Watanzania tujiulize busara ya kugomea $450m ya MCC, kisha kukubali $300m toka kwa wezi.

Hela zilikuwa na masharti yakiwemo hayo ya kutaka wanaume washike ukuta wavue chupi kwenye makalio wakutane na wanaume watoa misaada. Chadema nyie kazichukueni hizo pesa. Nyie si bila aibu mchana kweupe mlitangaza operation UKUTA nchi nzima? Mambo ya Ukuta na operesheni ukuta na kukamata ukuta nyie ndie wajuzi. Kawaombeni wawape pesa za Ukuta

Kwanza kunywa maji maana kwa sasa hata kujenga hoja inazidi kuwa shida. Tatizo ni moja, hoja mlikuwa mnajitutumua kuzijenga mwanzo, sasa hv nazo zimewashinda baada ya ukweli kuwa wazi hivyo mnahamia kwenye matusi. Kwa sasa acha nisimamie kwenye hoja maana ninazo nyingi tena za msingi. Zikiisha nitafikiria matusi.
 
Bado tunangoja wazalendo watoe ufafanuzi wa hayo malipo ya 50/50. Naona Kabudi haeleweki kabisa.
 
Kweli watz aliye tuloga ashakufa naye . Sasa Kwa akili ya mleta mada kwanini tusiseme tumeligwa . Watu hatuna uzalendo kabisa
 
Nasema chakwetu ni chakwetu Masada wa nini?hatutaki Masada wa kutukomoa sisi kama taifa tunahitaji kujitambua na kuachana na mawazo mgando ya misaada
 
Kwanza napenda kupongeza taarifa iliyotolewa leo baada ya majadiliano ya karibia miezi miwili na Barrick. Tumepata tulichopata na makubaliano mengine ambayo itabidi tusubiri kuona faida yake huko mbeleni. Nirejee kwenye mada, wote tunajua mwaka jana tuligomea msaada wa MCC wa dola 450m za bure kwa sababu hatukutaka msaada wa masharti. Ni kweli pesa zile tulizokosa kwa kushindwa tu kutumia busara ya kidiplomasia kwa makosa yetu ya kudharau demokrasia. Kwa bahati siku nazo hazigandi. Tukapata tume mbili zilizoshiba uzalendo zikachunguza wizi wa madini yetu hasa dhahabu. Tume zikafanya kazi kwa uzalendo kabisa na kutuletea data zisizoacha shaka kwa wizi tuliofanyiwa. Taasisi yetu ya mapato ikakokotoa wizi tuliofanyiwa ikakuta tunadai $190b zisizoacha shaka.

Leo hii wengine tunaukumbuka baadhi ya mambo tumepigwa na butwaa kwa kusikia mazungumzo ya wezi wetu wa Barrick yamefikia mwisho mwisho, lakini ni kama maamuzi halisi yameshatolewa. Maamuzi hayo ni pale mwizi wetu alipoona stahili yetu ni $300m tena za uaminifu kwamba yeye sio mwizi, na hizo atazitoa baada ya bodi yao huko London kuridhia! Watanzania tukalipuka kwa shangwe kwamba mwizi kanyoosha mikono. Wengine sisi tukaamua kwenda mbali zaidi na kujiuliza, iweje mwaka tu ulioisha tugomee $450m za bure kisha tuheshimu demokrasia, lakini tukubali $300m toka kwa mwizi tuliye na ushahidi nao mwaka mmoja mbele? Hapa hatunyoosheani vidole, lakini watanzania na waliochukua maamuzi hayo wametumia busara? Je hali hii ya kushindwa kupokea hela za bure kisha tuheshimu demokrasia na kupokea $300m toka kwa mwizi ipi ni maamuzi ya busara? Mawazo yoyote ni sawa kwani hii ndio demokrasia

CC: Paskali Mayalla, Quinine, Yehodaya, Jingalao, Mwigulu Nchemba, Zitto Junior

Kwa mujibu wa sheria zetu za kodi TRA waliwapatia Acacia/Barrick Hati ya madai ya dola bilioni 190 sawa Na fedha za kitanzania Trilioni 425.
Sheria zetu za kodi zinaelekeza namna ya kumshughulikia mkwepa kodi. Ndio maghorofa ya Lugumi yako mnadani.
Tunachotakiwa kuhoji Na hatua gani zinachukuliwa kudai hela yetu Trilioni 425 ili kila mtz spate Noah yske
 
Kwanza napenda kupongeza taarifa iliyotolewa leo baada ya majadiliano ya karibia miezi miwili na Barrick. Tumepata tulichopata na makubaliano mengine ambayo itabidi tusubiri kuona faida yake huko mbeleni. Nirejee kwenye mada, wote tunajua mwaka jana tuligomea msaada wa MCC wa dola 450m za bure kwa sababu hatukutaka msaada wa masharti. Ni kweli pesa zile tulizokosa kwa kushindwa tu kutumia busara ya kidiplomasia kwa makosa yetu ya kudharau demokrasia. Kwa bahati siku nazo hazigandi. Tukapata tume mbili zilizoshiba uzalendo zikachunguza wizi wa madini yetu hasa dhahabu. Tume zikafanya kazi kwa uzalendo kabisa na kutuletea data zisizoacha shaka kwa wizi tuliofanyiwa. Taasisi yetu ya mapato ikakokotoa wizi tuliofanyiwa ikakuta tunadai $190b zisizoacha shaka.

Leo hii wengine tunaukumbuka baadhi ya mambo tumepigwa na butwaa kwa kusikia mazungumzo ya wezi wetu wa Barrick yamefikia mwisho mwisho, lakini ni kama maamuzi halisi yameshatolewa. Maamuzi hayo ni pale mwizi wetu alipoona stahili yetu ni $300m tena za uaminifu kwamba yeye sio mwizi, na hizo atazitoa baada ya bodi yao huko London kuridhia! Watanzania tukalipuka kwa shangwe kwamba mwizi kanyoosha mikono. Wengine sisi tukaamua kwenda mbali zaidi na kujiuliza, iweje mwaka tu ulioisha tugomee $450m za bure kisha tuheshimu demokrasia, lakini tukubali $300m toka kwa mwizi tuliye na ushahidi nao mwaka mmoja mbele? Hapa hatunyoosheani vidole, lakini watanzania na waliochukua maamuzi hayo wametumia busara? Je hali hii ya kushindwa kupokea hela za bure kisha tuheshimu demokrasia na kupokea $300m toka kwa mwizi ipi ni maamuzi ya busara? Mawazo yoyote ni sawa kwani hii ndio demokrasia

CC: Paskali Mayalla, Quinine, Yehodaya, Jingalao, Mwigulu Nchemba, Zitto Junior
Faida katika majadiliano ya Barrick na serikali ulioiona ni hizo fedha pekee Usd 300mln pekee?
Kama ni hiyo peeke ulioiona utakua una ugonjwa wa ukoma grade one kwenye ubongo wako
 
Kwanza napenda kupongeza taarifa iliyotolewa leo baada ya majadiliano ya karibia miezi miwili na Barrick. Tumepata tulichopata na makubaliano mengine ambayo itabidi tusubiri kuona faida yake huko mbeleni. Nirejee kwenye mada, wote tunajua mwaka jana tuligomea msaada wa MCC wa dola 450m za bure kwa sababu hatukutaka msaada wa masharti. Ni kweli pesa zile tulizokosa kwa kushindwa tu kutumia busara ya kidiplomasia kwa makosa yetu ya kudharau demokrasia. Kwa bahati siku nazo hazigandi. Tukapata tume mbili zilizoshiba uzalendo zikachunguza wizi wa madini yetu hasa dhahabu. Tume zikafanya kazi kwa uzalendo kabisa na kutuletea data zisizoacha shaka kwa wizi tuliofanyiwa. Taasisi yetu ya mapato ikakokotoa wizi tuliofanyiwa ikakuta tunadai $190b zisizoacha shaka.

Leo hii wengine tunaukumbuka baadhi ya mambo tumepigwa na butwaa kwa kusikia mazungumzo ya wezi wetu wa Barrick yamefikia mwisho mwisho, lakini ni kama maamuzi halisi yameshatolewa. Maamuzi hayo ni pale mwizi wetu alipoona stahili yetu ni $300m tena za uaminifu kwamba yeye sio mwizi, na hizo atazitoa baada ya bodi yao huko London kuridhia! Watanzania tukalipuka kwa shangwe kwamba mwizi kanyoosha mikono. Wengine sisi tukaamua kwenda mbali zaidi na kujiuliza, iweje mwaka tu ulioisha tugomee $450m za bure kisha tuheshimu demokrasia, lakini tukubali $300m toka kwa mwizi tuliye na ushahidi nao mwaka mmoja mbele? Hapa hatunyoosheani vidole, lakini watanzania na waliochukua maamuzi hayo wametumia busara? Je hali hii ya kushindwa kupokea hela za bure kisha tuheshimu demokrasia na kupokea $300m toka kwa mwizi ipi ni maamuzi ya busara? Mawazo yoyote ni sawa kwani hii ndio demokrasia

CC: Paskali Mayalla, Quinine, Yehodaya, Jingalao, Mwigulu Nchemba, Zitto Junior
Batanzanie baone haya.
 
Back
Top Bottom