Watanzania tumerogwa? Unakataa Fully funded scholarship ya masters India kisa ajira ya halmashauri (ualimu)?

Kwenye pitapita zangu vijiwe mbalimbali vya wasap nikakuta kijana anaomba ushauri kuwa kati ya fully funded scholarship ya master's India kozi ya environmental science and ecology kama sijakosea na ajira yake mpya ya ualimu halmashauri achague nn?

Hapa ndo nikaona ujinga wa wabongo wengi kukosa akili na wengi wamesoma kutoa ujinga na sio kuelimika, bongo hakuna kazi bali ni utumwa unaacha kwenda kupata exposure unakaa kusubiria Laki 8 Kwa mwezi tena ya mateso!!!!

Unaacha kwenda kuchangamana na dunia unabaki kukaa hapahapa bongo? Kwakwel kwaakili hizi ndo maana uko ulaya, Amerika na uarabuni wamejaza wakenya na waganda tu hapa afrika mashariki.

Dada wa kazi tu kutoka Kenya anaefanya kazi Oman wengi wana maendeleo kuliko wafanyakazi wa halmashauri wanaotegemea mikopo kujenga bila mkopo hajenji hata nyumba ya udongo.

Mbeba box USA anapesa kuliko pesa anaelipwa daktari pale muhimbili, mshahara wa mwezi mzma wa daktari mbeba box anaeingiza kwa siku 4 hadi 5 tu, halafu unapata nafasi ya kutoka unakaza fuvu kubaki hapa utumwani.

Wabongo wengi wanajilegeza sana sio watu wa kutake risk wanapenda mtelezo ndo maana umaskini umekisiri na urithishwa vizazi na vizazi, unakuta familia nzma wote wanawaza kuajiriwa halmashauri hakuna mbeba maono hata mmoja.

Nasemaje nitakuja kuleta ushuhuda hapa nikiwa naenda zangu ulaya au Amerika siwezi fia unyanini mungu tu abless nia ipo uwezo upo zangu dua

Toka maghetoni twende viwanjani

#hakunakufaunyanini
Wewe Ndio umerogwa. Tena ukarogwa tena . Na inawezekan bongo huijui vizuri.. kupata kazi serikalini ni kama tone la sukari baharini.. kama ulipata kiurahisi shukuru Mola wako
 
Hii kitu huwa nawambia marafiki zangu hawanielewagi. Mtu unatumia zaidi ya milioni 100 kusoma degree au Masters Urusi harafu unarudi Tz kupata mshahara wa milioni 1.5.
Kwanza wabongo tunaroho mbaya mtu ukisoma Sana tena nje unaweza usipewe kazi watu wanakuona tishio sio kwamba utaisaidia taasisi au kampuni Sasa hio ni nchi ya kuishi Kwel?
 
Wewe Ndio umerogwa. Tena ukarogwa tena . Na inawezekan bongo huijui vizuri.. kupata kazi serikalini ni kama tone la sukari baharini.. kama ulipata kiurahisi shukuru Mola wako
Huo ndo ujinga wenu wadada wa kazi wa Oman wananyumba zaidi ya 3 hapa Tanzania Tena chini ya miaka 5 we mwalimu Hadi unastafu unanyumba moja Tena umejenga Kwa mikopo chungu nzima
 
Kwenye pitapita zangu vijiwe mbalimbali vya wasap nikakuta kijana anaomba ushauri kuwa kati ya fully funded scholarship ya master's India kozi ya environmental science and ecology kama sijakosea na ajira yake mpya ya ualimu halmashauri achague nn?

Hapa ndo nikaona ujinga wa wabongo wengi kukosa akili na wengi wamesoma kutoa ujinga na sio kuelimika, bongo hakuna kazi bali ni utumwa unaacha kwenda kupata exposure unakaa kusubiria Laki 8 Kwa mwezi tena ya mateso!!!!

Unaacha kwenda kuchangamana na dunia unabaki kukaa hapahapa bongo? Kwakwel kwaakili hizi ndo maana uko ulaya, Amerika na uarabuni wamejaza wakenya na waganda tu hapa afrika mashariki.

Dada wa kazi tu kutoka Kenya anaefanya kazi Oman wengi wana maendeleo kuliko wafanyakazi wa halmashauri wanaotegemea mikopo kujenga bila mkopo hajenji hata nyumba ya udongo.

Mbeba box USA anapesa kuliko pesa anaelipwa daktari pale muhimbili, mshahara wa mwezi mzma wa daktari mbeba box anaeingiza kwa siku 4 hadi 5 tu, halafu unapata nafasi ya kutoka unakaza fuvu kubaki hapa utumwani.

Wabongo wengi wanajilegeza sana sio watu wa kutake risk wanapenda mtelezo ndo maana umaskini umekisiri na urithishwa vizazi na vizazi, unakuta familia nzma wote wanawaza kuajiriwa halmashauri hakuna mbeba maono hata mmoja.

Nasemaje nitakuja kuleta ushuhuda hapa nikiwa naenda zangu ulaya au Amerika siwezi fia unyanini mungu tu abless nia ipo uwezo upo zangu dua

Toka maghetoni twende viwanjani

#hakunakufaunyanini

Lakini scholarship siyo ajira.
 
India

? Yaani mwa

naume mzima uende India? Upumbavu mtupu we ndiyo utakula umerogwa kwa kumshangaa mwenzio
 
Ukiwa na ajira ya uhakika Tamisemi, una uhakia wa kusoma wakati wowote. Ni bora kuajiriwa kwanza na kutafuta masomo/scholarship baadaye kuliko kwenda kupata masters ya kula pilipili India halafu urudi bongo huna kazi na unaambiwa uende VETA.
😀🤣
 
Kila mtu ana options zake. Haina haja ya kumpangia mtu unachohisi ni sahihi.
Kimsingi ulitakiwa kuonyesha faida na hasara ya kila chaguo na kisha kumuacha yeye mwenye afanye maamuzi.

Kwa kifupi ushauri wako haujakamilika upo too judgemental na umebeba hisia na maoni yako binafsi. Na haufai kuwa mshauri hata kwa mtoto wako.
 
Huna akili wewe mpumbavu kabisa ingia Google....

Andika nchi zinazoishi maisha ya shida zaidi na zenye slum za kutisha watakuletea

Najua kwa ujinga wako hujawahi panda ata ndege ko ushamba unakusumbua ukiangalia movie za Kuch Kuch unahisi ndio Bombay

Jamii forum wapime akili kabla ya kujiunga...
😁😁😁 Easy easy mtatoa damu ndugu wajumbe 🙌
 
Kwenye pitapita zangu vijiwe mbalimbali vya wasap nikakuta kijana anaomba ushauri kuwa kati ya fully funded scholarship ya master's India kozi ya environmental science and ecology kama sijakosea na ajira yake mpya ya ualimu halmashauri achague nn?

Hapa ndo nikaona ujinga wa wabongo wengi kukosa akili na wengi wamesoma kutoa ujinga na sio kuelimika, bongo hakuna kazi bali ni utumwa unaacha kwenda kupata exposure unakaa kusubiria Laki 8 Kwa mwezi tena ya mateso!!!!

Unaacha kwenda kuchangamana na dunia unabaki kukaa hapahapa bongo? Kwakwel kwaakili hizi ndo maana uko ulaya, Amerika na uarabuni wamejaza wakenya na waganda tu hapa afrika mashariki.

Dada wa kazi tu kutoka Kenya anaefanya kazi Oman wengi wana maendeleo kuliko wafanyakazi wa halmashauri wanaotegemea mikopo kujenga bila mkopo hajenji hata nyumba ya udongo.

Mbeba box USA anapesa kuliko pesa anaelipwa daktari pale muhimbili, mshahara wa mwezi mzma wa daktari mbeba box anaeingiza kwa siku 4 hadi 5 tu, halafu unapata nafasi ya kutoka unakaza fuvu kubaki hapa utumwani.

Wabongo wengi wanajilegeza sana sio watu wa kutake risk wanapenda mtelezo ndo maana umaskini umekisiri na urithishwa vizazi na vizazi, unakuta familia nzma wote wanawaza kuajiriwa halmashauri hakuna mbeba maono hata mmoja.

Nasemaje nitakuja kuleta ushuhuda hapa nikiwa naenda zangu ulaya au Amerika siwezi fia unyanini mungu tu abless nia ipo uwezo upo zangu dua

Toka maghetoni twende viwanjani

#hakunakufaunyanini
India🤔🤔

Yuko sahihi
 
Unataka MTU asome tu mpaka Master au PhD, Nani amlishe miaka yote hiyo? Je wazazi wakifa akiwa katikati ya MASOMO nani atamlisha na Hana KAZI? Kazi ni Utu. Kazi inakupa Ujira, Hata uwe na Master au PhD lakini hauna KAZI WEWE sio kitu. Hatusomi kujifurahisha, tumasoma ili tutumie hiyo elimu kufanya kazi, kisha kazi ikupe Ujira. Unasoma uwe na KAZI ili UJITEGEMEE.
 
India? Unadhani we wa kwanza kwenda India full funded scholarship?
Sio mm lakn hata iweje swez kuacha ufadhili kisa kazi ya halmashauri

Mm kama mm sjawahi kuwa na malengo ya kufia hapa bongo unyanini nikipata fursa ya kuondoka naondoka na nikirudi nikuja kutalii tu nakusepa

Swez soma master's halaf et nirud Tena bongo kufukuzia Kaz za 1.5-2.5 milion huo ni ujinga wa Hali ya juu, si Bora nikabebe box ulaya au uarabuni nikijipanga kwenda US au Canada ambapo hiyo pesa naipata ndani ya sku 7 au 10 tu
 
We unashindwa nini kwend
Kwenye pitapita zangu vijiwe mbalimbali vya wasap nikakuta kijana anaomba ushauri kuwa kati ya fully funded scholarship ya master's India kozi ya environmental science and ecology kama sijakosea na ajira yake mpya ya ualimu halmashauri achague nn?

Hapa ndo nikaona ujinga wa wabongo wengi kukosa akili na wengi wamesoma kutoa ujinga na sio kuelimika, bongo hakuna kazi bali ni utumwa unaacha kwenda kupata exposure unakaa kusubiria Laki 8 Kwa mwezi tena ya mateso!!!!

Unaacha kwenda kuchangamana na dunia unabaki kukaa hapahapa bongo? Kwakwel kwaakili hizi ndo maana uko ulaya, Amerika na uarabuni wamejaza wakenya na waganda tu hapa afrika mashariki.

Dada wa kazi tu kutoka Kenya anaefanya kazi Oman wengi wana maendeleo kuliko wafanyakazi wa halmashauri wanaotegemea mikopo kujenga bila mkopo hajenji hata nyumba ya udongo.

Mbeba box USA anapesa kuliko pesa anaelipwa daktari pale muhimbili, mshahara wa mwezi mzma wa daktari mbeba box anaeingiza kwa siku 4 hadi 5 tu, halafu unapata nafasi ya kutoka unakaza fuvu kubaki hapa utumwani.

Wabongo wengi wanajilegeza sana sio watu wa kutake risk wanapenda mtelezo ndo maana umaskini umekisiri na urithishwa vizazi na vizazi, unakuta familia nzma wote wanawaza kuajiriwa halmashauri hakuna mbeba maono hata mmoja.

Nasemaje nitakuja kuleta ushuhuda hapa nikiwa naenda zangu ulaya au Amerika siwezi fia unyanini mungu tu abless nia ipo uwezo upo zangu dua

Toka maghetoni twende viwanjani

#hakunakufaunyanini
a kubeba mabox huko USA? Halafu Nani amekuambia halmshauri watu wanapata pesa kwa mateso?
 
Unataka MTU asome tu mpaka Master au PhD, Nani amlishe miaka yote hiyo? Je wazazi wakifa akiwa katikati ya MASOMO nani atamlisha na Hana KAZI? Kazi ni Utu. Kazi inakupa Ujira, Hata uwe na Master au PhD lakini hauna KAZI WEWE sio kitu. Hatusomi kujifurahisha, tumasoma ili tutumie hiyo elimu kufanya kazi, kisha kazi ikupe Ujira. Unasoma uwe na KAZI ili UJITEGEMEE.
Unajua maana ya fully funded scholarship?

Anapata milion mbili na Lak 3 Kwa mwezi za matumiz halipi Kodi, halipi huduma ya afya na usafiri anapewa na stationary anapewa anaomba Hela Kwa mzaz Gani? Au unazan Hilo ni boom la heslb?

Yani niache kupambana nje nihangaike na laki 8 ya bongo ambayo haitoshi hata kujenga nyumba ya dongo bila mikopo

Hivi Kuna mwalimu anaweza nunua hata baiskel bila mkopo?
 
We unashindwa nini kwend
a kubeba mabox huko USA? Halafu Nani amekuambia halmshauri watu wanapata pesa kwa mateso?
Ww alokuambia kubeba box ni mateso ni nani?

Hiyo Hela Yako unayoipata mwezi mzma hapo halmashauri ukichanganya na rushwa mbeba box anaipata Kwa siku 4 tu
 
Mleta mada anavyolalamika sana as if kama kama na yeye yupo USA,Oman,au UAE usikute yupo Gamboshi simiyu huko akichimba chumvi
 
B9E10239-3718-45EB-83D4-C7FABD807A0A.jpeg

SHINDWA PEPO
 
India
? Yaani mwa
naume mzima uende India? Upumbavu mtupu we ndiyo utakula umerogwa kwa kumshangaa mwenzio
Katika nchi 20 tajiri duniani India IPO

Napia sijasema abak india akimaliza masomo bali aende sehemu nyingne ulaya, uarabuni au Amerika ni rahisi kwake kutokana na elimu yake

India elimu yake inaheshimika Dunia nzima, India sio jalalani
 
Back
Top Bottom