Kwenye pitapita zangu vijiwe mbalimbali vya wasap nikakuta kijana anaomba ushauri kuwa kati ya fully funded scholarship ya master's India kozi ya environmental science and ecology kama sijakosea na ajira yake mpya ya ualimu halmashauri achague nn?
Hapa ndo nikaona ujinga wa wabongo wengi kukosa akili na wengi wamesoma kutoa ujinga na sio kuelimika, bongo hakuna kazi bali ni utumwa unaacha kwenda kupata exposure unakaa kusubiria Laki 8 Kwa mwezi tena ya mateso!!!!
Unaacha kwenda kuchangamana na dunia unabaki kukaa hapahapa bongo? Kwakwel kwaakili hizi ndo maana uko ulaya, Amerika na uarabuni wamejaza wakenya na waganda tu hapa afrika mashariki.
Dada wa kazi tu kutoka Kenya anaefanya kazi Oman wengi wana maendeleo kuliko wafanyakazi wa halmashauri wanaotegemea mikopo kujenga bila mkopo hajenji hata nyumba ya udongo.
Mbeba box USA anapesa kuliko pesa anaelipwa daktari pale muhimbili, mshahara wa mwezi mzma wa daktari mbeba box anaeingiza kwa siku 4 hadi 5 tu, halafu unapata nafasi ya kutoka unakaza fuvu kubaki hapa utumwani.
Wabongo wengi wanajilegeza sana sio watu wa kutake risk wanapenda mtelezo ndo maana umaskini umekisiri na urithishwa vizazi na vizazi, unakuta familia nzma wote wanawaza kuajiriwa halmashauri hakuna mbeba maono hata mmoja.
Nasemaje nitakuja kuleta ushuhuda hapa nikiwa naenda zangu ulaya au Amerika siwezi fia unyanini mungu tu abless nia ipo uwezo upo zangu dua
Toka maghetoni twende viwanjani
#hakunakufaunyanini
Lecturer wa chuo hamkuti mshahara storekeeper wa UAE au Saudi Arabia, ulaya na marekan, Sasa master's ya India akipata Kaz ulaya au uarabuni,Canada ua US si anakua na mishahara ya walimu 10 Kwa mweziKwa nini usimtumie huu ujumbe muhusika unakuja kutupigia kelele humu?
Kama unaona kuwa house girl kunalipa na wewe kawe beki 3 Oman
Mada ifungweKwa nini usimtumie huu ujumbe muhusika unakuja kutupigia kelele humu?
Kama unaona kuwa house girl kunalipa na wewe kawe beki 3 Oman
India ni miongoni mwa nchi tajiri duniani, hapa bongo mkiumwa mnakimbilia huko halaf unaleta kejeri za kitanzaniaIndia hata mimi siendi
Tatzo nyinyi sio wapambanaji mnapenda vitu rahisi rahisi hamuwazi nje ya box zaidi ya mishahara ya halmashauri ambayo mlinzi ( mgambo) wa Dubai anapata mara 2 ya mwalimuMada ifungwe
Nmelinganisha level za mishahara unayolipwa uko nje na huku kwetu.Kwahy huyu beki tatu wa Kenya huko Oman na mbeba box huko USA ndio wamesoma India?
Namuunga mkono huyo mwalimu.
Kama upo nje ya bongo kweli utakua Hujarogwa lakn kama upo hapa na umeajiriwa halmashauri ni walewale"TUMEROGWA"!?
Utakuwa umerogwa wewe na huyo mwenzio,usitujumuishe wote!
India? Unadhani we wa kwanza kwenda India full funded scholarship?Kwenye pitapita zangu vijiwe mbalimbali vya wasap nikakuta kijana anaomba ushauri kuwa kati ya fully funded scholarship ya master's India kozi ya environmental science and ecology kama sijakosea na ajira yake mpya ya ualimu halmashauri achague nn?
Hapa ndo nikaona ujinga wa wabongo wengi kukosa akili na wengi wamesoma kutoa ujinga na sio kuelimika, bongo hakuna kazi bali ni utumwa unaacha kwenda kupata exposure unakaa kusubiria Laki 8 Kwa mwezi tena ya mateso!!!!
Unaacha kwenda kuchangamana na dunia unabaki kukaa hapahapa bongo? Kwakwel kwaakili hizi ndo maana uko ulaya, Amerika na uarabuni wamejaza wakenya na waganda tu hapa afrika mashariki.
Dada wa kazi tu kutoka Kenya anaefanya kazi Oman wengi wana maendeleo kuliko wafanyakazi wa halmashauri wanaotegemea mikopo kujenga bila mkopo hajenji hata nyumba ya udongo.
Mbeba box USA anapesa kuliko pesa anaelipwa daktari pale muhimbili, mshahara wa mwezi mzma wa daktari mbeba box anaeingiza kwa siku 4 hadi 5 tu, halafu unapata nafasi ya kutoka unakaza fuvu kubaki hapa utumwani.
Wabongo wengi wanajilegeza sana sio watu wa kutake risk wanapenda mtelezo ndo maana umaskini umekisiri na urithishwa vizazi na vizazi, unakuta familia nzma wote wanawaza kuajiriwa halmashauri hakuna mbeba maono hata mmoja.
Nasemaje nitakuja kuleta ushuhuda hapa nikiwa naenda zangu ulaya au Amerika siwezi fia unyanini mungu tu abless nia ipo uwezo upo zangu dua
Toka maghetoni twende viwanjani
#hakunakufaunyanini
Kwenye hiyo whatsapp group ulituma ujumbe kama huu?Kwenye pitapita zangu vijiwe mbalimbali vya wasap nikakuta kijana anaomba ushauri kuwa kati ya fully funded scholarship ya master's India kozi ya environmental science and ecology kama sijakosea na ajira yake mpya ya ualimu halmashauri achague nn?
Hapa ndo nikaona ujinga wa wabongo wengi kukosa akili na wengi wamesoma kutoa ujinga na sio kuelimika, bongo hakuna kazi bali ni utumwa unaacha kwenda kupata exposure unakaa kusubiria Laki 8 Kwa mwezi tena ya mateso!!!!
Unaacha kwenda kuchangamana na dunia unabaki kukaa hapahapa bongo? Kwakwel kwaakili hizi ndo maana uko ulaya, Amerika na uarabuni wamejaza wakenya na waganda tu hapa afrika mashariki.
Dada wa kazi tu kutoka Kenya anaefanya kazi Oman wengi wana maendeleo kuliko wafanyakazi wa halmashauri wanaotegemea mikopo kujenga bila mkopo hajenji hata nyumba ya udongo.
Mbeba box USA anapesa kuliko pesa anaelipwa daktari pale muhimbili, mshahara wa mwezi mzma wa daktari mbeba box anaeingiza kwa siku 4 hadi 5 tu, halafu unapata nafasi ya kutoka unakaza fuvu kubaki hapa utumwani.
Wabongo wengi wanajilegeza sana sio watu wa kutake risk wanapenda mtelezo ndo maana umaskini umekisiri na urithishwa vizazi na vizazi, unakuta familia nzma wote wanawaza kuajiriwa halmashauri hakuna mbeba maono hata mmoja.
Nasemaje nitakuja kuleta ushuhuda hapa nikiwa naenda zangu ulaya au Amerika siwezi fia unyanini mungu tu abless nia ipo uwezo upo zangu dua
Toka maghetoni twende viwanjani
#hakunakufaunyanini
Je n watu wangapi wamesoma nje na wamepata kazi za uhakika hapa nchini au huko mbele?Nmelinganisha level za mishahara unayolipwa uko nje na huku kwetu.
Huyo jamaa akimaliza master's anaweza kwenda ulaya Amerika au uarabuni kirahis zaidi na akafanya kazi za kawaida huku akitafuta kazi za master's hata degree na akapata pesa nzuri kuliko kukaa hapa bongo.
Wenzetu Kenya wametupita vingi Sana as wabongo kwenye kujitoa muhanga risk taking
Hao ni walewale tu huwezi ukasoma India halaf malengo Yako yaje kuwa kuajiriwa Tanzania hayo ni matumizi mabaya ya akiliTatizo limeanza ulipoona uamuzi wa mwenzio kuwa wa kijinga bila kuelewa muktadha.
Huku mtaani tuna vijana wengi wamesoma India, China, Ukraine na nchi nyingine kama hizo... na hawana ajira.
India siyo Ulaya, hakuna urahisi wowote utakaoupata wa kuingia Ulaya.
Wahindi wenyewe kupata visa ya Ulaya kazi, ije kuwa wewe Mtanzania!
Mkuu jadili mada mm uko nilikua mtazamaj tu sjadili vitu kwenye magroup ya wasapKwenye hiyo whatsapp group ulituma ujumbe kama huu?
Wabongo tuna woga sana. Ingawa jamaa anaweza kuwa na sababu zingine binafsi. Ikiwemo hali ya uchumi nyumbani, matatizo ya familiaMkuu jadili mada mm uko nilikua mtazamaj tu sjadili vitu kwenye magroup ya wasap
Hii kitu huwa nawambia marafiki zangu hawanielewagi. Mtu unatumia zaidi ya milioni 100 kusoma degree au Masters Urusi harafu unarudi Tz kupata mshahara wa milioni 1.5.Hao ni walewale tu huwezi ukasoma India halaf malengo Yako yaje kuwa kuajiriwa Tanzania hayo ni matumizi mabaya ya akili
Kwann urud bongo kwanza wakati hapo Dubai, Qatar, UAE na Saudi Arabia wanaingia hata wasio na vyeti vya Form four kufanya kazi na wanalipwa kuliko walimu wa bongoJe n watu wangapi wamesoma nje na wamepata kazi za uhakika hapa nchini au huko mbele?
Vp kama akisoma huko India na bado akarudi kukaa bench hapa hapa nchini au kuishia kuajiriwa halmashauri kwa sababu ana elimu nzuri?