Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
taaratibu mtaelewaWewe hofu au shida yako ni nini "maliyemu" akisimangwa? Huwezi jua. Labda wakimsimanga wanapata afua ya maisha na kuongeza siku za kuishi. Kwani marehemu amelalamika? Kwa nini umsemee?
Asiposemwa ndio tutakuwa tumemaliza hayo matatizo?Hakika nchi yetu imegubikwa na ujinga na upuuzi mwingi sana na kinachouma zaidi wananchi tupo kama mazombi, tunapelekwa tu.
Embu angalia nchi haina umeme, maji shida, hali ya maisha ni ngumu kwenye maofisi ya serikali ukiritimba umejaa alafu kuna wapumbavu wananyanyua midomo yao na kumkashifu marehemu....!!
Nchi ina wapuuzi wengi sana hii, Mungu pekee ndio wakutusaidia!!
Na w ewe pia unachangia kumsema kama ulivyoandika hapa. Kwa hivyo usiwaseme wenzakoHivi mbona watanzania tunakuwa wajinga kiasi hiki? Maisha mtaani magumu ,ufisadi na Huduma bado duni za kijamii lakini bado mtu badala waje watusemee matatizo yetu, kila siku kumsema mtu ambae hayupo.
ustushawishi ujinga! Wacha tumseme huyo mtu wenu ili isitokee kichaa mwingine kupenya had ikulu yetuHabari JF,
Hivi mbona watanzania tunakuwa wajinga kiasi hiki? Maisha mtaani magumu ,ufisadi na Huduma bado duni za kijamii lakini bado mtu badala waje watusemee matatizo yetu, kila siku kumsema mtu ambae hayupo.
Kibaya zaidi huyo mtu hawezi jibu hizo tuhuma na hawezi shitakiwa na hakuna hata Mmoja Mwenye ushahidi ni kelele na tuhuma tu.
Nadhani imefika mahali mwanasiasi yoyote ataejificha kwenye kichaka hichi tumkatae kwa nguvu tena hadharani, tuna matatizo mengi kuliko huo mjadala wa MTU ambae hayupo.
Umejiunga Mach 27 kazi maalumu unahangaika mzee magufuli alishafariki kubaliana na matokeo mzee.ni Bora kupoteza hirizi lakini sio kufiwa na mganga aiseeHabari JF,
Hivi mbona watanzania tunakuwa wajinga kiasi hiki? Maisha mtaani magumu ,ufisadi na Huduma bado duni za kijamii lakini bado mtu badala waje watusemee matatizo yetu, kila siku kumsema mtu ambae hayupo.
Kibaya zaidi huyo mtu hawezi jibu hizo tuhuma na hawezi shitakiwa na hakuna hata Mmoja Mwenye ushahidi ni kelele na tuhuma tu.
Nadhani imefika mahali mwanasiasi yoyote ataejificha kwenye kichaka hichi tumkatae kwa nguvu tena hadharani, tuna matatizo mengi kuliko huo mjadala wa MTU ambae hayupo.
Ujingq hautokaa uwaisheustushawishi ujinga! Wacha tumseme huyo mtu wenu ili isitokee kichaa mwingine kupenya had ikulu yetu
Kwa namna alivyoumiza watu hatuwezi kuacha kumkumbuka kwa unyama ule.Habari JF,
Hivi mbona watanzania tunakuwa wajinga kiasi hiki? Maisha mtaani magumu ,ufisadi na Huduma bado duni za kijamii lakini bado mtu badala waje watusemee matatizo yetu, kila siku kumsema mtu ambae hayupo.
Kibaya zaidi huyo mtu hawezi jibu hizo tuhuma na hawezi shitakiwa na hakuna hata Mmoja Mwenye ushahidi ni kelele na tuhuma tu.
Nadhani imefika mahali mwanasiasi yoyote ataejificha kwenye kichaka hichi tumkatae kwa nguvu tena hadharani, tuna matatizo mengi kuliko huo mjadala wa MTU ambae hayupo.
yeyote afanyae ushenz nchin atasemwa mpaka atie adabu maana hii nchi sio ya wapumbavu kama sukuma gang na nguruwe uvccm.
wapumbavu ni wale mnaomtetea tena tutamfukua tuchome mifupa yake yote.Ni wajinga tu, na tumeuchoka huo ujinga wao.
Tuna matatizo mengi sana katika nchi hii, haiwezekani watu mpande majukwaani kumuongelea mtu ambaye hawezi kusema wa kujibu. Ni upumbavu.
hahahahahAngalia kioo umuone mjinga anakutazama.