Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Ukanda upi na ulifanyika kwa namna gani? Mbona unapenda lawama?KilIcho waponzeni, ni ukanda na kutokuukubali ukweli kama Kuna mahalo mlikuwa mnakosea. Sasa mnalialia, kaeni pembeni mjifunze utu , haki na usawa
Sipendi lawama ndio maana tunaambiana ukweli Ili tujirekebishe na kwa pamoja tukemee Yale yote yanayolivuruga Taifa letu .Ukanda upi na ulifanyika kwa namna gani? Mbona unapenda lawama?
Ukanda wa JPM alikuwa anapick wa kutoka huko kwao hata Kama hajui kaziUkanda upi na ulifanyika kwa namna gani? Mbona unapenda lawama?
Kwani hiyo software isingeeze kutengenezwa na wazawa? Hapo Kuna ukanda gani Sasa ndugu yangu? Nadhani ungejibu Hoja kuliko kum attack mtu personally huo ndo uungwana na u-great thinkerSipendi lawama ndio maana tunaambiana ukweli Ili tujirekebishe na kwapamoja tukemee Yale t
yote yanayolivuruga taifa letu .
Kumbuka wasukuma ni wengi kwa idadi. Labda una ushahidi nani alipendelewa huku hajui kazi? Je hii ndio sababu ya kupendelea kanda watu wengine waliosaini mkataba wa bil 69 kukodi software?Ukanda wa jpm alikuwa anapick wa kutoka huko kwao hata Kama hajui kazi
Nani alipendelewa na JPM huku hana sifa? Je hii ndio sababu ya kusaini bil 69 kukodi software?Sipendi lawama ndio maana tunaambiana ukweli Ili tujirekebishe na kwapamoja tukemee Yale t
yote yanayolivuruga taifa letu .
Huoni Sasa hivi umeme ulivyo stable na endelevu siyo zima Moto ya jpm kwa ajiri ya sifa za mda mfupiKumbuka wasukuma ni wengi kwa idadi. Labda una ushahidi nani alipendelewa huku hajui kazi? Je hii ndio sababu ya kupendelea kanda watu wengine waliosaini mkataba wa bil 69 kukodi software?
Sipendi lawama ndio maana tunaambiana ukweli Ili tujirekebishe na kwapamoja tukemee Yale tote yanayolivuruga taifa letu .Ukanda upi na ulifanyika kwa namna gani? Mbona unapenda lawama?
Shida nikuwa wale wote waliokuwastari was mbele kuimba pambio za kusifu hata kwa maovu, ndio wapo mstari wa mbele kulaumu na wakwamisha upatikanaji wa katiba mpya ya wananchiKwani hiyo software isingeeze kutengenezwa na wazawa? Hapo Kuna ukanda gani Sasa ndugu yangu? Nadhani ungejibu Hoja kuliko kum attack mtu personally huo ndo uungwana na u-great thinker
Acha ubwegeHuoni Sasa hivi umeme ulivyo stable na endelevu siyo zima Moto ya jpm kwa ajiri ya sifa za mda mfupi
Acha vijana waonyeshe uwezo wao, usitangulize chuki na majungu wapewe nafasi.Nani alipendelewa na JPM huku hana sifa? Je hii ndio sababu ya kusaini bil 69 kukodi software?
Nakuona mwezi January unavyojisifia maujinga yako!Huoni Sasa hivi umeme ulivyo stable na endelevu siyo zima Moto ya jpm kwa ajiri ya sifa za mda mfupi
Mkuu Nyankarungu, Kwenye haya mabadiliko yanayokuja Ya Baraza la Mawaziri % ya watakaondolewa ni wale wa St. Peter na watakaobaki ni wale wa Bakwata. Note It.Kweli ndege wa rangi moja huruka pamoja. Hivyo mama kwa kauli yake kuwa lazima aunde baraza la mawaziri ambalo anahisi litamuunga mkono kuchapa kazi mpaka 2025 lazima liwe la vijana kama huyu aliyemteua kuwa waziri wa nishati.
Waziri ambae alipoingia tu madarakani Tanesco ikapata mkandarasi wa kuikodishia software ya gharama ya bil 69 ili ufanisi uongezeke. Mawaziri wa namna hii ndio watakaokwenda na mama mpaka 2025. Kweli taifa letu tumepatikana.
Huwa unatumia nini kufikiria?Mbona Sukuma Gang mna nongwa sana? Kama vipi kunyweni sumu mumfuate huyo mtu wenu
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Mama anajiweka upande wa wahuni kweupe?
Maji yakipalaganyika huko mbele wananchi wanamuadhibu vizuri tu.
NDUGAI 2025.
Hiyo software inatengenezwa na wataalam kutoka nje ya nchi, nadhani ni India, ingekuwa ni wazawa ndo wamepata hiyo tenda hata Mimi ningemshangaa mtoa hojaAcha vijana waonyeshe uwezo wao, usitangulize chuki na majungu wapewe nafasi.