Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Watanzania wote wenye mapenzi mema na Taifa letu tutaendelea kusimama na Rais wetu mpendwa
Wewe endelea kusimama...sisi wengine tulifukuzwa tuje Burundi na hao hao unaowapigania..
Tuzosubira!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania wote wenye mapenzi mema na Taifa letu tutaendelea kusimama na Rais wetu mpendwa
bwabwaAlaah kumbe boga😄
Rais wetu ni Mwenye huruma na upendoUnamtetea asiyetetea uhai wa wananchi wake dhidi ya watekaji?
Tunataka pesa mtaani,urais ni wake sisi tunataka vibeNdugu zangu Watanzania,
Sikatai na wala sipingi moja kwa moja kuwa changamoto hazipo hapa Nchini. Lakini ni ukweli ulio wa wazi kuwa sote tunaona na kushuhudia namna Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Samia Suluhu Hasssan anavyo pambana usiku na mchana kutatua na kumaliza kero mbalimbali.
Tunaona na kujionea dhamira yake njema katika kutukwamua na kutuinua kiuchumi.
Kupitia Rais wetu Mpendwa Samia Tunaona nuru katika nchi yetu,tunaona kesho yetu iliyo njema kuliko leo,tunaona Tumaini mbele yetu,tunaona mwanga katikati yetu,tunaona madaraja katikati ya changamoto ya kimaisha.Tunaona namna Rais wetu anavyotuwezesha katika kutimiza ndoto zetu.
Tunaona namna anavyotufariji na kututia moyo na matumaini wakati wote.tunaona namna alivyo bega kwa bega na sisi na kwa kila hatua.
Tunaona namna anavyoumizwa na matatizo yetu ,tunaona namna anavyofanya kila kitu kwa ajili yetu sote watanzania.
Anafanya hayo yote kwa ajili yetu watanzania,kwa ajili ya kututua mizigo,kwa ajili ya kutufuta machozi.anajitajidi kwa kadri ya uwezo wake Mama yetu kumfikia kila mmoja wetu kwa namna yake.
Embu fikiria ndugu zangu Taifa kama Marekani lililopata uhuru wake takribani karne mbili zilizopita yaani mwaka 1776 ,lakini leo ukikaa na kusikiliza sera ,ajenda na hata hoja za midahalo ya Mama Kamala Harris pamoja na Donald Trump unaweza kufikiria labda Taifa hilo lilipata uhuru wake pale nchi ya Sudani kusini ilipokuwa inajitenga kutoka Sudani ya kaskazini ya Omar Bashir wakati huo.
Unaweza kufikiria labda Marekani inayozungumziwa na akina Harris na Trump siyo ile iliyoongozwa na George Washington au Franklin Roosevelt au John F Kennedy au Harry Truman au Reonald Regan au Bill Clinton au Barack Obama .kwa sababu utaona Harris na Trump bado wanazungumzia habari za kutengeneza ajira kwa vijana kwa wingi,kuimarisha uchumi ,kupunguza kodi ,kupunguza gharama za matibabu na mengine mengi .
Sasa kama Marekani iliyopata uhuru wake zaidi ya miaka mia mbili na point iliyopita yaani miaka 248 iliyopita ,vipi kwa Tanzania ambayo imepata uhuru mwaka 1961 ikiwa haina wasomi,haina viwanda,haina barabara za lami,haina vyuo wala shule za kutosha ,haina umeme kwa mikoa mingi kama siyo yote,haina mifumo ya aina yoyote ile ya kueleweka ya taasisi mbalimbali? Vipi Tanzania hii iliyokuwa imejaa mamilioni ya watu wasio juwa kusoma na kuandika mwaka 61 ikose changamoto leo ndugu zangu?
Embu tumuungeni mkono Mama yetu Mpendwa kwa juhudi hizi kubwa anazofanya kuliinua Taifa letu kiuchumi. Tutampata wapi Mama Samia mwingine ndugu zanguni? Moyo wangu unaumia sana napoona kuna watu wanamshambulia hovyo bila sababu wala hoja za msingi.
Naumia sana moyoni mwangu hasa kwa kuona namna Mama huyu alivyojitolea kuwatumikia watanzania halafu anajitokeza mwingine anaanza kumtolea lugha za matusi na kejeli..
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Huu ni ujinga wa kiwango Cha SGR.Ndugu zangu Watanzania,

Kazi ni kipimo cha utu.fanya kazi utapata pesa yoyote ile utakayoTunataka pesa mtaani,urais ni wake sisi tunataka vibe
Kwani unafikiri Mimi sifanyi kazi,Where are the reliable market of our product,au unaogopa kufungukaKazi ni kipimo cha utu.fanya kazi utapata pesa yoyote ile utakayo
Mimi sio mnafiki,we need a president sio habari za kusema Mama,Daktari,mpendwa,Kizmkazi,hell noooooooooooHuu ni ujinga wa kiwango Cha SGR.
Utendaji wake ndio umbebe, ushawishi aendelee kupigiwa kura na kama atajitokeza mtu mwingine mwenye uwezo zaidi yake kwa nini Huyo mwingine asipewe nafasi?
Maswali machache kwako
Watu wengi wametekwa wengine wanepotea kabisa na wengine wameuwawa. Hatujaona uwajibikaji wa unaentete. Hakuna waliokamatwa, Wala wale waliotuhumiwa hatujaona hatua zikichukuliwa, unataka wamtete?
Pili Kuna wamasai wamefukuzwa maeneo yao ya asilina kupelekwa kusikojulikana na wenyewe unataka wamtetee?
Kuna mali za Tanganyika zimetolewa kwa wageni pamoja na watanganyika kupiga kelele. "Kiziwi hakusikia" unataka wamtete kiziwi?
Hali mbaya ya maisha hakuna ajira, hakuna fedha mtaani hakuna Dollar etc hivyo hali ya maisha umekuwa ngumu, unataka watanganyika wamtete?
Kila mtu atahukumiwa kulingana na matendo yake.
Hulka ya mtu akitaka kugombea mnasema ni mroho wa madaraka ni ya ajabu sana. Wache I wanazotaka kugombea wagombee, wapiga kura wataamua yupi anafaa.
Hata shetani Maghu "alilaani" Sana tukio la kutaka kumuua Lisu, lakini wapi hakuna kilichofsnyika, mpaka linakufa.Mheshimiwa Rais amelaani sana tukio la kuuwawa kwa mzee All na ameagiza uchunguzi wa kina ufanyike na kupewa ripoti kamili.Rais wetu ni mtu wa haki nl, mwenye moyo wa huruma,upendo , unyenyekevu mkubwa sana na mwenye hofu ya Mungu
Wewe ndio unajidhalilisha kwa kupigania maslahi ya mtu badala hata ya kutetea sera na kubainisha uzuri wa hizo sera kwa Tanzania ya leo na kesho na vizazi vijavyo.Acha kujidhihilisha
Bidhaa gani hizo unazozalisha wewe zilizokosa soko?Kwani unafikiri Mimi sifanyi kazi,Where are the reliable market of our product,au unaogopa kufunguka
Acha kuropoka ropoka wewe usiyejitambuaHata shetani Maghu "alilaani" Sana tukio la kutaka kumuua Lisu, lakini wapi hakuna kilichofsnyika, mpaka linakufa.
Watu wanatekwa na kuuliwa na ccm,
Mtanzania mwenye akili timamu hawezi kulinda matapeli na mafisadi. Kwakuwa wewe ni jinga na zombie unaweza. Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto liteketeeNdugu zangu Watanzania,