Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Kwani akisoma India itamfanya awe nani?Kwenye pitapita zangu vijiwe mbalimbali vya wasap nikakuta kijana anaomba ushauri kuwa kati ya fully funded scholarship ya master's India kozi ya environmental science and ecology kama sijakosea na ajira yake mpya ya ualimu halmashauri achague nn?
Hapa ndo nikaona ujinga wa wabongo wengi kukosa akili na wengi wamesoma kutoa ujinga na sio kuelimika, bongo hakuna kazi bali ni utumwa unaacha kwenda kupata exposure unakaa kusubiria Laki 8 Kwa mwezi tena ya mateso!!!!
Unaacha kwenda kuchangamana na dunia unabaki kukaa hapahapa bongo? Kwakwel kwaakili hizi ndo maana uko ulaya, Amerika na uarabuni wamejaza wakenya na waganda tu hapa afrika mashariki.
Dada wa kazi tu kutoka Kenya anaefanya kazi Oman wengi wana maendeleo kuliko wafanyakazi wa halmashauri wanaotegemea mikopo kujenga bila mkopo hajenji hata nyumba ya udongo.
Mbeba box USA anapesa kuliko pesa anaelipwa daktari pale muhimbili, mshahara wa mwezi mzma wa daktari mbeba box anaeingiza kwa siku 4 hadi 5 tu, halafu unapata nafasi ya kutoka unakaza fuvu kubaki hapa utumwani.
Wabongo wengi wanajilegeza sana sio watu wa kutake risk wanapenda mtelezo ndo maana umaskini umekisiri na urithishwa vizazi na vizazi, unakuta familia nzma wote wanawaza kuajiriwa halmashauri hakuna mbeba maono hata mmoja.
Nasemaje nitakuja kuleta ushuhuda hapa nikiwa naenda zangu ulaya au Amerika siwezi fia unyanini mungu tu abless nia ipo uwezo upo zangu dua
Toka maghetoni twende viwanjani
#hakunakufaunyanini
Ukiwa na ajira ya uhakika Tamisemi, una uhakia wa kusoma wakati wowote. Ni bora kuajiriwa kwanza na kutafuta masomo/scholarship baadaye kuliko kwenda kupata masters ya kula pilipili India halafu urudi bongo huna kazi na unaambiwa uende VETA.Kwenye pitapita zangu vijiwe mbalimbali vya wasap nikakuta kijana anaomba ushauri kuwa kati ya fully funded scholarship ya master's India kozi ya environmental science and ecology kama sijakosea na ajira yake mpya ya ualimu halmashauri achague nn?
Hapa ndo nikaona ujinga wa wabongo wengi kukosa akili na wengi wamesoma kutoa ujinga na sio kuelimika, bongo hakuna kazi bali ni utumwa unaacha kwenda kupata exposure unakaa kusubiria Laki 8 Kwa mwezi tena ya mateso!!!!
Unaacha kwenda kuchangamana na dunia unabaki kukaa hapahapa bongo? Kwakwel kwaakili hizi ndo maana uko ulaya, Amerika na uarabuni wamejaza wakenya na waganda tu hapa afrika mashariki.
Dada wa kazi tu kutoka Kenya anaefanya kazi Oman wengi wana maendeleo kuliko wafanyakazi wa halmashauri wanaotegemea mikopo kujenga bila mkopo hajenji hata nyumba ya udongo.
Mbeba box USA anapesa kuliko pesa anaelipwa daktari pale muhimbili, mshahara wa mwezi mzma wa daktari mbeba box anaeingiza kwa siku 4 hadi 5 tu, halafu unapata nafasi ya kutoka unakaza fuvu kubaki hapa utumwani.
Wabongo wengi wanajilegeza sana sio watu wa kutake risk wanapenda mtelezo ndo maana umaskini umekisiri na urithishwa vizazi na vizazi, unakuta familia nzma wote wanawaza kuajiriwa halmashauri hakuna mbeba maono hata mmoja.
Nasemaje nitakuja kuleta ushuhuda hapa nikiwa naenda zangu ulaya au Amerika siwezi fia unyanini mungu tu abless nia ipo uwezo upo zangu dua
Toka maghetoni twende viwanjani
#hakunakufaunyanini
Mkuu umesoma Uzi au unakuja kutukanaHuna akili wewe mpumbavu kabisa ingia Google....
Andika nchi zinazoishi maisha ya shida zaidi na zenye slum za kutisha watakuletea
Najua kwa ujinga wako hujawahi panda ata ndege ko ushamba unakusumbua ukiangalia movie za Kuch Kuch unahisi ndio Bombay
Jamii forum wapime akili kabla ya kujiunga...
Unajifananisha na India?India Ina utofauti gani na Tanzania.
Naunga mkono hoja,umeandika kweli tupu ,risk taking ni tatizo kubwa sana Kwa Tanzania kulingana na malezi.Kwenye pitapita zangu vijiwe mbalimbali vya wasap nikakuta kijana anaomba ushauri kuwa kati ya fully funded scholarship ya master's India kozi ya environmental science and ecology kama sijakosea na ajira yake mpya ya ualimu halmashauri achague nn?
Hapa ndo nikaona ujinga wa wabongo wengi kukosa akili na wengi wamesoma kutoa ujinga na sio kuelimika, bongo hakuna kazi bali ni utumwa unaacha kwenda kupata exposure unakaa kusubiria Laki 8 Kwa mwezi tena ya mateso!!!!
Unaacha kwenda kuchangamana na dunia unabaki kukaa hapahapa bongo? Kwakwel kwaakili hizi ndo maana uko ulaya, Amerika na uarabuni wamejaza wakenya na waganda tu hapa afrika mashariki.
Dada wa kazi tu kutoka Kenya anaefanya kazi Oman wengi wana maendeleo kuliko wafanyakazi wa halmashauri wanaotegemea mikopo kujenga bila mkopo hajenji hata nyumba ya udongo.
Mbeba box USA anapesa kuliko pesa anaelipwa daktari pale muhimbili, mshahara wa mwezi mzma wa daktari mbeba box anaeingiza kwa siku 4 hadi 5 tu, halafu unapata nafasi ya kutoka unakaza fuvu kubaki hapa utumwani.
Wabongo wengi wanajilegeza sana sio watu wa kutake risk wanapenda mtelezo ndo maana umaskini umekisiri na urithishwa vizazi na vizazi, unakuta familia nzma wote wanawaza kuajiriwa halmashauri hakuna mbeba maono hata mmoja.
Nasemaje nitakuja kuleta ushuhuda hapa nikiwa naenda zangu ulaya au Amerika siwezi fia unyanini mungu tu abless nia ipo uwezo upo zangu dua
Toka maghetoni twende viwanjani
#hakunakufaunyanini
Wabongo wanaridhika mapema hayo mawazo hatakua nayo tenaUkiwa na ajira ya uhakika Tamisemi, una uhakia wa kusoma wakati wowote. Ni bora kuajiriwa kwanza na kutafuta masomo/scholarship baadaye kuliko kwenda kupata masters ya kula pilipili India halafu urudi bongo huna kazi na unaambiwa uende VETA.
Wa hivyo wako wengi so anaufikisha Kwa wengine pia ikiwemo wewe.Kwa nini usimtumie huu ujumbe muhusika unakuja kutupigia kelele humu?
Kama unaona kuwa house girl kunalipa na wewe kawe beki 3 Oman
Elimu ya India inathamani Dunia nzima Sio hapa bongo tu Hadi ulaya na marekani, anaingia nchi za ulaya bila shdaKwani akisoma India itamfanya awe nani?
Kiwango chako Cha ujinga ni unbearable.India Ina utofauti gani na Tanzania.