Kama lengo ilikuwa kuisafisha serikali mbona wabunge na mawaziri wengine tuliambiwa walizuiwa hii si ndio ingekuwa Kiki hasa ya kuisafisha achilia mbali makundi ya watanzania wengi waliokusanyika kufanya maombi wakazuiwa?
..nimekwambia Ssh alikuwa Kenya kuhudhuria uapishwaji wa Raisi Uhuru Kenyatta.
..jumuiya ya kimataifa ilikuwa ikiangalia kama ujumbe wa serikali ya Tz utakwenda kumsabahi kiongozi wa bunge la Tz anayeugulia hospitali.
..Ssh na ujumbe wake walikuwa hawana namna ya kuondoka Nairobi bila kumjulia hali Lissu. Kitendo hicho kingejenga picha mbaya kwake Ssh na kwa serikali ya Tz.