Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
- Thread starter
- #61
Nyinyi ndo inafanya hii nchi isiendelee hamuwez kuchukua hatua Zaid ya kupenda mtelezoKwani wwe ukienda kuna shida gani? Mbona unaleta umuhimu kwenye maisha ya watu
Nyinyi ndo inafanya hii nchi isiendelee hamuwez kuchukua hatua Zaid ya kupenda mtelezoKwani wwe ukienda kuna shida gani? Mbona unaleta umuhimu kwenye maisha ya watu
Niende somalia kuliko kuenda india kwenye maslum ya kipumbavu huko kila konaKatika nchi 20 tajiri duniani India IPO
Napia sijasema abak india akimaliza masomo bali aende sehemu nyingne ulaya, uarabuni au Amerika ni rahisi kwake kutokana na elimu yake
India elimu yake inaheshimika Dunia nzima, India sio jalalani
Hatuna Cha kujilinganisha na India hata kimoja sisi Tanzania labda uchawa tuTumeipita USA kiuchumi sembuse India, acha masihara mkuu
Hili ni tatzo la wabongo aliesema India ndo destination yake ya mafanikio nani?Si bora
Niende somalia kuliko kuenda india kwenye maslum ya kipumbavu huko kila kona
unajidanganya sana ndugu yangu maisha hayapo hivyoMkuu umesoma Uzi au unakuja kutukana
Hata kungekua na slum nchi yote hatuna Cha kujifananisha na India sisi Tanzania, half nimesema akimaliza ni rahisi kwake kwenda ulaya, Amerika au uarabuni sjasema abak india
neeenda wapi?Nyinyi ndo inafanya hii nchi isiendelee hamuwez kuchukua hatua Zaid ya kupenda mtelezo
Huo ndo ukwel sisi tuna matatzo makubwa sanaView attachment 3405368
SHINDWA PEPO
Mm swez fia unyanini, namuomba sana Mungu jitihada zangu zizae matundaWe u
neeenda wapi?
Hao ni walewale tu wajinga wajinga yani usome uingereza, china au India master's uje utegee mitego kazi bongo huo si ujingaHapa ofisi ninayofanya kazi (shirika la umma)kuna washikaji zangu watatu wamesoma China, India, na Uingereza.
Huwa wananisimulia walivyohangaika kupata hii kazi. Nikikumbuka mimi pia nilivyohangaika kupata hii kazi, nilivyosota miaka mitano mtaani.
Namsupport huyo jamaa, ukiwa na kazi ya uhakika ni rahisi kutimiza mambo mengi kwenye maisha. Maisha yamekuchapa ukatae kazi kisa scholarship
Grass is always greener on the other side!
Kwann urud huku kama mipango ni kurud bongo bas haina haja ya kusoma master's njeAende alafu arudi bila chochote na masters yake unayedhani karogwa
Yapoje wakenya wananigeria wanajazana Kila nchi sababu ya uthubutu HAWANA akili kama zenu za kuridhika hovyo na vitu vidogo, et maisha hayapo hivo huo n uzwazwaUnajidanfanya sunajidanganya sana ndugu yangu maisha hayapo hivyo
HahahhaKwanza wabongo tunaroho mbaya mtu ukisoma Sana tena nje unaweza usipewe kazi watu wanakuona tishio sio kwamba utaisaidia taasisi au kampuni Sasa hio ni nchi ya kuishi Kwel?
Na Nyie wasomi somtimea mnazingua....eti kwa sababu mmesoma hata kazi hamtaki kufanya kazi Yenu ni kutuma tuma tu sasa ujuzi wako tutaudaidi lini?Kwanza wabongo tunaroho mbaya mtu ukisoma Sana tena nje unaweza usipewe kazi watu wanakuona tishio sio kwamba utaisaidia taasisi au kampuni Sasa hio ni nchi ya kuishi Kwel?
Bongo kuna Watoto wazuri aisee naachaje? Kama mshahara huu huu unatosha lakini mtaani tunavimba...Yapoje wakenya wananigeria wanajazana Kila nchi sababu ya uthubutu HAWANA akili kama zenu za kuridhika hovyo na vitu vidogo, et maisha hayapo hivo huo n uzwazwa
Well Said! Umeelezea kitu cha maana kabisa.Kwenye pitapita zangu vijiwe mbalimbali vya wasap nikakuta kijana anaomba ushauri kuwa kati ya fully funded scholarship ya master's India kozi ya environmental science and ecology kama sijakosea na ajira yake mpya ya ualimu halmashauri achague nn?
Hapa ndo nikaona ujinga wa wabongo wengi kukosa akili na wengi wamesoma kutoa ujinga na sio kuelimika, bongo hakuna kazi bali ni utumwa unaacha kwenda kupata exposure unakaa kusubiria Laki 8 Kwa mwezi tena ya mateso!!!!
Unaacha kwenda kuchangamana na dunia unabaki kukaa hapahapa bongo? Kwakwel kwaakili hizi ndo maana uko ulaya, Amerika na uarabuni wamejaza wakenya na waganda tu hapa afrika mashariki.
Dada wa kazi tu kutoka Kenya anaefanya kazi Oman wengi wana maendeleo kuliko wafanyakazi wa halmashauri wanaotegemea mikopo kujenga bila mkopo hajenji hata nyumba ya udongo.
Mbeba box USA anapesa kuliko pesa anaelipwa daktari pale muhimbili, mshahara wa mwezi mzma wa daktari mbeba box anaeingiza kwa siku 4 hadi 5 tu, halafu unapata nafasi ya kutoka unakaza fuvu kubaki hapa utumwani.
Wabongo wengi wanajilegeza sana sio watu wa kutake risk wanapenda mtelezo ndo maana umaskini umekisiri na urithishwa vizazi na vizazi, unakuta familia nzma wote wanawaza kuajiriwa halmashauri hakuna mbeba maono hata mmoja.
Nasemaje nitakuja kuleta ushuhuda hapa nikiwa naenda zangu ulaya au Amerika siwezi fia unyanini mungu tu abless nia ipo uwezo upo zangu dua
Toka maghetoni twende viwanjani
#hakunakufaunyanini
Hahaha.....anajaribu kutufungua akili.Mleta mada anavyolalamika sana as if kama kama na yeye yupo USA,Oman,au UAE usikute yupo Gamboshi simiyu huko akichimba chumvi
Wewe unaona scholarship ndio maisha? Kuna mambo mengi ya kufanya sio lazima kusoma sana halafu huhui ukimaliza kusoma utafanya nini.Kwenye pitapita zangu vijiwe mbalimbali vya wasap nikakuta kijana anaomba ushauri kuwa kati ya fully funded scholarship ya master's India kozi ya environmental science and ecology kama sijakosea na ajira yake mpya ya ualimu halmashauri achague nn?