Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #121
MwenyeweMpumbavu Wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MwenyeweMpumbavu Wewe.
Hakuna mwenye akili Timamu atakayeunga mkono ujinga wenu huo.
Ndugu zangu Watanzania,
Sikatai na wala sipingi moja kwa moja kuwa changamoto hazipo hapa Nchini. Lakini ni ukweli ulio wa wazi kuwa sote tunaona na kushuhudia namna Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Samia Suluhu Hasssan anavyo pambana usiku na mchana kutatua na kumaliza kero mbalimbali.
Tunaona na kujionea dhamira yake njema katika kutukwamua na kutuinua kiuchumi.
Kupitia Rais wetu Mpendwa Samia Tunaona nuru katika nchi yetu,tunaona kesho yetu iliyo njema kuliko leo,tunaona Tumaini mbele yetu,tunaona mwanga katikati yetu,tunaona madaraja katikati ya changamoto ya kimaisha.Tunaona namna Rais wetu anavyotuwezesha katika kutimiza ndoto zetu.
Tunaona namna anavyotufariji na kututia moyo na matumaini wakati wote.tunaona namna alivyo bega kwa bega na sisi na kwa kila hatua.
Tunaona namna anavyoumizwa na matatizo yetu ,tunaona namna anavyofanya kila kitu kwa ajili yetu sote watanzania.
Anafanya hayo yote kwa ajili yetu watanzania,kwa ajili ya kututua mizigo,kwa ajili ya kutufuta machozi.anajitajidi kwa kadri ya uwezo wake Mama yetu kumfikia kila mmoja wetu kwa namna yake.
Embu fikiria ndugu zangu Taifa kama Marekani lililopata uhuru wake takribani karne mbili zilizopita yaani mwaka 1776 ,lakini leo ukikaa na kusikiliza sera ,ajenda na hata hoja za midahalo ya Mama Kamala Harris pamoja na Donald Trump unaweza kufikiria labda Taifa hilo lilipata uhuru wake pale nchi ya Sudani kusini ilipokuwa inajitenga kutoka Sudani ya kaskazini ya Omar Bashir wakati huo.
Unaweza kufikiria labda Marekani inayozungumziwa na akina Harris na Trump siyo ile iliyoongozwa na George Washington au Franklin Roosevelt au John F Kennedy au Harry Truman au Reonald Regan au Bill Clinton au Barack Obama .kwa sababu utaona Harris na Trump bado wanazungumzia habari za kutengeneza ajira kwa vijana kwa wingi,kuimarisha uchumi ,kupunguza kodi ,kupunguza gharama za matibabu na mengine mengi .
Sasa kama Marekani iliyopata uhuru wake zaidi ya miaka mia mbili na point iliyopita yaani miaka 248 iliyopita ,vipi kwa Tanzania ambayo imepata uhuru mwaka 1961 ikiwa haina wasomi,haina viwanda,haina barabara za lami,haina vyuo wala shule za kutosha ,haina umeme kwa mikoa mingi kama siyo yote,haina mifumo ya aina yoyote ile ya kueleweka ya taasisi mbalimbali? Vipi Tanzania hii iliyokuwa imejaa mamilioni ya watu wasio juwa kusoma na kuandika mwaka 61 ikose changamoto leo ndugu zangu?
Embu tumuungeni mkono Mama yetu Mpendwa kwa juhudi hizi kubwa anazofanya kuliinua Taifa letu kiuchumi. Tutampata wapi Mama Samia mwingine ndugu zanguni? Moyo wangu unaumia sana napoona kuna watu wanamshambulia hovyo bila sababu wala hoja za msingi.
Naumia sana moyoni mwangu hasa kwa kuona namna Mama huyu alivyojitolea kuwatumikia watanzania halafu anajitokeza mwingine anaanza kumtolea lugha za matusi na kejeli..
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

CCM hupita kwa kishindo kutokana na imani kubwa waliyonayo watanzania kwa CCM.Kwahiyo wale wanaoteka, kuua wanaowakosoa, kupita bila kupingwa, kutengeneza kura fake kipindi cha uchaguzi ili wapatekura nyingi, wale wanaowatumia vyombo vya dola ili kubariki uchafuzi wa uchaguzi hawa sio walafi wa madaraka??
Kishindo cha ujambazi labda.CCM hupita kwa kishindo kutokana na imani kubwa waliyonayo watanzania kwa CCM.
Utaendelea kuiona CCM ikiendelea kuwepo madarakani mpaka unatoka hapa DunianiKishindo cha ujambazi labda.
MaviNdugu zangu Watanzania,
Sikatai na wala sipingi moja kwa moja kuwa changamoto hazipo hapa Nchini. Lakini ni ukweli ulio wa wazi kuwa sote tunaona na kushuhudia namna Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Samia Suluhu Hasssan anavyo pambana usiku na mchana kutatua na kumaliza kero mbalimbali.
Tunaona na kujionea dhamira yake njema katika kutukwamua na kutuinua kiuchumi.
Kupitia Rais wetu Mpendwa Samia Tunaona nuru katika nchi yetu,tunaona kesho yetu iliyo njema kuliko leo,tunaona Tumaini mbele yetu,tunaona mwanga katikati yetu,tunaona madaraja katikati ya changamoto ya kimaisha.Tunaona namna Rais wetu anavyotuwezesha katika kutimiza ndoto zetu.
Tunaona namna anavyotufariji na kututia moyo na matumaini wakati wote.tunaona namna alivyo bega kwa bega na sisi na kwa kila hatua.
Tunaona namna anavyoumizwa na matatizo yetu ,tunaona namna anavyofanya kila kitu kwa ajili yetu sote watanzania.
Anafanya hayo yote kwa ajili yetu watanzania,kwa ajili ya kututua mizigo,kwa ajili ya kutufuta machozi.anajitajidi kwa kadri ya uwezo wake Mama yetu kumfikia kila mmoja wetu kwa namna yake.
Embu fikiria ndugu zangu Taifa kama Marekani lililopata uhuru wake takribani karne mbili zilizopita yaani mwaka 1776 ,lakini leo ukikaa na kusikiliza sera ,ajenda na hata hoja za midahalo ya Mama Kamala Harris pamoja na Donald Trump unaweza kufikiria labda Taifa hilo lilipata uhuru wake pale nchi ya Sudani kusini ilipokuwa inajitenga kutoka Sudani ya kaskazini ya Omar Bashir wakati huo.
Unaweza kufikiria labda Marekani inayozungumziwa na akina Harris na Trump siyo ile iliyoongozwa na George Washington au Franklin Roosevelt au John F Kennedy au Harry Truman au Reonald Regan au Bill Clinton au Barack Obama .kwa sababu utaona Harris na Trump bado wanazungumzia habari za kutengeneza ajira kwa vijana kwa wingi,kuimarisha uchumi ,kupunguza kodi ,kupunguza gharama za matibabu na mengine mengi .
Sasa kama Marekani iliyopata uhuru wake zaidi ya miaka mia mbili na point iliyopita yaani miaka 248 iliyopita ,vipi kwa Tanzania ambayo imepata uhuru mwaka 1961 ikiwa haina wasomi,haina viwanda,haina barabara za lami,haina vyuo wala shule za kutosha ,haina umeme kwa mikoa mingi kama siyo yote,haina mifumo ya aina yoyote ile ya kueleweka ya taasisi mbalimbali? Vipi Tanzania hii iliyokuwa imejaa mamilioni ya watu wasio juwa kusoma na kuandika mwaka 61 ikose changamoto leo ndugu zangu?
Embu tumuungeni mkono Mama yetu Mpendwa kwa juhudi hizi kubwa anazofanya kuliinua Taifa letu kiuchumi. Tutampata wapi Mama Samia mwingine ndugu zanguni? Moyo wangu unaumia sana napoona kuna watu wanamshambulia hovyo bila sababu wala hoja za msingi.
Naumia sana moyoni mwangu hasa kwa kuona namna Mama huyu alivyojitolea kuwatumikia watanzania halafu anajitokeza mwingine anaanza kumtolea lugha za matusi na kejeli..
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ya Ngoswe tumwachie Ngoswe sio?ephen wangu niachieni mimi
NdioYa Ngoswe tumwachie Ngoswe sio?
Asante kwa mawazo na maono yako.hiyo ndio democrasia ambapo kutofautiana kimawazo na kimtazamo ni jambo la kawaida na haiwezekani wangu wote mfanane mawazo wakati wote Utafikiri vichaa au wendawazimu waokotao Makopo jalalaniMakosa kama haya ya wazi, yanaashiria matatizo makubwa kichwani kwa mleta mada. Ni mtu wa kuhurumiwa kwa kukosa mengi. Uwezo wake unampeleka kuishia kuwa chawa, sidhani kama ana any other footprint in this universe.
Wewe ndio kubwa jinga.Umekalia maujinga tu
Changamoto, (uncertainty), husababishwa na majanga asilia na binadamu, binadamu huweza kusababisha changamoto kwa wengine kwa makusudi ama kwa kutokujua, pia kwake yeye mwenyewe kwa uzembe, uvivu, ujinga, uoga na ushambaNdugu zangu Watanzania,