Watanzania tumepatikana, mawaziri watakaokwenda na Rais mpaka 2025 ni kama huyu aliyesaini mkataba wa bil 69 kufunga software Tanesco

Watanzania tumepatikana, mawaziri watakaokwenda na Rais mpaka 2025 ni kama huyu aliyesaini mkataba wa bil 69 kufunga software Tanesco

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Kweli ndege wa rangi moja huruka pamoja. Hivyo mama kwa kauli yake kuwa lazima aunde baraza la mawaziri ambalo anahisi litamuunga mkono kuchapa kazi mpaka 2025 lazima liwe la vijana kama huyu aliyemteua kuwa waziri wa nishati.

Waziri ambae alipoingia tu madarakani Tanesco ikapata mkandarasi wa kuikodishia software ya gharama ya bil 69 ili ufanisi uongezeke. Mawaziri wa namna hii ndio watakaokwenda na mama mpaka 2025. Kweli taifa letu tumepatikana.
 
6D2AC03D-E5EE-4A39-BC89-A0B614780C5E.jpeg
 
Ukanda wa jpm alikuwa anapick wa kutoka huko kwao hata Kama hajui kazi
Kumbuka wasukuma ni wengi kwa idadi. Labda una ushahidi nani alipendelewa huku hajui kazi? Je hii ndio sababu ya kupendelea kanda watu wengine waliosaini mkataba wa bil 69 kukodi software?
 
Sipendi lawama ndio maana tunaambiana ukweli Ili tujirekebishe na kwapamoja tukemee Yale t
yote yanayolivuruga taifa letu .
Nani alipendelewa na JPM huku hana sifa? Je hii ndio sababu ya kusaini bil 69 kukodi software?
 
Ukanda upi na ulifanyika kwa namna gani? Mbona unapenda lawama?
Sipendi lawama ndio maana tunaambiana ukweli Ili tujirekebishe na kwapamoja tukemee Yale tote yanayolivuruga taifa letu .
Kwani hiyo software isingeeze kutengenezwa na wazawa? Hapo Kuna ukanda gani Sasa ndugu yangu? Nadhani ungejibu Hoja kuliko kum attack mtu personally huo ndo uungwana na u-great thinker
Shida nikuwa wale wote waliokuwastari was mbele kuimba pambio za kusifu hata kwa maovu, ndio wapo mstari wa mbele kulaumu na wakwamisha upatikanaji wa katiba mpya ya wananchi
 
Mama anajiweka upande wa wahuni kweupe?

Maji yakipalaganyika huko mbele wananchi wanamuadhibu vizuri tu.

NDUGAI 2025.
 
Kweli ndege wa rangi moja huruka pamoja. Hivyo mama kwa kauli yake kuwa lazima aunde baraza la mawaziri ambalo anahisi litamuunga mkono kuchapa kazi mpaka 2025 lazima liwe la vijana kama huyu aliyemteua kuwa waziri wa nishati.

Waziri ambae alipoingia tu madarakani Tanesco ikapata mkandarasi wa kuikodishia software ya gharama ya bil 69 ili ufanisi uongezeke. Mawaziri wa namna hii ndio watakaokwenda na mama mpaka 2025. Kweli taifa letu tumepatikana.
Mkuu Nyankarungu, Kwenye haya mabadiliko yanayokuja Ya Baraza la Mawaziri % ya watakaondolewa ni wale wa St. Peter na watakaobaki ni wale wa Bakwata. Note It.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama anajiweka upande wa wahuni kweupe?

Maji yakipalaganyika huko mbele wananchi wanamuadhibu vizuri tu.

NDUGAI 2025.

Ndugai hafai hata kuwaziwa kuwa rais kwa muda mrefu tu, sasa na huu udhaifu alioonyesha wa kuombaomba msamaha ndio kabisa.
Rais nilazima awemtu mgumu na anaejiamini sio legelege.
 
Acha vijana waonyeshe uwezo wao, usitangulize chuki na majungu wapewe nafasi.
Hiyo software inatengenezwa na wataalam kutoka nje ya nchi, nadhani ni India, ingekuwa ni wazawa ndo wamepata hiyo tenda hata Mimi ningemshangaa mtoa hoja
 
Back
Top Bottom