Hapana haja ya kuandamana. Maana yakotokea hayo maandamano kuna familia zitakimbilia burundi. Tushindane tu kwa hoja, haya mambo yatafika mwisho wake na amini nchi yetu ipo mikono salama kabisa na kila jambo lipo under control, hawa wapiga kelele very soon watapata majibu yao.Maandamano ni haki yetu, Bora tuandamane kuuondoa huu uongozi uliopo
Uko sahihiNi wajinga na wehu wenye mtindio wa ubongo achana nao. Muda ukifika majibu yatakuja kujulikana. Usishani wale aliowafia mkononi wanafurahia, hii kitu iko pazuri sana tena sana. Kumbuka waliomuu Sankara walishtakiwa na kufungwa. Kesi ya Tanzania ni rahisi sana. Maana kila aliyeshiriki keshajitambulisha waziwazi bila kificho. Kukosa hekima kwa wahusika au nadhani ni laana imewaumbua sana.
Hahaha wabadilike tuMaandamano ni haki yetu, Bora tuandamane kuuondoa huu uongozi uliopo
Unamdanganya.Kwa kinyamwezi wanasema unamsyenteka.Ekihehe wanasema unambedala.Kwa kiswahili cha ndani,unamng'gong'a!Uko sahihi
Wewe hofu au shida yako ni nini "maliyemu" akisimangwa?Huwezi jua.Labda wakimsimanga wanapata afua ya maisha na kuongeza siku za kuishi.Kwani marehemu amelalamika?Kwa nini umsemee?
Nchi imekuwa na ujinga mwingiHakika nchi yetu imegubikwa na ujinga na upuuzi mwingi sana na kinachouma zaidi wananchi tupo kama mazombi, tunapelekwa tu.
Embu angalia nchi haina umeme, maji shida, hali ya maisha ni ngumu kwenye maofisi ya serikali ukiritimba umejaa alafu kuna wapumbavu wananyanyua midomo yao na kumkashifu marehemu....!!
Nchi ina wapuuzi wengi sana hii, Mungu pekee ndio wakutusaidia!!
Kwa nini wewe unalalamika kwa niaba yake?Atapata unafuu?Acha waongee watachoka.Mimi mwenyewe nimeshachoka kumsimanga.Marehemu anaweza lalamika ?
Kuita ujinga nawe unaonesha ulemavu.Umewauliza kwa nini wanamtweza umpendaye?Nchi imekuwa na ujinga mwingi
Ni kweli Africa wajinga wengi sanaKuita ujinga nawe unaonesha ulemavu.Umewauliza kwa nini wanamtweza umpendaye?
Angalia kioo umuone mjinga anakutazama.Ni kweli Africa wajinga wengi sana