Watanzania tumesha gawanyika huo ndiyo ukweli!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Watanzania tayari hatuko pamoja. Kuna kundi mmoja la watu wanaona mambo na nchi yetu iendelee hivi lakini kuna kundi kubwa sana ambalo lipo kwa sasa pamoja na mimi binafsi ambao tumechoshwa sana na uonevu wa haki za binadamu unao endelea Tanzania.

Mara ya mwisho Watanzania tulikuwa wamoja ni mwaka 2022 na Watanzania wote walikuwa nyuma ya Raisi Samia. Kwasasa kama wazee wetu wanavyosema hii nchi imegawanyika sana.

Lakini inaanza kugawanyika kwa njia nyingine mfano sheikh mkuu wa Bakwata aliongea kichawa kumuunga mkono uporaji wa kura kwa kusema watu waende tu kama misukule kwenye chaguzi wakati TEC nayo imekuja na kupinga kwenda kwenye uchaguzi kwa hivi sasa kuna muonekano tofauti hata kwa viongozi wa dini.

Sijui kama Raisi anaelewa vizuri maji yalipofika kwa sasa kwenye nchi hii yamefika shingoni
 
Watanzania tayari hatuko pamoja. Kuna kundi mmoja la watu wanaona mambo na nchi yetu iendelee hivi lakini kuna kundi kubwa sana ambalo lipo kwa sasa pamoja na mimi binafsi ambao tumechoshwa sana na uonevu wa haki za binadamu unao endelea Tanzania. Mara ya mwisho Watanzania tulikuwa wamoja ni mwaka 2022 na Watanzania wote walikuwa nyuma ya Raisi Samia. Kwasasa kama wazee wetu wanavyosema hii nchi imegawanyika sana. Lakini inaanza kugawanyika kwa njia nyingine mfano sheikh mkuu wa Tanzania aliongea kichawa kumuunga mkono uporaji wa kura kwa kusema watu waende tu kama misukule kwenye chaguzi wakati TEC nayo imekuja na kupinga kwenda kwenye uchaguzi kwa hivi sasa kuna muonekano tofauti hata kwa viongozi wa dini.

Hakuna sheikh Mkuu Tanzania, kuna shehe Mkuu wa Bakwata , kitengo cha usalama wa Taifa
 
Watanzania tayari hatuko pamoja. Kuna kundi mmoja la watu wanaona mambo na nchi yetu iendelee hivi lakini kuna kundi kubwa sana ambalo lipo kwa sasa pamoja na mimi binafsi ambao tumechoshwa sana na uonevu wa haki za binadamu unao endelea Tanzania. Mara ya mwisho Watanzania tulikuwa wamoja ni mwaka 2022 na Watanzania wote walikuwa nyuma ya Raisi Samia. Kwasasa kama wazee wetu wanavyosema hii nchi imegawanyika sana. Lakini inaanza kugawanyika kwa njia nyingine mfano sheikh mkuu wa Tanzania aliongea kichawa kumuunga mkono uporaji wa kura kwa kusema watu waende tu kama misukule kwenye chaguzi wakati TEC nayo imekuja na kupinga kwenda kwenye uchaguzi kwa hivi sasa kuna muonekano tofauti hata kwa viongozi wa dini.
Sijui kama Raisi anaelewa vizuri maji yalipofika kwa sasa kwenye nchi hii yamefika shingoni
Kutofautiana kimsimamo na kimawazo haina maana nchi imagawanyika! Hiyo ndio demokrasia inayosimamiwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia 4R!
 
And civil war is loominng
 
Kutofautiana kimsimamo na kimawazo haina maana nchi imagawanyika! Hiyo ndio demokrasia inayosimamiwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia 4R!
Sio kweli demokrasia Gani unauwa watu unawavunja miguu na kuwatupa porini helplessly? Huyu mama tumeshamchukia hata hiyo mitano asipate kibali ameharibu sifa yake kwa mikono yake na ananuka damu. Vyombo vyetu mtoseni ili mponye taifa.
 
Mitano Tena kwa Mama Samia Suluhu Hassan sio ya kujadili maana you can't argue with the obvious!
 
Watanzania tayari hatuko pamoja. Kuna kundi mmoja la watu wanaona mambo na nchi yetu iendelee hivi lakini kuna kundi kubwa sana ambalo lipo kwa sasa pamoja na mimi binafsi ambao tumechoshwa sana na uonevu wa haki za binadamu unao endelea Tanzania. Mara ya mwisho Watanzania tulikuwa wamoja ni mwaka 2022 na Watanzania wote walikuwa nyuma ya Raisi Samia. Kwasasa kama wazee wetu wanavyosema hii nchi imegawanyika sana. Lakini inaanza kugawanyika kwa njia nyingine mfano sheikh mkuu wa Bakwata aliongea kichawa kumuunga mkono uporaji wa kura kwa kusema watu waende tu kama misukule kwenye chaguzi wakati TEC nayo imekuja na kupinga kwenda kwenye uchaguzi kwa hivi sasa kuna muonekano tofauti hata kwa viongozi wa dini.
Sijui kama Raisi anaelewa vizuri maji yalipofika kwa sasa kwenye nchi hii yamefika shingoni
2022 umejuaje kama wote mlikuwa pamoja?
 
Ninachokiona, Kuna hatari Rais ajaye Mkristo akapata pressure kubwa sana kwa Imani ya utawala huu kupendelea sana Waislamu, kitakachotokea ni vurumai kubwa sana kutoka kwa Waislamu.
 
Habari! Naomba na mimi kuchangia mawazo yangu hapa.

Kitu ambacho ninaamini tunapaswa kuweka juu ya vitu vyote vingine ni watanzania wote kuwa na maisha wanayostahili kuwa nayo na kuwa na maendeleo na amani nchini. Ndiyo kunamgawanyiko nchini na sio kitu kizuri hata kidogo. Uchawa unaua nchi kwasababu kwenye demokrasia, wananchi wanapaswa kuruhusiwa kutoa maoni yao kuhusu serikali na mambo yanayoendelea nchini. Wafanyakazi wa serikali na wanasiasa ni binadamu kama sisi, kuna mambo wanafanya ambayo ni mema na wanamakosa pia. Hamna binadamu asiye na makosa na ukikosa inabidi ukubali kuambiwa na kujaribu kurekebisha mambo. Maraisi wote, kwanzia Mwalimu Nyerere mpaka Mama Samia kuna vitu ambavyo wamepatia sana na kuna vitu vilivyohofisha wananchi. Uchawa unaharibu vitu kwasababu unafanya watu waabudu binadamu wenzao, wanampigia debe mtu mpaka wanatia shaka kuwa lazima kunatatizo hapa.

Kuna mphilosophia muingereza, Thomas Hobbes, ambaye hujulikana kama mmoja wa watu waliondika kuhusu the social contract -- ambalo ni wazo kuwa watu kwasababu ya huduma serikali zinazowapa wananchi kama kulinda usalama na kujenga na kuendesha mashule na mahospitali etc inakubali serikali na kuipa nguvu. Wananchi wanakuwa na imani kuwa serikali yao inawasaidia kuwa na miasha mazuri. Huu mkataba (theoretically) kati ya wananchi na serikali usipokuwa imara, shida huanza. Shida zinakuja wananchi wakikosa imani na serikali na ndio maana wima wa wananchi ndio unapaswa kuwa kipaumbele cha kwanza katika maamuzi yote ya serikali.

Kitu ambacho husaidia mahusiano kati ya serikali na wananchi, raisi na wananchi ni mawasiliano. Wananchi wanapaswa kuwa na njia za uwazi za kujadili na serikali. Serikali inapaswa kuwaonyesha wananchi kuainawajali sana. Watu wakiamini kuwauchawa ndio utawasaidia kuwapa maisha mazuri ni shida kwasababu kwa ukweli serikali inapaswa kusaidia kila mwananchi, sio tu wanaowasifia.

On a sidenote: Mimi kabla hatasijasoma hoja nzima JF naweza kujua kama imeandikwa na chawa nikiona kwenye paragraph moja mheshimwa raisi kaitwa daktari mara 10. Kwa mawazo yangu, taji la mama linaheshima kuliko hata daktari. Ukiwa na honorary doctorate unaweza kuitwa daktari lakini sio lazima. Kuna watu walipewa hizo shahada za heshima nyingi sana kama Nelson Mandela na Oprah Winfrey na hamna siku hata moja tunawasikia wanaitwa daktari. Nilibahatika kukutana na raisi mstaafu wa Malawi, Joyce Banda, na sikujua nimuite nani, mheshimwa, raisi ? Nikamuuliza kama naweza kumuita Mama Banda, akasema sasa uniite nini kingine ?
 
Watanzania tayari hatuko pamoja. Kuna kundi mmoja la watu wanaona mambo na nchi yetu iendelee hivi lakini kuna kundi kubwa sana ambalo lipo kwa sasa pamoja na mimi binafsi ambao tumechoshwa sana na uonevu wa haki za binadamu unao endelea Tanzania. Mara ya mwisho Watanzania tulikuwa wamoja ni mwaka 2022 na Watanzania wote walikuwa nyuma ya Raisi Samia. Kwasasa kama wazee wetu wanavyosema hii nchi imegawanyika sana. Lakini inaanza kugawanyika kwa njia nyingine mfano sheikh mkuu wa Bakwata aliongea kichawa kumuunga mkono uporaji wa kura kwa kusema watu waende tu kama misukule kwenye chaguzi wakati TEC nayo imekuja na kupinga kwenda kwenye uchaguzi kwa hivi sasa kuna muonekano tofauti hata kwa viongozi wa dini.
Sijui kama Raisi anaelewa vizuri maji yalipofika kwa sasa kwenye nchi hii yamefika shingoni

View: https://www.instagram.com/p/DI4Sy1aN990/?igsh=MTVhcGJoZmd4bTZiNg==
 
Unaongelea kigenge chenu cha wana chadema wa JF? Kitaa watu wako shwaari kabisa
Usicho kijua nchi hii chadema inawafuasi wengi zaid ya CCM ndio maana mikutano yao hawahutaji uwepo wa wasanii wakubwa wala kubebwa na magari kutoka pembezoni na mikutano inajaa hiyo ni ishara tosha kuamini kuamini kwamba ccm haina watu wanao iamini kwa hiyari.
 
Back
Top Bottom