Hata mimi nahisi Kuna maigizo tunaigiziwa watanganyika na hiki chama kilichojifiaMbona kama maigizo?
Sahihi, mpasuko wa mchongo huu!Hata mimi nahisi Kuna maigizo tunaigiziwa watanganyika na hiki chama kilichojifia
Umetumwa wewe tuache tuna mambo mengi ya kufanya , mambo Yao waache wenyewe
- Nchimbi amekuwa akitoa kauli zinazojitenga na mambo ya aibu na ukatili yanayotendwa na Samia pamoja genge lake
- Kikao cha Kamati Kuu CCM kilichofanyika Unguja kimevuja kuwa Nchimbi atapelekwa Kamati ya Maadili ya CCM
- Kumekuwepo na tetesi za kumshinikiza ajiuzulu ili kumpa amani ya moyo nduli aliye juu yake
- Mpasuko huu unapelekea kuongezeka kwa nyufa za Muungano na utawala ngazi ya juu kama nchi
- Kuna mpasuko mkubwa ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama kupitia huu mtifuano wa Nchimbi na Samia
- Watanzania. Hii ndiyo nafasi pekee Mungu ametupatia ya ukombozi wetu. Tumuombee Nchimbi kwa sababu ameamaua kusikiliza sauti ya HAKI kutamalaki
Mwenye kuni mbichi au kavu shime yuwachochee hawa CCM warndelee kupasuana, kutifuana na kugawanyika ili nchi ipone
Wanataka ku divert attention kutoka kwenye mambo ya msingi kama katiba nkSahihi, mpasuko wa mchongo huu!
Na wajinga ndio waliwao. Sasa hivi mitandao yote itajaa Nchimbi kasema nini na Samia kafanya nini huku mambo ya Tume Huru ya Uchaguzi na mengineyo yakisahaulika kabisa.Wanataka ku divert attention kutoka kwenye mambo ya msingi kama katiba nk
- Nchimbi amekuwa akitoa kauli zinazojitenga na mambo ya aibu na ukatili yanayotendwa na Samia pamoja genge lake
- Kikao cha Kamati Kuu CCM kilichofanyika Unguja kimevuja kuwa Nchimbi atapelekwa Kamati ya Maadili ya CCM
- Kumekuwepo na tetesi za kumshinikiza ajiuzulu ili kumpa amani ya moyo nduli aliye juu yake
- Mpasuko huu unapelekea kuongezeka kwa nyufa za Muungano na utawala ngazi ya juu kama nchi
- Kuna mpasuko mkubwa ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama kupitia huu mtifuano wa Nchimbi na Samia
- Watanzania. Hii ndiyo nafasi pekee Mungu ametupatia ya ukombozi wetu. Tumuombee Nchimbi kwa sababu ameamaua kusikiliza sauti ya HAKI kutamalaki
Mwenye kuni mbichi au kavu shime yuwachochee hawa CCM warndelee kupasuana, kutifuana na kugawanyika ili nchi ipone
Na ndiyo objective yao, hizi siasa za majitaka wanazijua kweli kweliNa wajinga ndio waliwao. Sasa hivi mitandao yote itajaa Nchimbi kasema nini na Samia kafanya nini huku mambo ya Tume Huru ya Uchaguzi na mengineyo yakisahaulika kabisa.
Na wale Wanasiasa wababe na viziwi ndo wenye huchu wa madaraka, ndo wale wanaotaka kuitawala nchi hii Kwa nguvu ya Dola pamoja na pesa walizotuibia sisi Wananchi.Kwa ule ubabe wa 2025 na pia yale mauaji ya Oktoba 29, mgawanyiko ndani ya chama haukwepeki. That was too much. Kwa wanasiasa wanaoamini katika ustahimilivu na kuchukuliana, ni vigumu sana kukubaliana na wale wanasiasa wababe na viziwi.
Vita ya Urais itawamaliza CCM 2030 Chimbi team KJ Mama team Mafedha na tai zake ngoja tuone