Watanzania tumuombee Nchimbi: sasa naelewa mtifuano ndani ya CCM ni ukombozi kwa Taifa

Hiyo mitifuano ni kichwani kwako tu,kwa Tanzania Rais ajeye ateteuliwa na SAMIA.akitaka nchimbi awe basi atakuwa na akitaka mwingine yoyote awe basi atakuwa maana yeye ndio mwenyekiti wa chama na anakadi zote mezani.
Raisi ajaye? Umesahau kuna kupigiwa kura. Kuna fomu za chama na mengine mengi.
 
Mkuu huyo ni mwanamtandao tu, unawezaje kuwa moja ya viongozi wanaounda serikali ya kihuni hivi halafu upingane nao, tena ukiwa madarakani!
Kachanga karate zake kaona Huko Mbele atawekwa pembeni asubuhi kabisa Ivo ni Bora amwage mboga Tu

Kuwa mwanamtandao hakumaanisha huna self ambition zako, Refer Msoga na Masai wote walikuwa senior member wa mtandao ila siuna ona walivyopishana?

Emma kachungulia Kesho na ameona akiendelea kuwa obedience na authority watakata jina mapema sana pale 2030

Sasa bora kuanza kusaka sympathy ya umma kabla ya muda
 
Aliyemteua Nchimbi kuwa Katibu Mkuu ni Mh.SAMIA,na aliyempitisha Mh. SAMIA kuwa mgombea wa CCM ni Nchimbi-na aliyemteua Nchimbi kuwa Mgombea mwenza ni SAMIA na atakeyemteua Mgombea ajaye wa CCM ni SAMIA.
Siasa ni mchezo,tulia watu wasukume kete.
2030 hakuna Mtu atamuonea aibu Mwenyekiti mana ndio anaachia kiti Ivo,

Mara zote Mwenyekiti wa Chama anapondoka anashindwa kuacha Kwenye kiti Mtu anaemtaka

Kuanzia kina Nyerere, Mkapa, Mwinyi mpaka kikwete wote wameshindwa kuwachia viti watu wanao wataka

Makundi Yana nguvu sana ndio mana at the end kuna candidate anakuwa unstoppable

Mzee Nche wakati anasepa 2005, Msoga was too big kumuondoa kwa hio post ya flag barrier natumai hata 2030 bado external forces zitamua Nani apeperushe bendera
 
cc Erythrocyte
 
FACT. Waovu hawana umoja wa kweli, huoni ilivyo rahisi majambazi kugeukana na kuuana?
 
BINAFSI NIKIIANGALIA NAFSI YA NCHIMBI NAONA AMEMAANISHA! YUMO KWENYE NDANI YA NYUMBA AMBAPO HAFURAHII NA HAYAKUBALI YANAYOENDELEA!

pia unabii lazima itimie, kifo cha ccm kitatokea humohumo
 
MaCCM hawapendi mtu anayesema ukweli. Tumuombee sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…