Tetesi: Watanzania tukatae Uwanja wa KIA kupewa Oman

Ndio kwa sababu muislamu Hana ustaarabu mzungu Ana utu ,roho nzuri ,wademocrasia ,siyo wanyonyaji na wanalipa mishahara mizurin

Sasa muarabu muhindi anaweza kukulipa nn


Mzungu Ni mtu na nusu

Over

Ndio maana mnatemewa mate, na kufananishwa na sokwe, wapi mwarabu atamwambia mtu mweusi haya maneno ya kipumbavu!!
 
SASA TUFANYAJE NINI?VATICAN TUMEWAOMBA WAJE KUFANYA UWEKEZAJI WAO HAWATAKI,BADALA YAKE WAMETULETEA RUKSA YA NDOA ZA JINSIA MOJA,YAANI TUOANE TUGEUZE NCHI YETU KUWA SODOMA NA GOMORA??
 
Hila wakipewa wazungu fresh tuu.. shida akija mwarabu.. chuki dhidi ya Uislamu
Ma hao waarabu biashara zao zote kubwa zinasimamiwa na wazungu,hata mashirika yao ya ndege yako chini ya wazungu,wenzetu masuala ya udini washayaacha toka karne ya 17 huko,kikubwa mikataba iwe win and win basi dini zinabaki misikitini na makanisani
 
Mumewapa wahuni nchi. Wanaweza hata kuuza makalio yako. Biashara ya utumwa, kukuuuza wewe ndio ilikuwa soko kuu.

Umaarufu wa zenj nu kukuuza wewe karne iliyopita.
 
SASA TUFANYAJE NINI?VATICAN TUMEWAOMBA WAJE KUFANYA UWEKEZAJI WAO HAWATAKI,BADALA YAKE WAMETULETEA RUKSA YA NDOA ZA JINSIA MOJA,YAANI TUOANE TUGEUZE NCHI YETU KUWA SODOMA NA GOMORA??
Dini ya kiislamu imeanzishwa na haohao Vatican.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…