Watanzania tumshukuru Mungu kupata mtu mwenye moyo wa kusamehe. Je, tumuombe asamehe tu bila kuombwa msamaha au akomae naye?

Mkuu NewPage, asante sana kwa kuniuliza na kwa maoni yako, hili la hii kesi ya Ugaidi ya Mbowe, nimeisha liandikia makala, karibu pande hizi
P
 
Takataka tu huu muda unapotezaga ingekuwa unaandika business plan ungeweza Saidia nchi zaidi
 
P.
Nakujua wewe ni ccm pro max! Na Kwa kuwa umeshauona ukweli kuhusu serikali kubagwa mahakamani Kwa kesi uchwara na ya mchongo Kama wanenavyo wadau humu unajaribu kulazimishwa msamaha utolewe Kwa kosa lisilokuwepo!
Hata Kama mtaiondoa hii kesi mahakamani Kwa kuzuga eti msamaha wa nani sijui Bado wananchi wataubaini unafiki wa mtoa msamaha! Na Kwa hili mtapoteza na kupunguza kukubalika kwenu Kwa watanzania walio wengi!
Natamani kuona hii kesi iendelee Hadi mwisho na ikibidi ifike Hadi mahakama ya rufaa ili tuzidi kujifunza na kuwafahamu vizuri zaidi hao polisi na wanasheria wa serikali jinsi wanavyovuja Kodi zetu na Kisha wananchi wataamua la kufanya!
 
Takataka tu huu muda unapotezaga ingekuwa unaandika business plan ungeweza Saidia nchi zaidi
Mtu kujua kuandika, haimaanishi anaweza kuandika chochote. Mimi ni mwandishi wa habari na sio mwandishi wa business plan. Kiukweli maandishi yangu yanalisaidia sana taifa hili, sema tuu wewe hujui!. Mimi ninayeandika najua na mfano mzuri ni huu.
P
 
Tumeandika mengi kuhusu kesi hii, hatimaye leo ndio leo, macho na masikio yetu yote ni kwenye mahakama ya uhujumu, kesi ya Mbowe. Let's wait while hopping for the best DPP akiingia na Nolle, but also let's get prepared for the worst...akakutwa ni gaidi ana kesi ya kujibu!.
P
 

Pascal uko na akili Sana, Ila unakuwa mtu wa hovyo sababu ya kujipendekeza Kwa hiyo unakuwa Kama pole pole!
 


Dec mwaka Juzi ziliibiwa kura na hakukuwa na cha kufanya; sasa wato
Duh...!, kunifananisha mimi na Polepole ni kunifagilia sana kwasababu Polepole ni role model wangu!. Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!
P

Thank you so much Kwa ku confirm ninachosema, forever trash!
 
Thank you so much Kwa ku confirm ninachosema, forever trash!
Sio kila trash ni trash kwa wote, trash nyingine ni kama ganda la mua la jana, wewe umelitupa, kwa mwingine ni kifungo!. Wakati wewe unakiponda, kuna mwingine anauliza atakipata lini!.
P
 
Leo ndio siku yenyewe ya wanawake duniani, hongera sana kwa wanawake wote duniani akiwemo Mwanamke huyu!.
P
 
Mkuu Lax karibu pande hii ushuhudie.
P
 
Reactions: Lax
Pascali anazeeka vibaya sana tena hana aibu
Jaribu kusoma na kujibu hoja anazozijadili. Kusema tu anazeeka vibaya hakusaidii. Hii point nitakayoisema inatuhusu sisi wote - wewe, mimi na wengine. Hivyo, usije ukajisikia kwamba nakwambia wewe tu specifically. Ni kwamba sisi Watanzania tulio wengi hatuko critical - hatuwezi kusoma andiko la mtu kuona hoja anazozijadili na kuzijibu. Mara nyingi tunakimbilia kumshambulia mtoa hoja. Ukiiangalia hata bungeni trend Iko hivyo. Mbunge fulani akitoa hoja fulani yenye ukakasi, badala ya kui'challenge' kwa kuonyesha udhaifu wake baadhi watakimbilia kumshambulia personally. Tunakosa intellectual humility/maturity au wakati mwingine naita intelligent/smart thinking. Na hapa pia sisemi kwamba Watanzania wote tuko hivyo, hapana. Ila wengi wetu tunajadili mambo simplistically, na mara nyingi tukiwa biased. Na unajua kwenye research ambayo data zake ni biased, hiyo research inakosa reliability, accuracy na si trustworthy. Hivyo, hata sisi kwenye mijadala yetu tukiwa biased, tunathiri mijadala yetu. Ukisikia hata kwenye mijadala redioni au kwenye TV ni very simplistic. Wakati wa Awamu ya Nne almost kila siku nilikuwa nimepanga kufuatilia mijadala redioni au kwenye TV, na Bunge pia. Nilikuwa najifunza mengi - namna ya kujenga hoja. Nilikuwa kwa mfano nafuatilia Hicho Letu Ndani ya Habari (Jumamosi asubuhi, Star TV), This Week in Perspective (TBC) nadhani Jumanne usiku na marudio Alhamisi mchana kama sikosei, Malumbano ya Hoja (ITV) nadhani au Jumatano saa 3 usiku na Kipima Joto (ITV, saa 3 usiku). Awamu ya Tano ilikuja na utaratibu mpya, ambao ulinifsnya nikose interest ya kufuatilia tena vipindi hivyo hadi leo. Sana sana naweza kufuatilia mijadala ya Citizen TV ya Kenya au kwenye media za kimataifa kama Hard Talk (BBC), CNN, Sky News, na theology and philosophy debates YouTube, Moot Court proceedings na law school mbalimbali na, of course, nilikuwa simisi kipindi cha Shaka (Voice of America) na kusoma vitabu mbalimbali. Kimsingi napenda sana mijadala, ila iwe mijadala inayojenga na siyo inayopoteza muda bure. Hivyo, ndugu nilitaka tu kusema unge'underline' point moja au kadhaa ambazo hukubaliani naye na ukam'challenge'. Tujifunze kujadili jambo kwa namna hiyo - tukianza leo: wewe, mimi, na mtu mwingine etc, baada ya mwaka unaweza kukuta tumeshakuwa mabingwa wa mijadala yenye afya. Ndiyo hayo tu ndugu nilitaka ku'share'. Asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…