Sahihi kabisa. Angalia watu kama Simbachawene alivyokuwa Waziri wa Mambo ya ndani, muangalie Ndugai alipotoa onyo kuhusu nchi kupigwa mnada, muangalie na huyu Nchimbi! Utagundua baadhi yao wanaamini kwenye utawala wa sheria, siasa za kuchukuliana na kuvumiliana, nk.Na wale Wanasiasa wababe na viziwi ndo wenye huchu wa madaraka, ndo wale wanaotaka kuitawala nchi hii Kwa nguvu ya Dola pamoja na pesa walizotuibia sisi Wananchi.
So tumuombee sote na akigombea Urais 2030 sote tuungane kumpa kura awe Rais CCM iendelee kutawala
- Nchimbi amekuwa akitoa kauli zinazojitenga na mambo ya aibu na ukatili yanayotendwa na Samia pamoja genge lake
- Kikao cha Kamati Kuu CCM kilichofanyika Unguja kimevuja kuwa Nchimbi atapelekwa Kamati ya Maadili ya CCM
- Kumekuwepo na tetesi za kumshinikiza ajiuzulu ili kumpa amani ya moyo nduli aliye juu yake
- Mpasuko huu unapelekea kuongezeka kwa nyufa za Muungano na utawala ngazi ya juu kama nchi
- Kuna mpasuko mkubwa ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama kupitia huu mtifuano wa Nchimbi na Samia
- Watanzania. Hii ndiyo nafasi pekee Mungu ametupatia ya ukombozi wetu. Tumuombee Nchimbi kwa sababu ameamaua kusikiliza sauti ya HAKI kutamalaki
Mwenye kuni mbichi au kavu shime yuwachochee hawa CCM warndelee kupasuana, kutifuana na kugawanyika ili nchi ipone
Wanataka ku divert attention kutoka kwenye mambo ya msingi kama katiba nk
Wa Tanganyika waipiganie nchi yao kwa wivu mkubwa.
Akitoka tu chap wanamkamata na kumpa kesi nzito ya kumpoteza.Kama kweli nae anania na anachozungumza kina ukweli bas atoke uko alipo nje na apo ccm haina mtu mwema
Mbona kama tunapangwa?
- Nchimbi amekuwa akitoa kauli zinazojitenga na mambo ya aibu na ukatili yanayotendwa na Samia pamoja genge lake
- Kikao cha Kamati Kuu CCM kilichofanyika Unguja kimevuja kuwa Nchimbi atapelekwa Kamati ya Maadili ya CCM
- Kumekuwepo na tetesi za kumshinikiza ajiuzulu ili kumpa amani ya moyo nduli aliye juu yake
- Mpasuko huu unapelekea kuongezeka kwa nyufa za Muungano na utawala ngazi ya juu kama nchi
- Kuna mpasuko mkubwa ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama kupitia huu mtifuano wa Nchimbi na Samia
- Watanzania. Hii ndiyo nafasi pekee Mungu ametupatia ya ukombozi wetu. Tumuombee Nchimbi kwa sababu ameamaua kusikiliza sauti ya HAKI kutamalaki
Mwenye kuni mbichi au kavu shime yuwachochee hawa CCM warndelee kupasuana, kutifuana na kugawanyika ili nchi ipone
Are you of kitchen?😀Hapana. Haya siyo maigizo. Huyu ni kama Polepole, hakubaliani na baadhi ya mambo yanayofanywa na serikali yao.
Kutoka hapana tunahitaji mpambanaji aliye ndani ya Ccm humohumo ili watibuane hasa. Akitoka yaani inakuwa haina maana inakuwa tu kama Msigwa alivyotoka Ccm kuja Chadema.Kama kweli nae anania na anachozungumza kina ukweli bas atoke uko alipo nje na apo ccm haina mtu mwema
Kwa fursa hii, unaonaje wewe ukawa wa kwanza kuwahamasisha vijana kitaa kudai mabadiliko? Achana na kutamba na JF, ingia kitaa!
- Nchimbi amekuwa akitoa kauli zinazojitenga na mambo ya aibu na ukatili yanayotendwa na Samia pamoja genge lake
- Kikao cha Kamati Kuu CCM kilichofanyika Unguja kimevuja kuwa Nchimbi atapelekwa Kamati ya Maadili ya CCM
- Kumekuwepo na tetesi za kumshinikiza ajiuzulu ili kumpa amani ya moyo nduli aliye juu yake
- Mpasuko huu unapelekea kuongezeka kwa nyufa za Muungano na utawala ngazi ya juu kama nchi
- Kuna mpasuko mkubwa ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama kupitia huu mtifuano wa Nchimbi na Samia
- Watanzania. Hii ndiyo nafasi pekee Mungu ametupatia ya ukombozi wetu. Tumuombee Nchimbi kwa sababu ameamaua kusikiliza sauti ya HAKI kutamalaki
Mwenye kuni mbichi au kavu shime yuwachochee hawa CCM warndelee kupasuana, kutifuana na kugawanyika ili nchi ipone
Abanane humo humo, akitoka tu watapata nguvu ya kumshughulikiaKama kweli nae anania na anachozungumza kina ukweli bas atoke uko alipo nje na apo ccm haina mtu mwema
Ninakubaliana na wewe kuhusu nafasi ya kipekee na adimu sana hii tunayopewa ya "ukombozi wetu"; ila suala la "kuombea" haitoshi bila ya kusimama naye bega kwa bega katika mapambano haya ya ukombozi.Watanzania. Hii ndiyo nafasi pekee Mungu ametupatia ya ukombozi wetu. Tumuombee Nchimbi kwa sababu ameamaua kusikiliza sauti ya HAKI kutamalaki