Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Kweli ndege wa rangi moja huruka pamoja. Hivyo mama kwa kauli yake kuwa lazima aunde baraza la mawaziri ambalo anahisi litamuunga mkono kuchapa kazi mpaka 2025 lazima liwe la vijana kama huyu aliyemteua kuwa waziri wa nishati.
Waziri ambae alipoingia tu madarakani Tanesco ikapata mkandarasi wa kuikodishia software ya gharama ya bil 69 ili ufanisi uongezeke. Mawaziri wa namna hii ndio watakaokwenda na mama mpaka 2025. Kweli taifa letu tumepatikana.