Watanzania tumheshimu Rais, hatukufunzwa hovyo hivi

Mkuu usitupangie. Wakati wa JPM ulikemea haya? Au unaongea tu. Mkuki kwa nguruwe
 
Mkuu

Unaandika haya kwa faida ya nani
Wewe unaandika kwa FAIDA ya nani?

Kwa nini unajitia UPOFU wa bandia?

Ungenijibu kwa niaba ya unaowaandikia.

Hakuna Rais alietukanwa na anaendelea kutukanwa syndicate Journalism kama mwendazake #JPM.

Wewe unaleta hoja mfu humu!
Ebu angalia kwenye media za nchi mfano kama marekani wanavyowaandika hao viongozi wao halafu urudi kuandika tena!

Watanzania wameishaamka ila hawajajua waanzie wapi!

Endelea kufundisha Nidhamu mitandaoni....
 

..Nakubaliana na wewe hapo unaposema kwamba vijana wa mataga ambao walikuwa wakitukana wapinzani wakati wa Magufuli sasa hivi wamehamia kumtukana Raisi Samia Suluhu Hassan.

..Ni mapema kuanza kumkosoa Rais Samia Suluhu Hassan. Tumpe muda atimize siku 100 madarakani, na tuangalie ahadi na malengo yake.

..Wanaofurumusha matusi sasa hivi, pamoja na matatizo yao mengine, wanafanya hivyo kwasababu hakuna mambo ya msingi ya kukosoa.

..Mwisho, ni kweli kwamba Rais aliyetoka na aliyeingia wote ni wana-CCM. Nakubaliana na wewe unapoonya kwamba kunaweza kusitokee MABADILIKO chanya kwa kiwango kile ambacho tusio wana-CCM tunatamani.
 
Ni mmoja kati ya watu niliokuwa nawaheshimu sana humu. Sasa hivi kageuka takataka. A piece of human trash. Faeces!!

Sasa namdharau kabisa. Sijui Magufuli alimfanyaga nini tu.

..kama kuna mahali tulipishana, au nilikukosea ungeweza kunielekeza ili niweze kuparekebisha.

..mimi ni binadamu kama wewe. nimezaliwa na mwanamke, kama wewe ulivyozaliwa na mwanamke.

..nimesikitishwa na lugha uliyotumia dhidi yangu kwa kunifananisha na uchafu au mavi /faeces.

..pamoja na matusi yako nimeamua kukusamehe.

cc Avriel
 
Heshima kwa Rais ni pamoja na kutochanganya jina la mama, ondoeni mama mkitamka Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, acheni kuweka mama ni shambulio la kijinsia!
 

Huyo anayejiita Nyakarungu najaribu kusoma andiko lake sipati jibu zaidi ya kama Mstaafu Rais Mkapa alivyowahi kusema ....Lofa na Mpumbafu kwani anaandika vitu vinavyokinzana na hali halisi
 
Reactions: BAK
Kinachofurahisha ni kwamba wanaomkosoa mama sasa hivi ni ccm ambao 2025 watampigia ccm.

Ila wanaomsifia ni chadema ambao 2025 sijui watanagukia kundi gani
[emoji23][emoji23][emoji23]Maisha yanaenda kasi sana Lisu ajiandae kisaikolojia maana wafuasi wake wako na mama
 
..wanaomkosoa mama samia ni mataga, na wamejiapiza kuwa kanda yao haitampigia kura mwaka 2025. na wana uhakika mama samia hana uwezo wa kushinda bila kura za kanda yao.
 
..wanaomkosoa mama samia ni mataga, na wamejiapiza kuwa kanda yao haitampigia kura mwaka 2025. na wana uhakika mama samia hana uwezo wa kushinda bila kura za kanda yao.
Kwahiyo wamepanga kumpigia kura nani hao mataga ili kumkomoa mama?

Bila shaka nyie chadema mmepanga kumpigia kura mama ili kuwakomoa mataga, na mataga nao wamepanga kuipigia kura chadema ili kumkomoa mama!
 
Umeongea mazito umeongea maneno ya maana, pia kama taifa lazima vijana tuishi Kwenye utanzania wetu yaani kukosoa kwa Staha na si dhihaka, Dharauuuu na Makelele yasiyo na tija.
Naamini sauti ya staha kwa kukosoa ingemfikia Rais haraka kuliko Matusi, kauli za kukosoa kwa staha usababisha hata wasaidizi wa Rais wamfikishie haraka kuliko Matusi.

Asante Sana mkuu Ni yule yule JoYo.... Joseph Yona
 
Kwahiyo wamepanga kumpigia kura nani hao mataga ili kumkomoa mama?

Bila shaka nyie chadema mmepanga kumpigia kura mama ili kuwakomoa mataga, na mataga nao wamepanga kuipigia kura chadema ili kumkomoa mama!

..mataga wana mpango wa kuunda chama chao.

..wanaamini kwamba wanao wapiga kura wa kutosha kushinda uchaguzi kwa kutetea legacy ya mwendazake.
 
Rais ni symbol ya Taifa, tunaposhindwa kumheshimu ni kama kujitukana wenyewe...Ebu tujifunze kuheshimu viongozi wetu na kama kuna sehemu wanakosea tuwasahihishe pasipo kuwavunjia heshima..
 
Rais ni symbol ya Taifa, tunaposhindwa kumheshimu ni kama kujitukana wenyewe...Ebu tujifunze kuheshimu viongozi wetu na kama kuna sehemu wanakosea tuwasahihishe pasipo kuwavunjia heshima..

..wakati mwingine raisi huwa na lugha za matusi kuliko raia.

..raisi wa aina hiyo hujichafua yeye mwenyewe, pamoja na nchi anayoiongoza.
 
..mataga wana mpango wa kuunda chama chao.

..wanaamini kwamba wanao wapiga kura wa kutosha kushinda uchaguzi kwa kutetea legacy ya mwendazake.
Sasa huoni kama hiyo ndio democrasia?
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
🤣🤣🤣, yani Tanzania kweli tumeendelea,Naona kuna conspiracy theory ya Sukuma gang ina-take off ,watu wanaunda kila aina ya story...ukiwauliza ni kina Nani hao,wanabaki kushangaa na wao
 

I seen a murder, murder....

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…