Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa vile awamu hii imejipambanua kwa sera ya viwanda, nilitegemea kuona serikali ya Tanzania ikiwawezesha wawekezaji wa ndani na wa nje kuanzisha viwanda vya aina hii.
Pamoja na vurugu zao wenzetu wakenya wameweza vipi, kwa nini sisi tuendelee kujidanganya na kuwadanganya wananchi kuwa ukiwa na vyerehani vinne ndiyo maendeleo ya viwanda.
View attachment 738075 View attachment 738076 View attachment 738077 View attachment 738078 View attachment 738079
Uwepo wa wawekezaji sio tiketi ya kuaga umaskini. Umaskini unaondoka kwa namna ulivyotumia uwepo wa hao wawekezaji. Viwanda kama hivyo vikija hapa still bado maskini wataendelea kuwepo tu. Hata nchi ambazo hao wawekezaji wanatoka maskini wapo.These companies have been in Kenya but have never uplifted poor kenyans.
Look at the many coffee and tea estates that occupy most fertile kenya land owned by Britain which repatriate profits leaving kenyans poor
Hii ni mada ya viwanda.Endelea kusifia hao waliomzuia Miguna asikanyage Kenya
Danganya wengine, hata hiyo dangote imesitisha uzalishaji.Hizi assembly plant zote hazizidi uwekezaji wa plant moja ya Dangote! #a fact#
View attachment 738151 View attachment 738150 View attachment 738149 View attachment 738148 View attachment 738147 Embu fanyeni kuswipe muone matusi ya wakenya. Huku kwetu tunapigiwa kelele za viwanda usiku na mchana alafu viwanda vinafunguliwa Kenya. Kenya na mavurugu yao yoooote ya uchaguzi Ila wawekezaji wanaona bora wakafungue maviwanda Kenya kuliko TZ tunapojifanya tuna amani. Kama amani ndio kila kitu Kenya na Tz Wapi kuna amani? Mbona wawekezaje wanachagua huko kusikokuwa na amani wanatuacha sisi mabingwa wa amani?? Tatizo ni moja tu Nani akawekeze kwenye nchi yenye rais kichaa aisie eleweka kesho ataamkaje na kuamua kukamata makontena yao bandarini na kuwadai matrilioni ya kodi?? Nani aje kuwekeza kwenye nchi ambayo hawachelewi kuitwa majizi?? Tatizo ni tuna Rais kichaa.
.
.
.
Nimewaza hivi siku kiwanda kimoja tu kikubwa kama hivi vinavyofunguliwa Kenya kingefunguliwa TZ, uwiiiiiiiiiiiii mama yangu nahisi nchi ingesimama mwezi mzima. Uwiiiiiii tungetangaziwaaaaaaaaaaaaaaaa mpaka tukome.Mpaka watoto waliondani ya matumbo ya mama zao wangesikia matangazo ya Rais kuleta kiwanda cha Nissan Tanzania.... Siku ya ufunguzi ndo angechamba mpaka. Maana sasa hivi anaenda kuzindua UKUTA ila tunaonyeshwa live na mineno inamtoka utasema kalewa sasa imagine siku alete moja tu ya viwanda hivi vilivyoko Kenya si ataharisha??
Watuambie na taxi holiday incentIves walizotoa! All of them hawatalipa kodi kwa miaka kati yards 15 mpaka 30. Magufuli asiruhusu magari haya yauzwe Tanzania maana kuna makampuni yamekubali kuwekeza na yatalipa kodi.
Hizi assembly plant zote hazizidi uwekezaji wa plant moja ya Dangote! #a fact#
Wacha kudanganya watu mchana. Kiwanda cha Peaugeot ishaanza kazi hapa Kenya. Pia kwa habari yako, Volkwagen golf pia inakuwa assembled hapa Kenya.Nina jambo, NDIYO MAMBO kadhaa ya kuongea.
Mosi maelezo YAKO yameegemea upande wa dhidi ya serikali. Hata hujaja na empirical evidence kuonesha kabla ya kuanza kwa sera ya viwanda, kuna viwanda vingapi vilijengwa kwa mwaka, na baada ya sera ya viwanda, vimejengwa vingapi kwa mwaka?
Pili hizo picha kwa ajili ya makampuni hayo makubwa nchini Kenya kuanzisha viwanda ni mipango tu, hakuna HATA kiwanda kimoja kilichofunguliwa hiyo ni mipango kama vile nasi tulivyo na mipango ya KUJENGA kiwanda cha kuchakata gesi asili KUWA LG. Hiyo ni mipango tu. Na vile kwa SASA kuna sera nzuri ya viwanda tutapata wawekezaji wengi tu.
Na hilo limejidhihirisha wazi kabisa, MAANA Tanzania inaongoza kwa FDI Afrika Mashariki.
Mtu akishashindwa kudebate anaanzaga kufukiria hivi. Pole sanaHizi assembly plant zote hazizidi uwekezaji wa plant moja ya Dangote! #a fact#
Mzeeia, natamani ningeishi kwenye dunia unayoishi.Nina jambo, NDIYO MAMBO kadhaa ya kuongea.
Mosi maelezo YAKO yameegemea upande wa dhidi ya serikali. Hata hujaja na empirical evidence kuonesha kabla ya kuanza kwa sera ya viwanda, kuna viwanda vingapi vilijengwa kwa mwaka, na baada ya sera ya viwanda, vimejengwa vingapi kwa mwaka?
Pili hizo picha kwa ajili ya makampuni hayo makubwa nchini Kenya kuanzisha viwanda ni mipango tu, hakuna HATA kiwanda kimoja kilichofunguliwa hiyo ni mipango kama vile nasi tulivyo na mipango ya KUJENGA kiwanda cha kuchakata gesi asili KUWA LG. Hiyo ni mipango tu. Na vile kwa SASA kuna sera nzuri ya viwanda tutapata wawekezaji wengi tu.
Na hilo limejidhihirisha wazi kabisa, MAANA Tanzania inaongoza kwa FDI Afrika Mashariki.
Danganya wengine, hata hiyo dangote imesitisha uzalishaji.
Kwa vile awamu hii imejipambanua kwa sera ya viwanda, nilitegemea kuona serikali ya Tanzania ikiwawezesha wawekezaji wa ndani na wa nje kuanzisha viwanda vya aina hii.
Pamoja na vurugu zao wenzetu wakenya wameweza vipi, kwa nini sisi tuendelee kujidanganya na kuwadanganya wananchi kuwa ukiwa na vyerehani vinne ndiyo maendeleo ya viwanda.
View attachment 738075 View attachment 738076 View attachment 738077 View attachment 738078 View attachment 738079
Mzeeia, natamani ningeishi kwenye dunia unayoishi.
If you are importing parts instead of the whole car, you are still importing something, so how is that import substitution?Those are more or less like import substitution industries. Instead of importing Yu Tong, you import its parts.
Wacha kudanganya watu mchana. Kiwanda cha Peaugeot ishaanza kazi hapa Kenya. Pia kwa habari yako, Volkwagen golf pia inakuwa assembled hapa Kenya.