Sisyphus
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,967
- 8,763
Sawa abby kipenzi changuUnafurahisha mkuu kwakwel bado huna exposure
Kodi ya single bedroom USA ni Dollar 600-800 inategemea na mji kama unataka anasa ndo uko dollar 23000
Sawa abby kipenzi changuUnafurahisha mkuu kwakwel bado huna exposure
Kodi ya single bedroom USA ni Dollar 600-800 inategemea na mji kama unataka anasa ndo uko dollar 23000
Sawa Wacha sisi manyani tufanye kazi Halmashauri , ww kasome master iyo Master Wacha kazi ila ukirudi utatafuta hiyo kazi ya master utumishi / private sector.Kaz za halmashauri fanyen nyinyi mkuu mm ushauri wangu ndo huo na ningekua mm nisingeomba ushauri swez fia unyanini
Mkuu we ni mwanamke? Pia nilikosea figure hapo kwenye 23000 ni 2300Sawa abby kipenzi changu
Siwez kurud bongo hata iweje kama napanga kusoma nje ya Africa vyuo Bora halaf nawaza kuja kuajiriwa bongo ntakuja Sina tofauti na wagonjwa wa milembe.Sawa Wacha sisi manyani tufanye kazi Halmashauri , ww kasome master iyo Master Wacha kazi ila ukirudi utatafuta hiyo kazi ya master utumishi / private sector.
Sasa unaandika kuomba ushauri wa Nini kama ushafanya maamuzi Yako?Siwez kurud bongo hata iweje kama napanga kusoma nje ya Africa vyuo Bora halaf nawaza kuja kuajiriwa bongo ntakuja Sina tofauti na wagonjwa wa milembe.
Africa inayolipa ni siasa tu sio ajira
Weweee India hatuendi buana usilazimisheIndia ni miongoni mwa nchi tajiri duniani, hapa bongo mkiumwa mnakimbilia huko halaf unaleta kejeri za kitanzania
Unafikiri gharama ya maisha ya ughaibuni ni kama hapo Buza kwa Mpalange?Hao ni walewale tu huwezi ukasoma India halaf malengo Yako yaje kuwa kuajiriwa Tanzania hayo ni matumizi mabaya ya akili
Ukiashamua kuondoka bongo basi amua Moja Kwa Moja na uwe na mchoro mzima wa mambo ya mbele
Kwamm siwezi rudi bongo nikitoka India eti kuishi labda kutembea tu Kuna kuona wanyama
Mtu unapata Milion 2 ya matumiz Kila mwezi Kwa miezi 18 utashindwa kusevu hata milion 12 upate Hela ya kwenda kuishi popote utakapo maliza master's?
Ww kama huelew mambo madogo tu Bora nisibishane naww kabsaSasa unaandika kuomba ushauri wa Nini kama ushafanya maamuzi Yako?
Gharama za maisha hazfanan na vipato hazfanan, kwann beki 3 wa Oman au mbeba box USA anaweza kujenga nyumba 3 Tanzania nzuri ndani ya miaka 5 lakn mwalimu hawezi kujenga hata moja bila kukopa?Unafikiri gharama ya maisha ya ughaibuni ni kama hapo Buza kwa Mpalange?
Hujui lolote. Kaa kimyaMkuu hakuna sehemu nimesema abak india baada ya masomo tuwe waelewa kwakwl
Hakuna wafanyakazi halmashauri waliojenga nyumba tatu nzuri ndani ya miaka mitano?Gharama za maisha hazfanan na vipato hazfanan, kwann beki 3 wa Oman au mbeba box USA anaweza kujenga nyumba 3 Tanzania nzuri ndani ya miaka 5 lakn mwalimu hawezi kujenga hata moja bila kukopa?
Ukijibu hapa ntabak halmashauri
Sisi ndo tulivyo hata wachezaj mpira wengi wa Tanzania wanaakili hizhiz za wafanyakazi wa serikalin wanashindwa akili hata na wahuni wa tandale wanaozamia Africa kusiniWeweee India hatuendi buana usilazimishe
Ww unajua nn zaid ya uchawa?Hujui lolote. Kaa kimya
Kielimu unaweza kwenda kuliko kuwa mwalim wapo juu zaidi yetuWewe ndo huna akili ku deal na maamuzi ya watu, India ni mahali pa kwenda kweli?
Huko India kwenyewe kuna wahindi kibao wanahaha watatokaje hiyo nchi yao waende Ulaya wanashindwa, sembuse huyo mbongoMkuu umesoma Uzi au unakuja kutukana
Hata kungekua na slum nchi yote hatuna Cha kujifananisha na India sisi Tanzania, half nimesema akimaliza ni rahisi kwake kwenda ulaya, Amerika au uarabuni sjasema abak india
Hakuna na kama yupo ujue anatoka familia ya yenye pesa au mwizi hakuna Kaz halal ya halmashauri itamfanya mtumishi ajenge nyumba hata moja Kwa mshahara, wengi wanajenga Kwa mikopo na wiziHakuna wafanyakazi halmashauri waliojenga nyumba tatu nzuri ndani ya miaka mitano?
Soma Uzi elewa ndo uchangie mada usikurupuke kuongeaHuko India kwenyewe kuna wahindi kibao wanahaha watatokaje hiyo nchi yao waende Ulaya wanashindwa, sembuse huyo mbongo
SCHOLARSHIP YA MASATERS India ni taka taka hata Mimi siendi zamani ukiskia mtu ana Degree , Masters, PhD unasema huyu ameula lakini sasahivi unahitaji cheti Cha form iv tu na JKT Kisha TANAPA chap unashikq pesa chafu mpaka wewe na masters Yako unakuwa unakaa mbali kuwa mjanja ww Saka pesa kwanzaKwenye pitapita zangu vijiwe mbalimbali vya wasap nikakuta kijana anaomba ushauri kuwa kati ya fully funded scholarship ya master's India kozi ya environmental science and ecology kama sijakosea na ajira yake mpya ya ualimu halmashauri achague nn?
Hapa ndo nikaona ujinga wa wabongo wengi kukosa akili na wengi wamesoma kutoa ujinga na sio kuelimika, bongo hakuna kazi bali ni utumwa unaacha kwenda kupata exposure unakaa kusubiria Laki 8 Kwa mwezi tena ya mateso!!!!
Unaacha kwenda kuchangamana na dunia unabaki kukaa hapahapa bongo? Kwakwel kwaakili hizi ndo maana uko ulaya, Amerika na uarabuni wamejaza wakenya na waganda tu hapa afrika mashariki.
Dada wa kazi tu kutoka Kenya anaefanya kazi Oman wengi wana maendeleo kuliko wafanyakazi wa halmashauri wanaotegemea mikopo kujenga bila mkopo hajenji hata nyumba ya udongo.
Mbeba box USA anapesa kuliko pesa anaelipwa daktari pale muhimbili, mshahara wa mwezi mzma wa daktari mbeba box anaeingiza kwa siku 4 hadi 5 tu, halafu unapata nafasi ya kutoka unakaza fuvu kubaki hapa utumwani.
Wabongo wengi wanajilegeza sana sio watu wa kutake risk wanapenda mtelezo ndo maana umaskini umekisiri na urithishwa vizazi na vizazi, unakuta familia nzma wote wanawaza kuajiriwa halmashauri hakuna mbeba maono hata mmoja.
Nasemaje nitakuja kuleta ushuhuda hapa nikiwa naenda zangu ulaya au Amerika siwezi fia unyanini mungu tu abless nia ipo uwezo upo zangu dua
Toka maghetoni twende viwanjani
#hakunakufaunyanini