Watanzania tukitaka amani na nafuu ya demokrasia tujenge utamaduni wa kumchagua Rais kutoka pwani na Zanzibar, imeshathibitishwa mara tatu

Kama lengo ilikuwa kuisafisha serikali mbona wabunge na mawaziri wengine tuliambiwa walizuiwa hii si ndio ingekuwa Kiki hasa ya kuisafisha achilia mbali makundi ya watanzania wengi waliokusanyika kufanya maombi wakazuiwa?

..nimekwambia Ssh alikuwa Kenya kuhudhuria uapishwaji wa Raisi Uhuru Kenyatta.

..jumuiya ya kimataifa ilikuwa ikiangalia kama ujumbe wa serikali ya Tz utakwenda kumsabahi kiongozi wa bunge la Tz anayeugulia hospitali.

..Ssh na ujumbe wake walikuwa hawana namna ya kuondoka Nairobi bila kumjulia hali Lissu. Kitendo hicho kingejenga picha mbaya kwake Ssh na kwa serikali ya Tz.
 
Wale jamaa walikuwa hawajaki jumuia ya taifa wa kimataifa. Mama alienda kwa moyo wake tu na angeweza kutokwenda pia. Those people those days walikuwa hawajali chochote.
 
..walikuwa wanajali, na wanaiogopa.

..pia hawakuji-isolate moja kwa moja.

..wangekuwa hawajali au hawaogopi jumuiya ya kimataifa na mabeberu wangetaifisha migodi ya Acacia bila kulipa fidia.

..mkono wa chuma ulikuwa dhidi ya vyama vya upinzani, lakini mbele ya mabeberu walikuwa walaini kama mkate kwenye chai.
 
HIYO DEMOKRASIA IMETUSAIDIAJE KUPUNGUZA GHARAMA ZA MAISHA?
 
..hatujawahi kuwa na demokrasia.

..badala yake ukosefu wa demokrasia unatunyima bunge lenye meno ambalo lingetutetea wananchi dhidi ya maamuzi mabaya ya serikali ya Ccm.
 
Wew sio wa Pwani kaangalie viongozi wa kichaga walipopewa madaraka walianza kupeleka kila kitu kwao..Hawawezi kushika madaraka ng'o.

..mbona Mama Ssh naye anakusanya vya Tanganyika na kuwagawia Zanzibar?

..Tanganyika nzima kuna mgao wa umeme lakini Zanzibar hakuna na umeme ni huu huu unaotoka Tanganyika.
 
Kila rais ana mapungufu yake pia. Kwenye awamu ya pili ndo mkataba wa mwarabu wa Loliondo ulisainiwa.
 
..mbona Mama Ssh naye anakusanya vya Tanganyika na kuwagawia Zanzibar?

..Tanganyika nzima kuna mgao wa umeme lakini Zanzibar hakuna na umeme ni huu huu unaotoka Tanganyika.
Suala la muungano lipo tofauti, kumbuka hata Magu aliwasamehe deni la umeme Zanzibar, kwa muungano ni ishu tofauti kabisa
 
..muungano unatunyonya Watanganyika na kuwapendelea Wazanzibari.

..wakati mwingine natamani tuwe tunapokezana kuubeba mzigo wa serikali ya muungano.

..kwa mfano, Zanzibar ibebe mzigo wa kudhamini mikopo na kulipa madeni ya Tanganyika.
 
..mbona Mama Ssh naye anakusanya vya Tanganyika na kuwagawia Zanzibar?

..Tanganyika nzima kuna mgao wa umeme lakini Zanzibar hakuna na umeme ni huu huu unaotoka Tanganyika.
Huo ni mfumo wa zamani kwani yeye ndo kaleta muungano.
 
Ndo kashaanza taratibu kuruhusu mikutano ya vyama

..inaelekea Dr.Ssh hajui sheria na katiba ya nchi.

..mikutano imeruhusiwa na katiba na sheria zote.

..ni makosa kwa Raisi kudai yeye ndio ameiruhusu, kama hisani kwetu, badala ya kutamka kwamba imeruhusiwa na katiba na sheria zetu.
 
Back
Top Bottom