Watanzania tuna matatizo mengi zaidi ya kebehi kwa Hayati Magufuli, Wanasiasa wanaotumia kichaka hichi Tuwakatae hadharani

Habari jf ,Hivi mbona watanzania tunakuwa wajinga kiasi hiki ? Maisha mtaani magumu ,ufisadi na Huduma bado duni za kijamii lakini bado mtu badala waje watusemee matatizo yetu ,kila siku kumsema mtu ambae hayupo .

Kibaya zaidi huyo mtu hawezi jibu hizo tuhuma na hawezi shitakiwa na hakuna hata Mmoja Mwenye ushahidi ni kelele na tuhuma tu .

Nadhani imefika mahali mwanasiasi yoyote ataejificha kwenye kichaka hichi tumkatae kwa nguvu tena hadharani ,tuna matatizo mengi kuliko huo mjadala wa MTU ambae hayupo .
Chadema kina mbowe ndio wanamsema

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ni wajinga tu, na tumeuchoka huo ujinga wao.
Tuna matatizo mengi sana katika nchi hii, haiwezekani watu mpande majukwaani kumuongelea mtu ambaye hawezi kusema wa kujibu. Ni upumbavu.
 
Ni wajinga na wehu wenye mtindio wa ubongo achana nao. Muda ukifika majibu yatakuja kujulikana. Usidhani wale aliowafia mkononi wanafurahia, hii kitu iko pazuri sana tena sana. Kumbuka waliomuu Sankara walishtakiwa na kufungwa. Kesi ya Tanzania ni rahisi sana. Maana kila aliyeshiriki keshajitambulisha waziwazi bila kificho. Kukosa hekima kwa wahusika au nadhani ni laana imewaumbua sana.
Chawaa nakukubali Sana uko vzr kwenye hoja za kiuchumi Sana[emoji23]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Habari jf ,Hivi mbona watanzania tunakuwa wajinga kiasi hiki ? Maisha mtaani magumu ,ufisadi na Huduma bado duni za kijamii lakini bado mtu badala waje watusemee matatizo yetu ,kila siku kumsema mtu ambae hayupo .

Kibaya zaidi huyo mtu hawezi jibu hizo tuhuma na hawezi shitakiwa na hakuna hata Mmoja Mwenye ushahidi ni kelele na tuhuma tu .

Nadhani imefika mahali mwanasiasi yoyote ataejificha kwenye kichaka hichi tumkatae kwa nguvu tena hadharani ,tuna matatizo mengi kuliko huo mjadala wa MTU ambae hayupo .
Alitesa watu miaka 5 lazima anyooshwe huko huko Kwa miaka sawa na aliyowafanyia wenzie.
 
Wewe hofu au shida yako ni nini "maliyemu" akisimangwa?Huwezi jua.Labda wakimsimanga wanapata afua ya maisha na kuongeza siku za kuishi.Kwani marehemu amelalamika?Kwa nini umsemee?
Ukiona Hali hii inaendelea Hangaya karuhusu
 
Hakika nchi yetu imegubikwa na ujinga na upuuzi mwingi sana na kinachouma zaidi wananchi tupo kama mazombi, tunapelekwa tu.

Embu angalia nchi haina umeme, maji shida, hali ya maisha ni ngumu kwenye maofisi ya serikali ukiritimba umejaa alafu kuna wapumbavu wananyanyua midomo yao na kumkashifu marehemu....!!

Nchi ina wapuuzi wengi sana hii, Mungu pekee ndio wakutusaidia!!
Tumefika hapa kwa sababu ya marehemu
 
Habari JF,

Hivi mbona watanzania tunakuwa wajinga kiasi hiki? Maisha mtaani magumu ,ufisadi na Huduma bado duni za kijamii lakini bado mtu badala waje watusemee matatizo yetu, kila siku kumsema mtu ambae hayupo.

Kibaya zaidi huyo mtu hawezi jibu hizo tuhuma na hawezi shitakiwa na hakuna hata Mmoja Mwenye ushahidi ni kelele na tuhuma tu.

Nadhani imefika mahali mwanasiasi yoyote ataejificha kwenye kichaka hichi tumkatae kwa nguvu tena hadharani, tuna matatizo mengi kuliko huo mjadala wa MTU ambae hayupo.
Ni kumtukana mtu, kumdhalilisha au kumuondolea utu wake ni jambo baya na halikubaliki! But kama watu hawafanyi hayo bali wanatoa ya moyoni, ni vyema acha waongee!! Maana humu kuna threads nying za kusifu, kupongeza na mpaka kuitwa shujaa!! Basi hata wale wenye mrengo tofaut ni vzr mkawapa nafas zao kama wanaosifu!!
 
Haina maana kumsema mtu vibaya kiàsi hiki
 
Mnataka kujifichia kwenye matatizo? Kama ni hivyo basi hata Magufuli ni tatizo.
 
Habari JF,

Hivi mbona watanzania tunakuwa wajinga kiasi hiki? Maisha mtaani magumu ,ufisadi na Huduma bado duni za kijamii lakini bado mtu badala waje watusemee matatizo yetu, kila siku kumsema mtu ambae hayupo.

Kibaya zaidi huyo mtu hawezi jibu hizo tuhuma na hawezi shitakiwa na hakuna hata Mmoja Mwenye ushahidi ni kelele na tuhuma tu.

Nadhani imefika mahali mwanasiasi yoyote ataejificha kwenye kichaka hichi tumkatae kwa nguvu tena hadharani, tuna matatizo mengi kuliko huo mjadala wa MTU ambae hayupo.
Wwnye neema ndio wamejaa huko kwa mtandao na machadema kila saaa kumsifia mama baada ya kulamba asali
 
Kila siku mnaanzisha mada ya huyu Jiwe wenyewe mkielezwa mnakuwa wakali kama mbogo, unampa utukufu mtu asiye staili ndiyo maana mnateseka.

Kweli hali ni ngumu lakini haiondoi kusema huyu bwana alikuwa muovu kwa kiwango kikubwa sana.
Mjinga mwingine ni ww kaungane na makamba na nape
 
Tuhuma bila ushahidi ni uzushi
Kila siku mnaanzisha mada ya huyu Jiwe wenyewe mkielezwa mnakuwa wakali kama mbogo, unampa utukufu mtu asiye staili ndiyo maana mnateseka.

Kweli hali ni ngumu lakini haiondoi kusema huyu bwana alikuwa muovu kwa kiwango kikubwa sana.
 
Tuhuma bila ushahidi ni uzushi
Ndiyo maana nikasema hamjui kitu, kaaeni kimya nyie Sukuma Gang.

Hizi sio zama zenu tena za kutishana na kuumizana, mkae kwa kutulia tu
 
Habari JF,

Hivi mbona watanzania tunakuwa wajinga kiasi hiki? Maisha mtaani magumu ,ufisadi na Huduma bado duni za kijamii lakini bado mtu badala waje watusemee matatizo yetu, kila siku kumsema mtu ambae hayupo.

Kibaya zaidi huyo mtu hawezi jibu hizo tuhuma na hawezi shitakiwa na hakuna hata Mmoja Mwenye ushahidi ni kelele na tuhuma tu.

Nadhani imefika mahali mwanasiasi yoyote ataejificha kwenye kichaka hichi tumkatae kwa nguvu tena hadharani, tuna matatizo mengi kuliko huo mjadala wa MTU ambae hayupo.
legacy ya marehemu haitetewi na mtu bali hujutetea yenyewe, mtu yeyote anayetetea megacy ya marehemu ni mpumbavu na hawezi kuungwa mkono na mtu yeyote mwenye akili timamu isipokuwa wapumbavu wenzake.
 
Back
Top Bottom