Watanzania tumerogwa? Unakataa Fully funded scholarship ya masters India kisa ajira ya halmashauri (ualimu)?

Watanzania tumerogwa? Unakataa Fully funded scholarship ya masters India kisa ajira ya halmashauri (ualimu)?

Sasa si uombe ukasomee huko Mbona unataka kumpangia mwenzio wapi akasome
Mm Naomba nikipata ntaleta ushuhuda mm n mwalimu lkn sijapata ajira na sijawah kuomba ajira bado lkn nikipata ufadhili ulaya naondoka na kazi naacha na srud Tena huku nikija nakuja kutalii tu kuona wanyama
 
Mkuu hakuna dharau ndo uhalisia Kuna mwalimu anaweza toa Lak na 80 anunue baiskel mpya kutoka kwenye mshahara wake bila kukopa?

Kuna mwalimu anaweza kujenga bila mkopo?

Kuna mwalimu anaweza kufungua biashara inayoeleweka bila mkopo?

Kuna mwalimu anaweza nunua pikipik bila mkopo?

Kuna mwalimu anaweza nunua gari bila mkopo?

Ukiona kazi hayo ujue kwao wanahela sio mbelile mbelile, mshahara huohuo wa Lak 8 UKoo mzma wanautolea macho utamudu jambo Gani?
We kichwa chako kina changamoto mwalimu anaenza degree anaanza na laki 8 akikaa miaka 7 mzigo unafika mil moja na kitu akisema aweke mtaji hawezi kosa
 
Nmelinganisha level za mishahara unayolipwa uko nje na huku kwetu.

Huyo jamaa akimaliza master's anaweza kwenda ulaya Amerika au uarabuni kirahis zaidi na akafanya kazi za kawaida huku akitafuta kazi za master's hata degree na akapata pesa nzuri kuliko kukaa hapa bongo.

Wenzetu Kenya wametupita vingi Sana as wabongo kwenye kujitoa muhanga risk taking
Huna exposure kabisa ndo maana unaona India ni dili sana. Umeshawahi toka nje ya nchi hata kwenda hapo Malawi tu?
 
Wewe Ndio umerogwa. Tena ukarogwa tena . Na inawezekan bongo huijui vizuri.. kupata kazi serikalini ni kama tone la sukari baharini.. kama ulipata kiurahisi shukuru Mola wako
Hajiulizi kwanini watu wakienda Ulaya hata wiki moja wanabadili lafudhi ila lafudhi hubaki imenyooka hata wakae India miaka 30
 
Mbona hakuna mahusiano ya moja kwa moja kusoma India na kufanya kazi Ulaya , kimgekuwa chuo kipo ulaya sawa ila sio India bora asome hiyo masters open akiwa kazini kuliko hiyo masters ya environment na ecology tena ya India
Mkuu ni rahisi kupata kazi ulaya Amerika au uarabuni ukiwa na master's ya India kuliko zahuku jalalani huelewi nn?

Nakama hela atakua anapata milion mbili na Lak 3 Kila mwezi Kwa kipindi Cha miez 18 ya masomo Sasa Kwann abak kugonja mshahara wa halmashauri?

Hii ni njia ya wapambanaji wasio ridhika na vidogo najua akikaa bongo akianza kukopa mawazo ya kuondoka kwenda kupambana kupata kingi ndo hayatakuwepo tena atafia hapahapa unyanini
 
Kiongozi India sio mahali rafiki hasa kwa mtu mweusi kimazingira na fursa atasoma kwa shida na ma-enviromentalist wapo wengi sio rahisi kupata kazi Ulaya labda angekua mtaalamu wa kozi adimu
 
Kiongozi India sio mahali rafiki hasa kwa mtu mweusi kimazingira na fursa atasoma kwa shida na ma-enviromentalist wapo wengi sio rahisi kupata kazi Ulaya labda angekua mtaalamu wa kozi adimu
Mtu mweusi hana raha popote pale hapa duniani hata hapa Africa tunateseka pia Kwa wakolon weusi wenzetu
 
We kichwa chako kina changamoto mwalimu anaenza degree anaanza na laki 8 akikaa miaka 7 mzigo unafika mil moja na kitu akisema aweke mtaji hawezi kosa
Milion ndo Hela ya kutamba nayo hiyo si dollar 300 tu ambayo ni kazi ya siku 4 Kwa mbeba box mkuu?
 
Abaki halmashauri kama anataka kusoma atasoma Open , India big No
INdia inavyuo vingi vikubwa dunian vinavyoheshimika, ni nchi mbili tu hapa afrika zinavyuo vya kushindana na vya India Nazo ni south Africa na misri
 
Ulitakiwa utoe ushauri na siyo kulalamika maana kwa mujibu wa maelezo yako jamaa aliomba ushauri sasa kwanini unalalamika badala ya kutoa ushauri?
 
Milion ndo Hela ya kutamba nayo hiyo si dollar 300 tu ambayo ni kazi ya siku 4 Kwa mbeba box mkuu?
Kila hela inathamani kulingana na eneo husika inapotumiwa fedha hiyo wastani kodi marekani ni $2,113 per month sasa hii kodi kwa tzs ni takribani mil 5 sasa mbeba box hata akilipwa mil 10 ya Tz hela inaishia kwenye kodi bongo land mtu analipwa mil amepanga elf hamsini unapata picha sasa haijalishi unalipwa tsh ngapi tunachoangalia ni gharama za maisha sehemu husika
 
Lecturer wa chuo hamkuti mshahara storekeeper wa UAE au Saudi Arabia, ulaya na marekan, Sasa master's ya India akipata Kaz ulaya au uarabuni,Canada ua US si anakua na mishahara ya walimu 10 Kwa mwezi
We dogo fala sana, Hata Jana tulikwambia ulipotaka ushauri sababu Yako eti kwenda Ulaya kufanya kazi , kama Hilo ndio lengo lako kwanini uteseka kwenda kusoma master ? Watu nje wanakeenda Kwa mipango . Acha ufala kafanye kazi.
 
Sasa kwanini TCU wanataka ukirudi upeleke vyeti vithibitishwe , unaweza ukarudi na master’s yako ukaambiwa kwa level ya hicho chuo ni diploma huku
TCU nao wana jeuri sana. Masters ni content na sio mahali inakotoka
 
Kila hela inathamani kulingana na eneo husika inapotumiwa fedha hiyo wastani kodi marekani ni $2,113 per month sasa hii kodi kwa tzs ni takribani mil 5 sasa mbeba box hata akilipwa mil 10 ya Tz hela inaishia kwenye kodi bongo land mtu analipwa mil amepanga elf hamsini unapata picha sasa haijalishi unalipwa tsh ngapi tunachoangalia ni gharama za maisha sehemu husika
Unafurahisha mkuu kwakwel bado huna exposure

Kodi ya single bedroomua kawaida kabsa USA ni Dollar 600-800 inategemea na mji kama unataka anasa studio bedroom ndo uko dollar 2300
 
We dogo fala sana, Hata Jana tulikwambia ulipotaka ushauri sababu Yako eti kwenda Ulaya kufanya kazi , kama Hilo ndio lengo lako kwanini uteseka kwenda kusoma master ? Watu nje wanakeenda Kwa mipango . Acha ufala kafanye kazi.
Kaz za halmashauri fanyen nyinyi mkuu mm ushauri wangu ndo huo na ningekua mm nisingeomba ushauri swez fia unyanini
 
Back
Top Bottom