Watanzania tumuombee Nchimbi: sasa naelewa mtifuano ndani ya CCM ni ukombozi kwa Taifa

Kama sio drama, ni jambo Jema.
 
Chura aka kizimkazi anafanya UDINI ndani y tanganyika. Na watanganyika hawajielewi kabisa.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Kwa fursa hii, unaonaje wewe ukawa wa kwanza kuwahamasisha vijana kitaa kudai mabadiliko? Achana na kutamba na JF, ingia kitaa!
Uzuri wa JF watu wema na wabaya hukutana na kushindana kwenye hoja.

Yaani sisi mnaotuua na nyie wauaji tunaweza kuwasiliana hivi.

Jambo gumu wewe huwezi kujua unawasiliana na mumeo kwenye hoja.

TUMIA AKILI
 
Nadhani Nchi mpya imekaribia.
Lakini kuna jambo moja hapa, kwamba ukishamwaga damu ya mwanadamu hasa asiye na hatia, huwezi kubaki salama.

Kitakachotokea ni kwamba, yatapatikana au yapo makundi mawili, (1) Kundi la wanaotaka haki itendeke kwa yaliyotokea October 29, 2025 na (2) Kundi la wanaotaka mambo yaende tu bila uwajibikaji kwa yaliyotokea October 29, 2025 kwa sababu tu wao wanalindwa na Jeshi. Kwa hapo sasa itategemeana ni kundi gani litashinda?
 
Uzuri wa JF watu wema na wabaya hukutana na kushindana kwenye hoja.

Yaani sisi mnaotuua na nyie wauaji tunaweza kuwasiliana hivi.

Jambo gumu wewe huwezi kujua unawasiliana na mumeo kwenye hoja.

TUMIA AKILI
Nasi wewe ni shoga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…