Watanzania tujiulize: Ikiwa sisi ndiyo wenye mali, nini kinatukimbiza nje kutafuta wa kuja kuzila (eti kuwekeza)?

Hiyo rasilimali hatukuachiwa na nyerere au mtu yeyote. Ni maliasili tuliyoirithikwa kujaliwa kuishi eneo hili. Nyerere was simply a person like you and me.
Had it been He was blessed with stupidity,none of you could now say " tutafute wawekezaji". Yote ingekuwa mikononi mwa mafisadi. Aliona vizazi vijavyo vitakuwa na uelewa mpana wa kuzibadilisha kujiletea maendeleo! Unapouza dhahabu badala ya mkufu wa dhahabu kwa kgezo Cha matakwa ya muwekezaji jua unaibwa bila kujielewa!
 
Hata we tofautisha kuzila na kuwekza. Wakiwekeza we ndo unakula na wao pia. Na inafanyika hivyo kwa sababu huna uwezo wa kuwekeza. Mpaka hapo ulipo sidhani hata laki Kama unayo
Hizi ndio akili za waafrika, anaamini hawezi kuwekaza na wala hawa hawezi pata mtaji, hivi akili wao walitoa wapi hao wazungu mnaoenda kuomba,? Kama ni technology hawakuiokota, walisoma, maanake elimu Bora ndio umewasaidia kupata technology, nyie elimu yenu ikoje? Yani huwa hatuwezi kuona mambo zaidi ya urefu wa pua.

Basi someni historia ya nchi zingine waliwezaje? Singapore waliwezaje na ni kisiwa? Ndio nchi yenye watu wenye IQ kubwa duniani,
 
Hatukatai wawekezaji especially wenye win win, lakini it can't be the only economic strategy, in a long run nchi itashikiliwa kiuchumi na wasio watanzania. Lazima tufanye elimu yetu iwe Bora, we need technical colleges, tunahitaji katiba nzuri, tunahitaji ku control population yetu sababu hatuwezi kuwa tunaongezeka kwa Kasi huku uchumi wetu hata ajira tu unashindwa kuzalisha za kutosha.
 
Hata Urusi na Marekani wanahitaji wawekezaji wa nje. Mataifa yanategemeana na kushirikiana kama wewe unavyotegemea ndizi za wakulima wa Mgeta, Kinole na Kauzeni.
 
Muulize yeye kazalisha nini na kaweza kukiuza hata kwenye soko moja la kimataifa? Alilipa kodi shs ngapi na ameajiri watu wangapi?

Akikujibu nitagg
Tz tunazalisha Tanzanite,makaa ya mawe,gas,Dhahabu,Alumas,Rubi na madini yakutengenezea jipsum marumaru na makighafi za miti huku Iringa zote hizi zinaenda nje kama hujuwi.Enzi za awamu ya nne zilikopa hela zatengenezea kiwanda cha mbolea Lindi kila kikawa tayari hela zikaliwa na kiwanda hamna hadi leo.JPM aliwahi kulisema hili kwenye hutuba zake.hakuna uwekezaji hapo wanatafuta watu wajusimamia mambo yao na biashara zao kwa kivuli za uwekezaji.Mkapa na kikwete waliimba na kuzunguka uwekezaji hakuna impact yoyote tuliona.Bora JPM aliyejimbanunua kwa dhana yakujitegemea na tuliona impact kwa nchi alifanya mambo mengi mazuri.
 
Watanzania wamefundishwa, ili uwe na maisha mazuri lazima uwe mwizi...tuko busy tunatafuta nafasi za kufanya wizi..

Mifumo inahitaji reforms, ili jamii ielewe uelekeo na nini cha kufanya, Shuleni vijana wafundishwe uaminifu na uchapa kazi, Elimu iwe na uhalisia wa maisha ya sasa pamoja na kuhakikisha kweli wahitimu wanakitu kichwani..
 
Bado vijana wa nchi hii hawajaanza kushika hatamu, bado wengi walioko kwenye mifumo ni kizazi cha Nyerere.

New generation ya kuanzia 1990's bado haijaingia kwenye mifumo na kutoa maamuzi, hatupaswi kuilamu New generation kwa sasa.

Uwepo wa New generation baadaye utategemea urithi kutoka kwa Wazee (Kizazi cha Nyerere) kama Wazee ni ombaomba kuna hatari kizazi kikawa cha ombaomba lakini kama Taifa la wazee lilikuwa la wachapa kazi basi hata kizazi kipya kitachapa kazi.

Putin tabia zile amerithi kwa babu zake na baba zake akina Lenin na Stalin... Hata Watanzania tabia zao wamerithi kwa babu zao akina Nyerere na Kawawa, Uhuru tuliomba pale NYC tukapewa bure.. ndio urithi tulioachiwa..
 
Mtaji hamnao, mlichonacho ni maneno na blaa blaa tu
Ndg hata Kama mtaji hatuna,lakini ndiyo isiwe sababu ya ku sign mikataba ya kiinyonyaji! Mi napenda tu kuwakumbusha Viongozi wetu wajaribu sana ku sign mikataba yenye win win situation kwa pande zote!!
 
Hata Urusi na Marekani wanahitaji wawekezaji wa nje. Mataifa yanategemeana na kushirikiana kama wewe unavyotegemea ndizi za wakulima wa Mgeta, Kinole na Kauzeni.
Urusi na marekani wanahitaji wawekezaji wanaoilipa kodi na kuchangia pato la Taifa.Sio mwekezaji anaekwepa kulipa kodi na kutoa rushwa.Mf JPM alimpa dangote mkodi wa makaa ya mawe na akaunganishwa na gesi direct kiwandani akamwambia chapa kazi nilipe kodi yangu niendeshe nchi ila bado uzalishaji ukawa duni na kiwanda kikawa hakioperate sababu kila kukicha.Je uwekezaji kama huu una tija kwa Taifa?.enzi za JPM mafinga viwanda vya singboard vilikuwa vinaalisha singboard na hakuna kusafirisha mali ghafi nje ikawa ivo ila sasa wachina wanasafirisha malighafi kwenda kutengeneza singboard kwao china hapa zinatengenezwa chache sana Je? huu ndo uwekezaji? Wenye tija kwa Taifa?
 
Watanzania wenzangu, kuna kitu hakiko sawa!!!!.

Tutachanganyiwa lugha zote kuwa tunafungua nchi kumbe kuna hila ndani yake.

Sikubaliani kabisa viongozi kuzunguka dunia nzima kuomba pesa na uwekezaji .
Tunajidhalilisha!

Tuna bunge, Mawaziri, Wasomi, Wanasiasa, Wafanyabiashara maarufu nk,tumeshindwa kutulia na kukipanga hata iwe miaka 100 ijayo tukaijenga nchi yetu wenyewe? Hiyo haraka ni ya nini???

Wazee wetu kina Warioba, Msekwa, Malecela, Msuya nk niwaulize, mmekubali wajukuu zenu na elimu zao kuwa manamba wa Wazungu? Ndivyo hivyo Mwl. Nyerere aliwausia? Vijana,wajukuu zenu serikali iliwasomesha hadi vyuo vikuu ili wawe ombaomba duniani? Au waendesha bodaboda tuu na siyo kusimamia rasilimali zetu?

Ni kwa nini kila Rais aingiapo tunaruhusu alete mambo yake mapya na siyo kuendeleza ya mtangulizi au yaliyoasisiwa na nyie wazee wetu?

Mwl. Nyerere alituachia rasilimali tuzitumie kujiletea maendeleo au kuzinadia duniani?

Tujitizame.
Kwani Nyerere yeye ndo nani mpaka ionekane eti alituusia sijui alituachia Rasilimali...Nyerere ndo chanzo hasa cha shida nyingi tulonazo
 
Tz tunazalisha Tanzanite,makaa ya mawe,gas,Dhahabu,Alumas,Rubi na madini yakutengenezea jipsum marumaru na makighafi za miti huku Iringa zote hizi zinaenda nje kama hujuwi.Enzi za awamu ya nne zilikopa hela zatengenezea kiwanda cha mbolea Lindi kila kikawa tayari hela zikaliwa na kiwanda hamna hadi leo.JPM aliwahi kulisema hili kwenye hutuba zake.hakuna uwekezaji hapo wanatafuta watu wajusimamia mambo yao na biashara zao kwa kivuli za uwekezaji.Mkapa na kikwete waliimba na kuzunguka uwekezaji hakuna impact yoyote tuliona.Bora JPM aliyejimbanunua kwa dhana yakujitegemea na tuliona impact kwa nchi alifanya mambo mengi mazuri.
Tupe ushahidi wa hela kukopwa kujenga kiwanda Lindi

Hizo bidhaa tunazozalisha teknolojia inatoka wapi? Soko lipo wapi?
 
Bado vijana wa nchi hii hawajaanza kushika hatamu, bado wengi walioko kwenye mifumo ni kizazi cha Nyerere.

New generation ya kuanzia 1990's bado haijaingia kwenye mifumo na kutoa maamuzi, hatupaswi kuilamu New generation kwa sasa.

Uwepo wa New generation baadaye utategemea urithi kutoka kwa Wazee (Kizazi cha Nyerere) kama Wazee ni ombaomba kuna hatari kizazi kikawa cha ombaomba lakini kama Taifa la wazee lilikuwa la wachapa kazi basi hata kizazi kipya kitachapa kazi.

Putin tabia zile amerithi kwa babu zake na baba zake akina Lenin na Stalin... Hata Watanzania tabia zao wamerithi kwa babu zao akina Nyerere na Kawawa, Uhuru tuliomba pale NYC tukapewa bure.. ndio urithi tulioachiwa..
Hata new genaration ikiingia kwa Tz bado shida ipo palepale maana hiyo new generation yenye kuingia kwenye system ni watoto na wajukuu wa walewale walioshindwa.wana mind set zilezile za baba zao na babu zao.wazungu wezetu wanaangalia capacity ya m2 kuliletea Taifa maendeleo ndo maana akiba Obama wameweza kuwa Rais marekani m2 mwenye asili ya kenya ila Afrika vitu kama hivi haviwezi kutokea wanaangalia mtoto wa nani? Baba yake au babu yake aligombania uhuru?.JPM alipoingia na watu wake wakaambiwa sio ccm halisi na wengine kuitwa makokoro ndo utagundua hawaangalii perfomance ya m2 wanaangalia mtoto wa nani?.kwahiyo usitegemee kuona mabadiliko chanya kwa hiyo new generation.
 
Tupe ushahidi wa hela kukopwa kujenga kiwanda Lindi

Hizo bidhaa tunazozalisha teknolojia inatoka wapi? Soko lipo wapi?
Tafuta clip za hotuba za JPM utasikia juu ya kiwanda cha mbolea lindi na hela zililiwa na kiwanda hamba.malighafi za mbolea tunazo za kutosha na tunauza nje.soko la ndani lipo kubwa sana hata majirani tungewauuzia mbolea.nchi za Africa nyingi zinategemea kilimo zaidi
 
Hotuba za JPM sio reliable source. Weka ushahidi wa huo mkopo ulichukuliwa wapi kwa mkataba gani?
 
Mitaji tunayo? Ujuzi tunao? Ukiachana na Tanzanite, hakuna rasilimali nyingine inapatikana Tanzania peke yake hapa duniani, we are not special, wageni wana options pia
Tulimtumia nani hapa nchini kupata hizo options? CCM?,Bunge? Vyama?, Vyuo vikuu na wasomi wao? Je, na wao wanatumia kina Nani kuziona hizo option tena nchi sio yap? We are wrong somewhere.
 
Hotuba za JPM sio reliable source. Weka ushahidi wa huo mkopo ulichukuliwa wapi kwa mkataba gani?
Naomba wewe ubatafuta kubishani bila sababu JPM alikuwa jikoni na file zote alikuwa analala nazo sasa unaniuliza mimi ushahidi hizo document nitapata wapi? Mlala hoi kama mimi? Bac na mimi naomba ushahidi kunidhibitishia kuwa kauli ya JPM sio reliable
 
Watanzania wenzangu, kuna kitu hakiko sawa!

Tutachanganyiwa lugha zote kuwa tunafungua nchi kumbe kuna hila ndani yake.

Sikubaliani kabisa viongozi kuzunguka dunia nzima kuomba pesa na uwekezaji.
Tunajidhalilisha!

Tuna bunge, Mawaziri, Wasomi, Wanasiasa, Wafanyabiashara maarufu nk,tumeshindwa kutulia na kukipanga hata iwe miaka 100 ijayo tukaijenga nchi yetu wenyewe? Hiyo haraka ni ya nini?

Wazee wetu kina Warioba, Msekwa, Malecela, Msuya nk niwaulize, mmekubali wajukuu zenu na elimu zao kuwa manamba wa Wazungu? Ndivyo hivyo Mwl. Nyerere aliwausia? Vijana,wajukuu zenu serikali iliwasomesha hadi vyuo vikuu ili wawe ombaomba duniani? Au waendesha bodaboda tuu na siyo kusimamia rasilimali zetu?

Ni kwa nini kila Rais aingiapo tunaruhusu alete mambo yake mapya na siyo kuendeleza ya mtangulizi au yaliyoasisiwa na nyie wazee wetu?

Mwl. Nyerere alituachia rasilimali tuzitumie kujiletea maendeleo au kuzinadia duniani?

Tujitizame.
tatizo ni ccm
 
Ndio akili za ccm na vyombo vyake
 
Back
Top Bottom