Watanzania tuna matatizo mengi zaidi ya kebehi kwa Hayati Magufuli, Wanasiasa wanaotumia kichaka hichi Tuwakatae hadharani

Chadema kina mbowe ndio wanamsema

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ni wajinga tu, na tumeuchoka huo ujinga wao.
Tuna matatizo mengi sana katika nchi hii, haiwezekani watu mpande majukwaani kumuongelea mtu ambaye hawezi kusema wa kujibu. Ni upumbavu.
 
Chawaa nakukubali Sana uko vzr kwenye hoja za kiuchumi Sana[emoji23]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Alitesa watu miaka 5 lazima anyooshwe huko huko Kwa miaka sawa na aliyowafanyia wenzie.
 
Wewe hofu au shida yako ni nini "maliyemu" akisimangwa?Huwezi jua.Labda wakimsimanga wanapata afua ya maisha na kuongeza siku za kuishi.Kwani marehemu amelalamika?Kwa nini umsemee?
Ukiona Hali hii inaendelea Hangaya karuhusu
 
Tumefika hapa kwa sababu ya marehemu
 
Ni kumtukana mtu, kumdhalilisha au kumuondolea utu wake ni jambo baya na halikubaliki! But kama watu hawafanyi hayo bali wanatoa ya moyoni, ni vyema acha waongee!! Maana humu kuna threads nying za kusifu, kupongeza na mpaka kuitwa shujaa!! Basi hata wale wenye mrengo tofaut ni vzr mkawapa nafas zao kama wanaosifu!!
 
Haina maana kumsema mtu vibaya kiàsi hiki
 
Mnataka kujifichia kwenye matatizo? Kama ni hivyo basi hata Magufuli ni tatizo.
 
Wwnye neema ndio wamejaa huko kwa mtandao na machadema kila saaa kumsifia mama baada ya kulamba asali
 
Kila siku mnaanzisha mada ya huyu Jiwe wenyewe mkielezwa mnakuwa wakali kama mbogo, unampa utukufu mtu asiye staili ndiyo maana mnateseka.

Kweli hali ni ngumu lakini haiondoi kusema huyu bwana alikuwa muovu kwa kiwango kikubwa sana.
Mjinga mwingine ni ww kaungane na makamba na nape
 
Tuhuma bila ushahidi ni uzushi
Kila siku mnaanzisha mada ya huyu Jiwe wenyewe mkielezwa mnakuwa wakali kama mbogo, unampa utukufu mtu asiye staili ndiyo maana mnateseka.

Kweli hali ni ngumu lakini haiondoi kusema huyu bwana alikuwa muovu kwa kiwango kikubwa sana.
 
Tuhuma bila ushahidi ni uzushi
Ndiyo maana nikasema hamjui kitu, kaaeni kimya nyie Sukuma Gang.

Hizi sio zama zenu tena za kutishana na kuumizana, mkae kwa kutulia tu
 
legacy ya marehemu haitetewi na mtu bali hujutetea yenyewe, mtu yeyote anayetetea megacy ya marehemu ni mpumbavu na hawezi kuungwa mkono na mtu yeyote mwenye akili timamu isipokuwa wapumbavu wenzake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…