Watanzania tumesha gawanyika huo ndiyo ukweli!

Best Comment na Imejaa Usomi zaidi..
Aminata Wewe Ndo Yule mtoto wa Kaka Yangu Kinana?
 
Huenda ni mpango wa Mungu kumfumbua macho japo hata kwa kuchelewa,ila kwa kuwa hutenda kwa wakati ufaao acha Wazalendo tuendelee kupiga goti na kuomba.
 
Mkisha gawanyika inasaidia nini? yaani nyie Keybord worrior mnachosha sana humu
 
Unaongelea kigenge chenu cha wana chadema wa JF? Kitaa watu wako shwaari kabisa
Endelea kujidanganya kama mbuni, anafukia kichwa anaacha kiwiliwili na kudhani Yuko salama.
 
Kweli kabisa, tumeona kwenye tone tone mamilioni ya wanachama wamechanga milioni 60
 
Unaongelea kigenge chenu cha wana chadema wa JF? Kitaa watu wako shwaari kabisa
Ukweli ndo huu, waliogawanyika ni wana chadema.
Chadema ya G55 Mbowe na Chadema ya Lissu.
Wanafikiri eti chadema ndo watanzania, si kweli.
 
Endelea kujidanganya kama mbuni, anafukia kichwa anaacha kiwiliwili na kudhani Yuko salama.
Hata nyumbu ni hivyo hivyo, mmoja akiingia mtoni wote wanatumbukia hata kama kuna mamba wanadhani wako salama.
 
Fanya utafiti mdogo tu tafuta mijadala ya kisiasa ya 2022-2023 na ya 2025 uone tofauti hata hata JF. Kama hujui nyakati wewe subiri data tu najua wa TZ wengi ni slow
SCIENTIFIC RESEARCH NOT STORIES OF LAYMAN
 
Mm ni mtanzania, sijawahi kuwa nyuma ya rais Samia, naomba uniengue..
 
Nchi ikiwa na kiongozi mkuu dhaifu lazima iwe na mpasuko kama hii tunayoiona. Magufuli na Samia hawakuwa na sifa za kuwa viongozi wakuu wa nchi
 
Kutofautiana kimsimamo na kimawazo haina maana nchi imagawanyika! Hiyo ndio demokrasia inayosimamiwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia 4R!
Si kutofautiana, ni kutokukubaliana kwa mwenendo wa mambo, usipotoshe. Na hakuna 4R, bali kuna utapeli uitwao 4R. Matendo ndio yangefanya 4R na sio maneno ya hadaa.
 
Nchi ikiwa na kiongozi mkuu dhaifu lazima iwe na mpasuko kama hii tunayoiona. Magufuli na Samia hawakuwa na sifa za kuwa viongozi wakuu wa nchi
Sahihi kabisa, na Magufuli ndio alikuwa kinara wa huu utawala wa amani ya mabavu.
 
Wanajua wana police, tiss na jeshi na mahakama. So chochote kitu hakiwatishi waliopo madarakani.
 
Hii kete haiwezi wasaidia yupo Hadi 2030

View: https://x.com/bbcswahili/status/1916005585738137848?t=zMsnwj340iq_KE1Jzgv3qA&s=19
 
Sema tumejigawa
 
Mgawanyiko hauwezi kukwepeka wananchi wa kawaida wanaishi kama Manyani hivi halafu wale wa upande mwingine wanaishi peponi !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…