kifumba macho mwizi aendelee kushirikiana na sisi kumalizia madini yaliyobaki?
Kwanza napenda kupongeza taarifa iliyotolewa leo baada ya majadiliano ya karibia miezi miwili na Barrick. Tumepata tulichopata na makubaliano mengine ambayo itabidi tusubiri kuona faida yake huko mbeleni. Nirejee kwenye mada, wote tunajua mwaka jana tuligomea msaada wa MCC wa dola 450m za bure kwa sababu hatukutaka msaada wa masharti. Ni kweli pesa zile tulizokosa kwa kushindwa tu kutumia busara ya kidiplomasia kwa makosa yetu ya kudharau demokrasia. Kwa bahati siku nazo hazigandi. Tukapata tume mbili zilizoshiba uzalendo zikachunguza wizi wa madini yetu hasa dhahabu. Tume zikafanya kazi kwa uzalendo kabisa na kutuletea data zisizoacha shaka kwa wizi tuliofanyiwa. Taasisi yetu ya mapato ikakokotoa wizi tuliofanyiwa ikakuta tunadai $190b zisizoacha shaka.
Leo hii wengine tunaukumbuka baadhi ya mambo tumepigwa na butwaa kwa kusikia mazungumzo ya wezi wetu wa Barrick yamefikia mwisho mwisho, lakini ni kama maamuzi halisi yameshatolewa. Maamuzi hayo ni pale mwizi wetu alipoona stahili yetu ni $300m tena za uaminifu kwamba yeye sio mwizi, na hizo atazitoa baada ya bodi yao huko London kuridhia! Watanzania tukalipuka kwa shangwe kwamba mwizi kanyoosha mikono. Wengine sisi tukaamua kwenda mbali zaidi na kujiuliza, iweje mwaka tu ulioisha tugomee $450m za bure kisha tuheshimu demokrasia, lakini tukubali $300m toka kwa mwizi tuliye na ushahidi nao mwaka mmoja mbele? Hapa hatunyoosheani vidole, lakini watanzania na waliochukua maamuzi hayo wametumia busara? Je hali hii ya kushindwa kupokea hela za bure kisha tuheshimu demokrasia na kupokea $300m toka kwa mwizi ipi ni maamuzi ya busara? Mawazo yoyote ni sawa kwani hii ndio demokrasia
CC: Paskali Mayalla, Quinine, Yehodaya, Jingalao, Mwigulu Nchemba, Zitto Junior
Itabidi ukazichukue kwa niaba yetu mkuuKwanza napenda kupongeza taarifa iliyotolewa leo baada ya majadiliano ya karibia miezi miwili na Barrick. Tumepata tulichopata na makubaliano mengine ambayo itabidi tusubiri kuona faida yake huko mbeleni. Nirejee kwenye mada, wote tunajua mwaka jana tuligomea msaada wa MCC wa dola 450m za bure kwa sababu hatukutaka msaada wa masharti. Ni kweli pesa zile tulizokosa kwa kushindwa tu kutumia busara ya kidiplomasia kwa makosa yetu ya kudharau demokrasia. Kwa bahati siku nazo hazigandi. Tukapata tume mbili zilizoshiba uzalendo zikachunguza wizi wa madini yetu hasa dhahabu. Tume zikafanya kazi kwa uzalendo kabisa na kutuletea data zisizoacha shaka kwa wizi tuliofanyiwa. Taasisi yetu ya mapato ikakokotoa wizi tuliofanyiwa ikakuta tunadai $190b zisizoacha shaka.
Leo hii wengine tunaukumbuka baadhi ya mambo tumepigwa na butwaa kwa kusikia mazungumzo ya wezi wetu wa Barrick yamefikia mwisho mwisho, lakini ni kama maamuzi halisi yameshatolewa. Maamuzi hayo ni pale mwizi wetu alipoona stahili yetu ni $300m tena za uaminifu kwamba yeye sio mwizi, na hizo atazitoa baada ya bodi yao huko London kuridhia! Watanzania tukalipuka kwa shangwe kwamba mwizi kanyoosha mikono. Wengine sisi tukaamua kwenda mbali zaidi na kujiuliza, iweje mwaka tu ulioisha tugomee $450m za bure kisha tuheshimu demokrasia, lakini tukubali $300m toka kwa mwizi tuliye na ushahidi nao mwaka mmoja mbele? Hapa hatunyoosheani vidole, lakini watanzania na waliochukua maamuzi hayo wametumia busara? Je hali hii ya kushindwa kupokea hela za bure kisha tuheshimu demokrasia na kupokea $300m toka kwa mwizi ipi ni maamuzi ya busara? Mawazo yoyote ni sawa kwani hii ndio demokrasia
CC: Paskali Mayalla, Quinine, Yehodaya, Jingalao, Mwigulu Nchemba, Zitto Junior
Kwanza napenda kupongeza taarifa iliyotolewa leo baada ya majadiliano ya karibia miezi miwili na Barrick. Tumepata tulichopata na makubaliano mengine ambayo itabidi tusubiri kuona faida yake huko mbeleni. Nirejee kwenye mada, wote tunajua mwaka jana tuligomea msaada wa MCC wa dola 450m za bure kwa sababu hatukutaka msaada wa masharti. Ni kweli pesa zile tulizokosa kwa kushindwa tu kutumia busara ya kidiplomasia kwa makosa yetu ya kudharau demokrasia. Kwa bahati siku nazo hazigandi. Tukapata tume mbili zilizoshiba uzalendo zikachunguza wizi wa madini yetu hasa dhahabu. Tume zikafanya kazi kwa uzalendo kabisa na kutuletea data zisizoacha shaka kwa wizi tuliofanyiwa. Taasisi yetu ya mapato ikakokotoa wizi tuliofanyiwa ikakuta tunadai $190b zisizoacha shaka.
Leo hii wengine tunaukumbuka baadhi ya mambo tumepigwa na butwaa kwa kusikia mazungumzo ya wezi wetu wa Barrick yamefikia mwisho mwisho, lakini ni kama maamuzi halisi yameshatolewa. Maamuzi hayo ni pale mwizi wetu alipoona stahili yetu ni $300m tena za uaminifu kwamba yeye sio mwizi, na hizo atazitoa baada ya bodi yao huko London kuridhia! Watanzania tukalipuka kwa shangwe kwamba mwizi kanyoosha mikono. Wengine sisi tukaamua kwenda mbali zaidi na kujiuliza, iweje mwaka tu ulioisha tugomee $450m za bure kisha tuheshimu demokrasia, lakini tukubali $300m toka kwa mwizi tuliye na ushahidi nao mwaka mmoja mbele? Hapa hatunyoosheani vidole, lakini watanzania na waliochukua maamuzi hayo wametumia busara? Je hali hii ya kushindwa kupokea hela za bure kisha tuheshimu demokrasia na kupokea $300m toka kwa mwizi ipi ni maamuzi ya busara? Mawazo yoyote ni sawa kwani hii ndio demokrasia
CC: Paskali Mayalla, Quinine, Yehodaya, Jingalao, Mwigulu Nchemba, Zitto Junior
Boss ushawahi kufanya biashara kweli?tindo bwana mbona unafananisha vile vijisenti vya MCC na hili gharika la ushindi alioupata Magufuli?
Ile hela ya MCC ilikuja na masharti kuwa
* tufute sheria zetu za makosa ya mitandao,
* tubatilishe maamuzi ya Jecha katika ule uchaguzi wa Rais wa Zanzibar.
Serikali yetu ikawapa MCC the middle finger na kuwaambia, kama ni huo msaada wenu ndio unaomipa jeuri ya kutuingilia tunavyoendesha nchi yetu, (basically kutupokonya sovereignty yetu) basi msitupe.
Hiki ni kitendo cha kijasiri na kujivunia. Watanzania wote tunapaswa kutembea vichwa juu na vifua mbele kwa uamuzi ule.
Kuhusu makubaliano ya serikali na Barrick yaliyotangazwa, kama sikosei ni hivi:
☆ $300m za kutuangukia kwa usumbufu waliotupa.
☆ Tunamiliki 16% ya machimbo
☆ Mgao wa faida ni 50-50 kati ya wachimbaji na serikali.
☆ Mapato ya haya makampuni yatawekwa kwenye mabenki ya ndani.
☆ Watakachochimba zaidi ya dhahabu, shaba na fedha yote itakuwa ni mali ya serikali.
☆ Watawaajiri Watanzania na kuwafunza taaluma za juu za uendeshaji migodi.
☆ Watahamisha ofisi zao kuu kutoka Afrika Kusini na Uingereza na kuzileta Tanzania.
☆ Nafikiri kuna vingine nilivyovisahau.
Mkuu unataka kufananisha zile $450m za masimango na mpukuti huu tunaoupata kwa makubaliano haya?
Pia ukumbuke kuwa, kuanzia sasa makubaliano yote yatakayofanyika kati ya wanaotaka kuchimba madini Tanzania na serikali yatafuata precedence hii.
Hebu piga makofi kidogo umpongeze Rais wako.
Kwanza napenda kupongeza taarifa iliyotolewa leo baada ya majadiliano ya karibia miezi miwili na Barrick. Tumepata tulichopata na makubaliano mengine ambayo itabidi tusubiri kuona faida yake huko mbeleni. Nirejee kwenye mada, wote tunajua mwaka jana tuligomea msaada wa MCC wa dola 450m za bure kwa sababu hatukutaka msaada wa masharti. Ni kweli pesa zile tulizokosa kwa kushindwa tu kutumia busara ya kidiplomasia kwa makosa yetu ya kudharau demokrasia. Kwa bahati siku nazo hazigandi. Tukapata tume mbili zilizoshiba uzalendo zikachunguza wizi wa madini yetu hasa dhahabu. Tume zikafanya kazi kwa uzalendo kabisa na kutuletea data zisizoacha shaka kwa wizi tuliofanyiwa. Taasisi yetu ya mapato ikakokotoa wizi tuliofanyiwa ikakuta tunadai $190b zisizoacha shaka.
Leo hii wengine tunaukumbuka baadhi ya mambo tumepigwa na butwaa kwa kusikia mazungumzo ya wezi wetu wa Barrick yamefikia mwisho mwisho, lakini ni kama maamuzi halisi yameshatolewa. Maamuzi hayo ni pale mwizi wetu alipoona stahili yetu ni $300m tena za uaminifu kwamba yeye sio mwizi, na hizo atazitoa baada ya bodi yao huko London kuridhia! Watanzania tukalipuka kwa shangwe kwamba mwizi kanyoosha mikono. Wengine sisi tukaamua kwenda mbali zaidi na kujiuliza, iweje mwaka tu ulioisha tugomee $450m za bure kisha tuheshimu demokrasia, lakini tukubali $300m toka kwa mwizi tuliye na ushahidi nao mwaka mmoja mbele? Hapa hatunyoosheani vidole, lakini watanzania na waliochukua maamuzi hayo wametumia busara? Je hali hii ya kushindwa kupokea hela za bure kisha tuheshimu demokrasia na kupokea $300m toka kwa mwizi ipi ni maamuzi ya busara? Mawazo yoyote ni sawa kwani hii ndio demokrasia
CC: Paskali Mayalla, Quinine, Yehodaya, Jingalao, Mwigulu Nchemba, Zitto Junior
Za juu juu tu. Vipi, nimeteleza wapi?Boss ushawahi kufanya biashara kweli?
Mashogo wapo je wapo kisheria na wanatambulika? Na wameruhusiwa doa ya jinsia moja hapa?Sawa hatujachukua hiyo $450m ya MCC je mashoga hawapo hapa nchini? Hiyo $300m si wataipata hapahapa kwenye migodi yetu ndani ya wiki tu.