Pre GE2025 Watanzania Tumlinde na Kumtetea Kwa Nguvu zetu zote Rais Samia Zidi ya Waroho Wa Madaraka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
 
BORA KULINDA NA KUTETEA PANYA WASIUAWE KULIKO MASHETANI. MBWAH KOKOH NYIE.
 
Kwahiyo wale wanaoteka, kuua wanaowakosoa, kupita bila kupingwa, kutengeneza kura fake kipindi cha uchaguzi ili wapatekura nyingi, wale wanaowatumia vyombo vya dola ili kubariki uchafuzi wa uchaguzi hawa sio walafi wa madaraka??
 
CCM hupita kwa kishindo kutokana na imani kubwa waliyonayo watanzania kwa CCM.
 
Mavi
 
Makosa kama haya ya wazi, yanaashiria matatizo makubwa kichwani kwa mleta mada. Ni mtu wa kuhurumiwa kwa kukosa mengi. Uwezo wake unampeleka kuishia kuwa chawa, sidhani kama ana any other footprint in this universe.
 
Asante kwa mawazo na maono yako.hiyo ndio democrasia ambapo kutofautiana kimawazo na kimtazamo ni jambo la kawaida na haiwezekani wangu wote mfanane mawazo wakati wote Utafikiri vichaa au wendawazimu waokotao Makopo jalalani
 
Unamtetea asiyetetea uhai wa wananchi wake dhidi ya watekaji?
 
Changamoto, (uncertainty), husababishwa na majanga asilia na binadamu, binadamu huweza kusababisha changamoto kwa wengine kwa makusudi ama kwa kutokujua, pia kwake yeye mwenyewe kwa uzembe, uvivu, ujinga, uoga na ushamba
 
Hivi ambae anakula peke yake chakula kilichojaa sinia huku anazuia mikono wenzie wasile hata tongue Moja nani ni mroho? uchawa =upofu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…