Watanzania tukitaka amani na nafuu ya demokrasia tujenge utamaduni wa kumchagua Rais kutoka pwani na Zanzibar, imeshathibitishwa mara tatu

Hakuna nafuu yeyote wanatuletea hasara tu.
Hasara ipi hio, leo hii mikutano imeanza kupewa vibali kufanyika hadharani hasara iko wapi hapa wakati afya ya kidemokrasia inarejeshwa ?

Alafu kumbuka pia suala la amani na utu hawa wapo juu, Tundu Lissu alipigwa risasi kibao lakini kiongozi wa juu alieenda kumsabahi ni Mama Samia..utu! Utu! Utu!
 
Hatuangalii kabila, tunaangalia sifa za viongozi muhimu ambazo zinaleta amani na unafuu wa kidemokrasia.

1. Utu

2.kuweza kujichanganya na wananchi

3.ustaarabu
Mnaangalia. Kwahiyo kwa akili yako watu wa pwani na zanzibar pekee ndio wenye hivo vigezo ushuzi vyako?
 
Mnaangalia. Kwahiyo kwa akili yako watu wa pwani na zanzibar pekee ndio wenye hivo vigezo ushuzi vyako?
Hebu tuzungumzie tu hapo swala la Utu, Mama Samia ndie kiongozi wa juu alieenda kumjulia hali tundu Lissu baada ya shambulio la risasi kibao, ni suala la utu hilo.
 
Mikutano haina faida yayote kwa mwananchi wa kawaida.
 
Mikutano haina faida yayote kwa mwananchi wa kawaida.
Haina faida kwako ambae hujui chochote kuhusu demokrasia,

Shule zimefungua, anza kuhudhuria darasa la civics na watoto wako
 
Wewe utakuwa unazo sababu zako mwenyewe na siyo sababu za kulijenga taifa hili liwe imara na lenye maendeleo kwa wananchi wake.

Kwa hiyo kaa nzao sababu zako hizo, siyo lazima ziwe za manufaa kwa nchi hii.
 
Bisha kwa hoja nilete hoja.

Kipindi cha mkapa ajira zilipungu, mzunguko wa pesa ulikuwa mdogo.

Kipindi cha kikwete ajira zilikuwa nyingi, mzunguko wa pesa mkubwa

Kioindi cha magu zikaanza kuwa chache, mzunguko wa pesa mdogo (vyuma vimekaza)

Kioindi hiki ajira zimeanza kuwa tele, mzunguko wa pesa mkubwa

Ni wapi palikuwa na maendeleo ??
 
Bisha kwa hoja nilete hoja.

Kioindi cha mkapa ajira zilipungua

Kipindi cha kikwete ajira zilikuwa nyingi.

Kioindi cha magu zikaanza kuwa chache.

Kioindi hiki ajira zimeanza kuwa tele

Ni wapi palikuwa na maendeleo ??
Mkuu, nikufahamishe.
Hii ni mada mbovu ambayo sipashwi kupotezea muda juu yake.
 
Uko sahihi kabisa
 
Upuuzi

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Hebu tuzungumzie tu hapo swala la Utu, Mama Samia ndie kiongozi wa juu alieenda kumjulia hali tundu Lissu baada ya shambulio la risasi kibao, ni suala la utu hilo.

..Ssh alikuwa yuko Nairobi kwa ajili ya shughuli za kumuapisha Uhuru Kenyatta.

..asingekwenda kumuona Lissu zile tuhuma kwamba serikali imehusika zingeshika kasi zaidi.

..kwa hiyo Ssh alikwenda kumuona Lissu hospitali kwa nia ya kuisafisha serikali ya Ccm imbayo ilikuwa ikituhumiwa kuhusika.

..Ssh aliporudi hapa Tz, wakati wa kampeni, alisikika akimkebehi Lissu kuhusu shambulizi la risasi.
 
Kama lengo ilikuwa kuisafisha serikali mbona wabunge na mawaziri wengine tuliambiwa walizuiwa hii si ndio ingekuwa Kiki hasa ya kuisafisha achilia mbali makundi ya watanzania wengi waliokusanyika kufanya maombi wakazuiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…