Pre GE2025 Watanzania Tumlinde na Kumtetea Kwa Nguvu zetu zote Rais Samia Zidi ya Waroho Wa Madaraka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wew ni nani unayetupangia rais
 
Kwani wapi nimesema natafuta uteuzi ndugu yangu mtanzania? Ningekuwa natafuta uteuzi basi ningekuwa nimeshakata tamaa na kuacha kabisa kuingia na kuandika chochote kile humu jukwaani.
Please Naomba nijuwe kama wewe ni “me” au “ke”

Siyo kwa ubaya.
 
Mleta mada akili huna unamlinda kwa nguvu zote kwani wewe jeshi? Jeshi ndio kazi yake

Mimi CCM ungesema tutamtetea kwa hoja zenye nguvu hapo sawa

Uchawa usio na akili umekupofusha akili unaandika ubwege

Mama Samia wala CCM hahitaji mapunguani kama wewe
 
Acha kupaniki
 
Dhidi ya ✓ na siyo Zidi ya×
 


Ajipange tu maana wqpinzania wake ni ccm, ana kaa nao, ana kula nao na ana ishi nao!!!
 
Lindaneni ninyi wenyewe huko huko CCM....
 
Kunywa sumu UFE tu kama una hasira
 
ZIDI.
 
Mpumbavu Wewe.
 
Kama anakutumikia ni wewe. Amechimba mashimo barabarani ili tushindwe kupia kwenda mkoani ambako ndiko tunapeleka kuuza mazao yetu na kununua mahitaji ya jumla.

Huu siyo, halafu anajiita chura kiziwi, kwamba hajali kilio chetu. Halafu unakuja hapa eti anajitolea kulitumikia taifa.

Anahamisha utajiri wa bara kupeleka visiwano, bado unataka tumsifu.

Lucas wewe ni mbwa, unaweza hata kula kinyeai chako. Kama huna lavkuandika bora unyamaze. Hali ya maishi ni ngimu, unabwabwaja tu.
 
Sasa kama hufanya kazi na umebweteka tu kupiga umbeta unafikiri hayo maisha mazuri yatakujia hapo hapo ulipokaa na umbeya wako kutwa nzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…