Hakuna sheikh Mkuu Tanzania, kuna shehe Mkuu wa Bakwata , kitengo cha usalama wa TaifaWatanzania tayari hatuko pamoja. Kuna kundi mmoja la watu wanaona mambo na nchi yetu iendelee hivi lakini kuna kundi kubwa sana ambalo lipo kwa sasa pamoja na mimi binafsi ambao tumechoshwa sana na uonevu wa haki za binadamu unao endelea Tanzania. Mara ya mwisho Watanzania tulikuwa wamoja ni mwaka 2022 na Watanzania wote walikuwa nyuma ya Raisi Samia. Kwasasa kama wazee wetu wanavyosema hii nchi imegawanyika sana. Lakini inaanza kugawanyika kwa njia nyingine mfano sheikh mkuu wa Tanzania aliongea kichawa kumuunga mkono uporaji wa kura kwa kusema watu waende tu kama misukule kwenye chaguzi wakati TEC nayo imekuja na kupinga kwenda kwenye uchaguzi kwa hivi sasa kuna muonekano tofauti hata kwa viongozi wa dini.
Sijui kama Raisi anaelewa vizuri maji yalipofika kwa sasa kwenye nchi hii yamefika shingoni
Kutofautiana kimsimamo na kimawazo haina maana nchi imagawanyika! Hiyo ndio demokrasia inayosimamiwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia 4R!Watanzania tayari hatuko pamoja. Kuna kundi mmoja la watu wanaona mambo na nchi yetu iendelee hivi lakini kuna kundi kubwa sana ambalo lipo kwa sasa pamoja na mimi binafsi ambao tumechoshwa sana na uonevu wa haki za binadamu unao endelea Tanzania. Mara ya mwisho Watanzania tulikuwa wamoja ni mwaka 2022 na Watanzania wote walikuwa nyuma ya Raisi Samia. Kwasasa kama wazee wetu wanavyosema hii nchi imegawanyika sana. Lakini inaanza kugawanyika kwa njia nyingine mfano sheikh mkuu wa Tanzania aliongea kichawa kumuunga mkono uporaji wa kura kwa kusema watu waende tu kama misukule kwenye chaguzi wakati TEC nayo imekuja na kupinga kwenda kwenye uchaguzi kwa hivi sasa kuna muonekano tofauti hata kwa viongozi wa dini.
Sijui kama Raisi anaelewa vizuri maji yalipofika kwa sasa kwenye nchi hii yamefika shingoni
And civil war is loominngWatanzania tayari hatuko pamoja. Kuna kundi mmoja la watu wanaona mambo na nchi yetu iendelee hivi lakini kuna kundi kubwa sana ambalo lipo kwa sasa pamoja na mimi binafsi ambao tumechoshwa sana na uonevu wa haki za binadamu unao endelea Tanzania. Mara ya mwisho Watanzania tulikuwa wamoja ni mwaka 2022 na Watanzania wote walikuwa nyuma ya Raisi Samia. Kwasasa kama wazee wetu wanavyosema hii nchi imegawanyika sana. Lakini inaanza kugawanyika kwa njia nyingine mfano sheikh mkuu wa Tanzania aliongea kichawa kumuunga mkono uporaji wa kura kwa kusema watu waende tu kama misukule kwenye chaguzi wakati TEC nayo imekuja na kupinga kwenda kwenye uchaguzi kwa hivi sasa kuna muonekano tofauti hata kwa viongozi wa dini.
Sijui kama Raisi anaelewa vizuri maji yalipofika kwa sasa kwenye nchi hii yamefika shingoni
kwa data ipi?Watanzania wote walikuwa nyuma ya Raisi Samia.
Kutofautiana kimsimamo na kimawazo haina maana nchi imagawanyika! Hiyo ndio demokrasia inayosimamiwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia 4R!
kwa data ipi?
Sio kweli demokrasia Gani unauwa watu unawavunja miguu na kuwatupa porini helplessly? Huyu mama tumeshamchukia hata hiyo mitano asipate kibali ameharibu sifa yake kwa mikono yake na ananuka damu. Vyombo vyetu mtoseni ili mponye taifa.Kutofautiana kimsimamo na kimawazo haina maana nchi imagawanyika! Hiyo ndio demokrasia inayosimamiwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia 4R!
Mitano Tena kwa Mama Samia Suluhu Hassan sio ya kujadili maana you can't argue with the obvious!Sio kweli demokrasia Gani unauwa watu unawavunja miguu na kuwatupa porini helplessly? Huyu mama tumeshamchukia hata hiyo mitano asipate kibali ameharibu sifa yake kwa mikono yake na ananuka damu. Vyombo vyetu mtoseni ili mponye taifa.
2022 umejuaje kama wote mlikuwa pamoja?Watanzania tayari hatuko pamoja. Kuna kundi mmoja la watu wanaona mambo na nchi yetu iendelee hivi lakini kuna kundi kubwa sana ambalo lipo kwa sasa pamoja na mimi binafsi ambao tumechoshwa sana na uonevu wa haki za binadamu unao endelea Tanzania. Mara ya mwisho Watanzania tulikuwa wamoja ni mwaka 2022 na Watanzania wote walikuwa nyuma ya Raisi Samia. Kwasasa kama wazee wetu wanavyosema hii nchi imegawanyika sana. Lakini inaanza kugawanyika kwa njia nyingine mfano sheikh mkuu wa Bakwata aliongea kichawa kumuunga mkono uporaji wa kura kwa kusema watu waende tu kama misukule kwenye chaguzi wakati TEC nayo imekuja na kupinga kwenda kwenye uchaguzi kwa hivi sasa kuna muonekano tofauti hata kwa viongozi wa dini.
Sijui kama Raisi anaelewa vizuri maji yalipofika kwa sasa kwenye nchi hii yamefika shingoni
Watanzania tayari hatuko pamoja. Kuna kundi mmoja la watu wanaona mambo na nchi yetu iendelee hivi lakini kuna kundi kubwa sana ambalo lipo kwa sasa pamoja na mimi binafsi ambao tumechoshwa sana na uonevu wa haki za binadamu unao endelea Tanzania. Mara ya mwisho Watanzania tulikuwa wamoja ni mwaka 2022 na Watanzania wote walikuwa nyuma ya Raisi Samia. Kwasasa kama wazee wetu wanavyosema hii nchi imegawanyika sana. Lakini inaanza kugawanyika kwa njia nyingine mfano sheikh mkuu wa Bakwata aliongea kichawa kumuunga mkono uporaji wa kura kwa kusema watu waende tu kama misukule kwenye chaguzi wakati TEC nayo imekuja na kupinga kwenda kwenye uchaguzi kwa hivi sasa kuna muonekano tofauti hata kwa viongozi wa dini.
Sijui kama Raisi anaelewa vizuri maji yalipofika kwa sasa kwenye nchi hii yamefika shingoni
Mkuu Kuna Mada Zingine Unaziacha Zipite tu soon Ukiandika Comments Unaweza Ukashusha Hadhi yakoUnaongelea kigenge chenu cha wana chadema wa JF? Kitaa watu wako shwaari kabisa
KMa Hili Ni kweli Kwanini RC anasema Kariakoo Haparuhusiwi kufanya Mihadhara ya Kiasiasa ila Chama Kingine Kilifanya wiki zilizopita Na Chama kingine Kikazuiwa??
Usicho kijua nchi hii chadema inawafuasi wengi zaid ya CCM ndio maana mikutano yao hawahutaji uwepo wa wasanii wakubwa wala kubebwa na magari kutoka pembezoni na mikutano inajaa hiyo ni ishara tosha kuamini kuamini kwamba ccm haina watu wanao iamini kwa hiyari.Unaongelea kigenge chenu cha wana chadema wa JF? Kitaa watu wako shwaari kabisa
Ashushe mara ngapi mtu mwenyewe kajiita kinembe maana yake kitu cha stareheMkuu Kuna Mada Zingine Unaziacha Zipite tu soon Ukiandika Comments Unaweza Ukashusha Hadhi yako