Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 22,502
- 48,479
Raisi ajaye? Umesahau kuna kupigiwa kura. Kuna fomu za chama na mengine mengi.Hiyo mitifuano ni kichwani kwako tu,kwa Tanzania Rais ajeye ateteuliwa na SAMIA.akitaka nchimbi awe basi atakuwa na akitaka mwingine yoyote awe basi atakuwa maana yeye ndio mwenyekiti wa chama na anakadi zote mezani.