Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 26,483
- 40,130
- Nchimbi amekuwa akitoa kauli zinazojitenga na mambo ya aibu na ukatili yanayotendwa na Samia pamoja genge lake
- Kikao cha Kamati Kuu CCM kilichofanyika Unguja kimevuja kuwa Nchimbi atapelekwa Kamati ya Maadili ya CCM
- Kumekuwepo na tetesi za kumshinikiza ajiuzulu ili kumpa amani ya moyo nduli aliye juu yake
- Mpasuko huu unapelekea kuongezeka kwa nyufa za Muungano na utawala ngazi ya juu kama nchi
- Kuna mpasuko mkubwa ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama kupitia huu mtifuano wa Nchimbi na Samia
- Watanzania. Hii ndiyo nafasi pekee Mungu ametupatia ya ukombozi wetu. Tumuombee Nchimbi kwa sababu ameamaua kusikiliza sauti ya HAKI kutamalaki
Mwenye kuni mbichi au kavu shime yuwachochee hawa CCM warndelee kupasuana, kutifuana na kugawanyika ili nchi ipone