Ngengemkenilomolomo
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 316
- 549
Kwani unalazimishwa kuwapenda mastaa?? Mastaa wako kazini kutafuta pesa, wewe unataka nao waingie kwenye upumbavu wenu wa kutukana Serikali?? Acheni kuwapangia watu vitu vya kufanyaWakuu
Nathibitisha kauli hii kwa kiangalia kinachoendelea kwa missgland
Tunaonesha ushirikiano na upendo wa hali ya juu sana lakin bahati mbaya hawa mastaa tunaowaonesha upendo tukipata shida hawasimami kabisa na sisi,timu za mpira tunazozichangia mpk faini tukipata matatizo hawasimami kabsa na sisi wala kuwa upande wetu
Kutoka ndani ya moyo wangu nataman sana hyo tuzo ya missgland iende Ecuador tuu
Those celebrities hawajali kabisa kuhusu sisi
Ni nan kaitukana serikal we dadaKwani unalazimishwa kuwapenda mastaa?? Mastaa wako kazini kutafuta pesa, wewe unataka nao waingie kwenye upumbavu wenu wa kutukana Serikali?? Acheni kuwapangia watu vitu vya kufanya
Wewe acha kufuatilia sanaa zao, period
ok.🐒Wakuu
Nathibitisha kauli hii kwa kiangalia kinachoendelea kwa missgland
Tunaonesha ushirikiano na upendo wa hali ya juu sana lakin bahati mbaya hawa mastaa tunaowaonesha upendo tukipata shida hawasimami kabisa na sisi,timu za mpira tunazozichangia mpk faini tukipata matatizo hawasimami kabsa na sisi wala kuwa upande wetu
Kutoka ndani ya moyo wangu nataman sana hyo tuzo ya missgland iende Ecuador tuu
Those celebrities hawajali kabisa kuhusu sisi
Ni Miss Grand sio miss gland, cha kwanzaWakuu
Nathibitisha kauli hii kwa kiangalia kinachoendelea kwa missgland
Tunaonesha ushirikiano na upendo wa hali ya juu sana lakin bahati mbaya hawa mastaa tunaowaonesha upendo tukipata shida hawasimami kabisa na sisi,timu za mpira tunazozichangia mpk faini tukipata matatizo hawasimami kabsa na sisi wala kuwa upande wetu
Kutoka ndani ya moyo wangu nataman sana hyo tuzo ya missgland iende Ecuador tuu
Those celebrities hawajali kabisa kuhusu sisi
Wameshikiliwa akilia na Mange Kimambi haoKwani unalazimishwa kuwapenda mastaa?? Mastaa wako kazini kutafuta pesa, wewe unataka nao waingie kwenye upumbavu wenu wa kutukana Serikali?? Acheni kuwapangia watu vitu vya kufanya
Wewe acha kufuatilia sanaa zao, period
Mange Kimambi alishawaambia msiwafatilieWakuu
Nathibitisha kauli hii kwa kiangalia kinachoendelea kwa missgland
Tunaonesha ushirikiano na upendo wa hali ya juu sana lakin bahati mbaya hawa mastaa tunaowaonesha upendo tukipata shida hawasimami kabisa na sisi,timu za mpira tunazozichangia mpk faini tukipata matatizo hawasimami kabsa na sisi wala kuwa upande wetu
Kutoka ndani ya moyo wangu nataman sana hyo tuzo ya missgland iende Ecuador tuu
Those celebrities hawajali kabisa kuhusu sisi
Ukweli mchungu huuKwani unalazimishwa kuwapenda mastaa?? Mastaa wako kazini kutafuta pesa, wewe unataka nao waingie kwenye upumbavu wenu wa kutukana Serikali?? Acheni kuwapangia watu vitu vya kufanya
Wewe acha kufuatilia sanaa zao, period
Habari mbaya kwa mleta madaWakuu
Nathibitisha kauli hii kwa kiangalia kinachoendelea kwa missgland
Tunaonesha ushirikiano na upendo wa hali ya juu sana lakin bahati mbaya hawa mastaa tunaowaonesha upendo tukipata shida hawasimami kabisa na sisi,timu za mpira tunazozichangia mpk faini tukipata matatizo hawasimami kabsa na sisi wala kuwa upande wetu
Kutoka ndani ya moyo wangu nataman sana hyo tuzo ya missgland iende Ecuador tuu
Those celebrities hawajali kabisa kuhusu sisi
Nyie si wajinga Tu?Wakuu