Watanzania tumesha gawanyika huo ndiyo ukweli!

Watanzania tumesha gawanyika huo ndiyo ukweli!

Watanzania tayari hatuko pamoja. Kuna kundi mmoja la watu wanaona mambo na nchi yetu iendelee hivi lakini kuna kundi kubwa sana ambalo lipo kwa sasa pamoja na mimi binafsi ambao tumechoshwa sana na uonevu wa haki za binadamu unao endelea Tanzania.

Mara ya mwisho Watanzania tulikuwa wamoja ni mwaka 2022 na Watanzania wote walikuwa nyuma ya Raisi Samia. Kwasasa kama wazee wetu wanavyosema hii nchi imegawanyika sana.

Lakini inaanza kugawanyika kwa njia nyingine mfano sheikh mkuu wa Bakwata aliongea kichawa kumuunga mkono uporaji wa kura kwa kusema watu waende tu kama misukule kwenye chaguzi wakati TEC nayo imekuja na kupinga kwenda kwenye uchaguzi kwa hivi sasa kuna muonekano tofauti hata kwa viongozi wa dini.

Sijui kama Raisi anaelewa vizuri maji yalipofika kwa sasa kwenye nchi hii yamefika shingoni
Acha upotoshaji gentleman,

huenda wewe na familia yako ndio mmegawanyika gentleman , kama ambavyo mligawanyika kwenye chama chenu tangu kitambo tu.

waTanzania ni wa moja,
na katika umoja wa mamilioni yao wanajiandaa kushiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu wao wa kikatiba kwa amani mapema October mwaka huu 2025🐒
 
Nchi iliojaa wasomi lukuki tunaongozwa na kilaza Samia. Aibu kwa wajinga ccm
 
Back
Top Bottom