Watanzania tumerogwa? Unakataa Fully funded scholarship ya masters India kisa ajira ya halmashauri (ualimu)?

Watanzania tumerogwa? Unakataa Fully funded scholarship ya masters India kisa ajira ya halmashauri (ualimu)?

Kwa mtazamo wangu yes. Ulaya maisha ni expensive sana. Halafu kupata visa za huko unadhani ni rahisi, we hata kama una sijui milioni 100 kwenye account uone kama utapata visa kirahisi. Sana sana ukibahatika kupata utapewa ya mwezi mmoja tu.
Unachekesha mkuu visa vinapatikana Kwa mtindo mbalimbali sio lazma huo unaotaka ww WA kuwa na milion 100, mtu anaechukua hatua ngumu anakua kashapanga michoro yote hatukurupuki
 
Wewe sema maisha yako ni magumu bongo ila usijilinganishe na wengine. Unasubiri nini sasa, kaombe visa uende huko.
Maisha yangu ni magumu Kwel lakn bongo hakuna maisha mazuri pia labda uwe mwizi wa Mali za umma sio kwakazi za halmashaur
 
Unachekesha mkuu visa vinapatikana Kwa mtindo mbalimbali sio lazma huo unaotaka ww WA kuwa na milion 100, mtu anaechukua hatua ngumu anakua kashapanga michoro yote hatukurupuki
Visa za hivyo labda sio Ulaya nanayoijuia. UAE ni rahisi hata online unapata siku hiyo hiyo. Nenda Canada, au nchi za Ulaya au USA uone kimbembe chake.
 
Visa za hivyo labda sio Ulaya nanayoijuia. UAE ni rahisi hata online unapata siku hiyo hiyo. Nenda Canada, au nchi za Ulaya au USA uone kimbembe chake.
Hayo unayosema tunayajua na tushajua tunavukaje hauna jipya humu hatujadili kuhusu visa
 
Kwenye pitapita zangu vijiwe mbalimbali vya wasap nikakuta kijana anaomba ushauri kuwa kati ya fully funded scholarship ya master's India kozi ya environmental science and ecology kama sijakosea na ajira yake mpya ya ualimu halmashauri achague nn?

Hapa ndo nikaona ujinga wa wabongo wengi kukosa akili na wengi wamesoma kutoa ujinga na sio kuelimika, bongo hakuna kazi bali ni utumwa unaacha kwenda kupata exposure unakaa kusubiria Laki 8 Kwa mwezi tena ya mateso!!!!

Unaacha kwenda kuchangamana na dunia unabaki kukaa hapahapa bongo? Kwakwel kwaakili hizi ndo maana uko ulaya, Amerika na uarabuni wamejaza wakenya na waganda tu hapa afrika mashariki.

Dada wa kazi tu kutoka Kenya anaefanya kazi Oman wengi wana maendeleo kuliko wafanyakazi wa halmashauri wanaotegemea mikopo kujenga bila mkopo hajenji hata nyumba ya udongo.

Mbeba box USA anapesa kuliko pesa anaelipwa daktari pale muhimbili, mshahara wa mwezi mzma wa daktari mbeba box anaeingiza kwa siku 4 hadi 5 tu, halafu unapata nafasi ya kutoka unakaza fuvu kubaki hapa utumwani.

Wabongo wengi wanajilegeza sana sio watu wa kutake risk wanapenda mtelezo ndo maana umaskini umekisiri na urithishwa vizazi na vizazi, unakuta familia nzma wote wanawaza kuajiriwa halmashauri hakuna mbeba maono hata mmoja.

Nasemaje nitakuja kuleta ushuhuda hapa nikiwa naenda zangu ulaya au Amerika siwezi fia unyanini mungu tu abless nia ipo uwezo upo zangu dua

Toka maghetoni twende viwanjani

#hakunakufaunyanini
Dogo unaandika pumba Sana
 
Sio mm lakn hata iweje swez kuacha ufadhili kisa kazi ya halmashauri

Mm kama mm sjawahi kuwa na malengo ya kufia hapa bongo unyanini nikipata fursa ya kuondoka naondoka na nikirudi nikuja kutalii tu nakusepa

Swez soma master's halaf et nirud Tena bongo kufukuzia Kaz za 1.5-2.5 milion huo ni ujinga wa Hali ya juu, si Bora nikabebe box ulaya au uarabuni nikijipanga kwenda US au Canada ambapo hiyo pesa naipata ndani ya sku 7 au 10 tu
Wapo vijana kibao tu hapa bongo walisoma scholar India wakarudi hapa. Mmoja ni mmiliki wa Sahara venture ambae kasoma na mwanangu mmoja hiv nae anajitafuta mpaka leo. Wapo kibao humu bongo mzee usione kitu cha ajab
 
Hao ni walewale tu wajinga wajinga yani usome uingereza, china au India master's uje utegee mitego kazi bongo huo si ujinga

Uko china na uingereza wanaruhusu wanafunzi wa master's kubaki wakimalizana masomo kama wamepata kazi sehemu kwann urudi bongo?

Huo ni ujinga mkubwa wao wenyewe
Uingereza Kuna graduate route visa na China Kuna Post-study work visa unarudije unyanini kama sio hujielewi?
Hakuna sehemu nimesema wamesoma masters.

Mimi mjinga ila maisha yangu ni bora mara mia ya wewe unaelilia scholarship mitandaoni.

Wewe ndio wale wajinga wanaodhani kuishi ughaibuni ndio kutoboa.

So far kama ni rahisi kutoboa huko Ughaibuni mbona hujaenda wewe?
 
Maisha Yako mm yananihusu nn?
 
Back
Top Bottom