Watanzania tunaimba viwanda mdomoni, Kenya wanajenga viwanda

Huwezi juwa miundombinu Yao inaruhusu uwekezaji tofauti na kwetu mjini barabara mbovu mawaziri wamekaa miguu juu wanakula bata sasa hivi Ndio wameamka hivi vitu hawajaanza leo na kiwanda huwezi amka ukaanza kujenga tu ni long term plan
 
Napenda nimuombe rais wetu atoke nje kuzungumza na wenye makampuni makubwa,nimeona makampuni makubwa ya magari yenye mpango wa kuwekeza kenya mpaka nimeogopa,hadi inanıuma.
Wawekezaji wakubwa kama hao hawaji tu lazima tuwafate hukohuko kwao.Mh Kikwete kwa ushawishi ALIKUWA anaweza.
Mara kibao nimeona watz wakimponda sana rais Uhuru Kenyatta kila anapokuwa kwenye ziara zake za kikazi. Uwekezaji wa aina hii kamwe hutokuja ukupate sebuleni ukila mahamri.
 
Tanzania investors wataongea nanyi lugha ipi?Si mtapigwa chenga kwenye drafting contracts hohoho,manake kiingereza kimeshawapiga chenga,huku kenya tumejanjaruka kwa ukwasi wa kujua kila neno la kiingereza na pia tuna ujanja mwingi kupindukia!
 
If you are importing parts instead of the whole car, you are still importing something, so how is that import substitution?
Instead of importing car you import parts which is very (cost) effective. This is why they preferred to go for parts rather than the whole Yu Tong.
 
Tanzania investors wataongea nanyi lugha ipi?Si mtapigwa chenga kwenye drafting contracts hohoho,manake kiingereza kimeshawapiga chenga,huku kenya tumejanjaruka kwa ukwasi wa kujua kila neno la kiingereza na pia tuna ujanja mwingi kupindukia!

Mbona waChina ambao hawajui HATA neno moja la kiingereza wamewaliza kwenye SGR.
Ahaaa haaa haaa
 
Niko hapa hapa duniani.

Lakini bado unaishi 'dunia' nyingine, tofauti na ninayoishi.

Ile tunachotofautiana ni mtazamo tu.

Kweli kabisa. Ndiyo maana nakuona upo delusional. Kutofautiana mitazamo hakuna shida. Ila mtu akiwa delusional, kama mlivyo pro-Magufuli na pro-CCM government, basi ni tatizo. Huu ni mtazamo wangu tu.

You are seeing a lot of challenges and I see a lot of opportunities.

Dude, if you don't see them PROBLEMS (and not challenges as you say), then you are proving my above point.
Bruv, CCM has RULED this country since Uhuru. And for 56+ years, I have seen nothing but absolute poverty, miseries, crooks and corrupt politicians ripping off our country. Now, we are even in the worst case, under this maniac of a president. But, some people like you, see this cuckoo as messiah!!!

But, hey, if you are rolling with them crook CCM politicians, you can definitely see A LOT OF OPPORTUNITIES. As bunch of you are just OPPORTUNISTS. Riding with any of the CCM crooks when they are in power. Way to go bruv.
 
HUKO KENYA UMEWAHI KUSIKIA RAIS NA MAKAMU WAKE AU WAZIRI WA VIWANDA WAKISEMA NA KUTANGAZA KILA WANAPOZUNGUKA NA KILA SIKU ETI KUWA WANATAKA NCHI IWE YA VIWANDA, UMEWAHI SIKIA HAYO MANENO KUTOKA KWAO? WAKO BUZY NA MENGINE HAYO YA VIWANDA YANAKUJA TU YENYEWE AUTOMATICALLY NA NI KWANINI NIWAIBIE SIRI, SERA ZAO, MIPANGILIO YA KODI NA TREATMENT WANAYOWAPA WAWEKEZAJI WANAYAFURAHIA SI VINGINEVYO ASIKUDANGANYE MTU.
 
Mbona waChina ambao hawajui HATA neno moja la kiingereza wamewaliza kwenye SGR.
Ahaaa haaa haaa
Wewe cheka tu. Lakini congratulations kwenye kinyerezi 167 MW power plant. Nafurahi kuone East Africa ikisonga mbele. Mbona watanzania hamjaleta thread ya kinyerezi?
 
Huwezi juwa miundombinu Yao inaruhusu uwekezaji tofauti na kwetu mjini barabara mbovu mawaziri wamekaa miguu juu wanakula bata sasa hivi Ndio wameamka hivi vitu hawajaanza leo na kiwanda huwezi amka ukaanza kujenga tu ni long term plan
No no no Dada ,tatizo letu kubwa tz ni kutoheshimu mikataba@ Acacia.

Huwezi amini wawekezaji wanaambiana sana,ukimfanyia mmoja taalifa zinawafikia wengi sana,honest mwekezaji sana sana anapenda sehemu yenye utawala wa Sheria Na kuheshimu mikataba.it's very risk to invest somewhere were there z no security
 
Dah balaa wapo vizur

Nahisi bongo tatizo nishat
Matatizo sio nishati,Matatizo wawekezaji hawaiamini Tanzania,Tanzania sio sehemu salama kwa kuwekeza,tizama yaliyomkuta Dangote,...

Siasa anazoleta Magufuli zimepitwa na wakati,siasa za kufunga na kungua wapinzani,leo mpizani huyu yuko sero,leo yule yuko Polisi,Jana mwandishi huyu kaokotwa nk,unafikiri nchi za wawekezaji hawazioni hizi habari!??..

Unafikria kwanini Uhuru Kenyata ameamua kuyamaliza na Odinga,Uhuru na Odiga wameamua kukaaa mezani kuyamaliza ili waiendeleze nchi yao,!!

Kwetu Tanzania ndio kwanza Raisi anapiga vijembe watanzania wenye mawazo mengine ya kuongoza,badala ya kukaa na vyama vya upinzani kutatatua tafauti zao il tuijenge nchi yetu yeye ndio kwanza anafanya kila mbinu kuviua vyama vya upinzani!!,..

unafikiri haya yote hayaonekani!??unafikiri nani atakuja kuwekeza katika nchi kama Tanzania!!??
 
Lakini bado unaishi 'dunia' nyingine, tofauti na ninayoishi.

Kweli kabisa. Ndiyo maana nakuona upo delusional. Kutofautiana mitazamo hakuna shida. Ila mtu akiwa delusional, kama mlivyo pro-Magufuli na pro-CCM government, basi ni tatizo. Huu ni mtazamo wangu tu.

Dude, if you don't see them PROBLEMS (and not challenges as you say), then you are proving my above point.
Bruv, CCM has RULED this country since Uhuru. And for 56+ years, I have seen nothing but absolute poverty, miseries, crooks and corrupt politicians ripping off our country. Now, we are even in the worst case, under this maniac of a president. But, some people like you, see this cuckoo as messiah!!!

But, hey, if you are rolling with them crook CCM politicians, you can definitely see A LOT OF OPPORTUNITIES. As bunch of you are just OPPORTUNISTS. Riding with any of the CCM crooks when they are in power. Way to go bruv.

Usiichukie CCM iliyoanzishwa na waasisi wake makini. Chama kilikuwa na katiba bora ambayo iliposomwa sambamba na AZIMIO LAZIMA ARUSHA ilitoa muongozo bora kabisa kwa NCHI. NCHI ilikuwa na muelekeo. Lkn baadaye tukavulugwa na kukosa muelekeo. Mfano mzuri ni China ambayo imeshikilia mifumo yake bila kukengeuka, ndiyo MAANA ipo hapo ilipofikia.
 
Yaani huwa nawashangaa sana vijana wanaokuja na cheap propaganda dhidi ya Nchi yetu.
Vijana wengi wa Kenya siku hizi wanajifanya watanzania
Hebu ngoja nikupatie viwanda vilivyojengwa awamu ya tano mkoa wa pwani:-

1. Tywford Tiles (Chalinze)
2. Goodwill Ceramic (Mkuranga)
3. Kiluwa Steel Industries Ltd
4. Bakhresa Food Product Ltd (Mkuranga)
5. Elyven Agric Co. Ltd (Bagamoyo)
6. Sayona Fruits Ltd (Mboga Pwani)
7. KEDS Tanzania Co. Ltd (Kibaha Pwani)
8. Blanket&Textile Manufacturing Co.Ltd-Kiguza
9. Knauf Gypsum Ltd-Kisemvule

Kwa kukusaidia zaidi wewe uliye mvivu wa kufanya utafiti huku ukichafua watu, tembelea hapa:

http://pwani.go.tz/storage/app/uploads/public/58d/a0f/987/58da0f9877ad3735577342.pdf
 
Viwanda si vya kwao si nashangaa vinatuhusu nini sisi
 
Lakini bado unaishi 'dunia' nyingine, tofauti na ninayoishi.

Kweli kabisa. Ndiyo maana nakuona upo delusional. Kutofautiana mitazamo hakuna shida. Ila mtu akiwa delusional, kama mlivyo pro-Magufuli na pro-CCM government, basi ni tatizo. Huu ni mtazamo wangu tu.

Dude, if you don't see them PROBLEMS (and not challenges as you say), then you are proving my above point.
Bruv, CCM has RULED this country since Uhuru. And for 56+ years, I have seen nothing but absolute poverty, miseries, crooks and corrupt politicians ripping off our country. Now, we are even in the worst case, under this maniac of a president. But, some people like you, see this cuckoo as messiah!!!

But, hey, if you are rolling with them crook CCM politicians, you can definitely see A LOT OF OPPORTUNITIES. As bunch of you are just OPPORTUNISTS. Riding with any of the CCM crooks when they are in power. Way to go bruv.
Rafiki mihemko yako ya kisiasa peleka kwenye jukwaa la siasa. Sisi tunajua siasa sana. Huwa ninawaangalia vijana kama wewe naishia kuwacheka tu. Yaani ni wafinyu wa mawazo kabisa. Ndani ya vichwa vyenu mmejaza mihemko na ujinga tu.

Siasa siyo kutukana watu, Siasa siyo kulialia ili upate huruma. Siasa process na vision.
Ninavyokutazama mwenzetu hujui hata historia ya Tanzania. Sitaki kukuambia uende ukasome bali ninakuacha tu ukae na ujinga wako. Tafuta kuijua Tanzania imepitia katika misukosuko ipi ya kiuchumi. Tafuta kujua Tanzania imewahi kuwekewa embargo mara ngapi kutoka na sera zake za kijamaa.

Nataka nikushauri tu kwamba kama hujui kitu usikurupuke, huku ukitumia mihemko ya kitoto iliyojaa chuki na dhuruma.
Tanzania ni kati ya nchi duniani zilizo na sera nzuri za matumizi ya ardhi.

Halafu nakushangaa sana unaongelea CCM ipo na miaka 56+ nani unamdanganya hivyo? CCM imeanzishwa mwaka 1977. Hii ni kudhihirisha namna ulivyo empty kichwani unarukia rukia tu mambo.

Halafu mwenzetu hujui kuwa Tanzania miaka ya 1978 iliingia vitani?
Mwenzetu hujui miaka ya 80s nchi yetu iliwekewa vikwanzo vya kiuchumu na IMF? Nakuona mwenzetu huijui hata Tanzania halafu unajifanya kuwa eti wewe ni TZ!? Stupidy boy. Leta vitu vyenye facts.
Halafu sisi watanzania huwa hatutumii kingereza. Nakushangaa kijana unanieleza kwa kingereza, hii inamanisha kuwa huwezi kujieleza kwa kiswahili so wewe siyo Mtanzania.
 
Matatizo sio nishati,Matatizo wawekezaji hawaiamini Tanzania,Tanzania sio sehemu salama kwa kuwekeza,tizama yaliyomkuta Dangote,...

Siasa anazoleta Magufuli zimepitwa na wakati,siasa za kufunga na kungua wapinzani,leo mpizani huyu yuko sero,leo yule yuko Polisi,Jana mwandishi huyu kaokotwa nk,unafikiri nchi za wawekezaji hawazioni hizi habari!??..

Unafikria kwanini Uhuru Kenyata ameamua kuyamaliza na Odinga,Uhuru na Odiga wameamua kukaaa mezani kuyamaliza ili waiendeleze nchi yao,!!

Kwetu Tanzania ndio kwanza Raisi anapiga vijembe watanzania wenye mawazo mengine ya kuongoza,badala ya kukaa na vyama vya upinzani kutatatua tafauti zao il tuijenge nchi yetu yeye ndio kwanza anafanya kila mbinu kuviua vyama vya upinzani!!,..

unafikiri haya yote hayaonekani!??unafikiri nani atakuja kuwekeza katika nchi kama Tanzania!!??
Ndiyo mambo haya sasa ya kukurupuka tu bila kufanya utafiti. Hivi wewe maneno ya kusema wawekezaji hawaiamini Tanzania umeyatoa wapi?
Watafiti wa kimataifa wameeleza tanzania inaongoza kwenye FDI (Foreign direct investment) Hapa East Africa.
Sasa wewe kajamba nani umekaa kwenye kochi la shemeji yako ukisubiri dada yako alete msosi ule utajulia wapi?
 
Usiichukie CCM iliyoanzishwa na waasisi wake makini. Chama kilikuwa na katiba bora ambayo iliposomwa sambamba na AZIMIO LAZIMA ARUSHA ilitoa muongozo bora kabisa kwa NCHI. NCHI ilikuwa na muelekeo. Lkn baadaye tukavulugwa na kukosa muelekeo. Mfano mzuri ni China ambayo imeshikilia mifumo yake bila kukengeuka, ndiyo MAANA ipo hapo ilipofikia.

Mimi siongelei CCM ya Nyerere. Ninaongelea post-Nyerere CCM. Hii ndiyo kansa ya taifa letu.
Umesema vizuri kuhusu China. Hivi unajua China na Tanzania zilikuwa kwenye viwango sawa vya umaskini in the 1950-1970s? Lakini leo hii, China inaisaidia Tanzania, huku Tanzania ikiendelea kuwa maskini.

Walioshiriki kuivuruga nchi hii, mmoja ndiyo yupo Ikulu leo, huku wengine tukiambiwa tuwaache kuwasema. Halafu mtu unakuwa shabiki wa CCM na viongozi wake.
 
Ndiyo mambo haya sasa ya kukurupuka tu bila kufanya utafiti. Hivi wewe maneno ya kusema wawekezaji hawaiamini Tanzania umeyatoa wapi?
Watafiti wa kimataifa wameeleza tanzania inaongoza kwenye FDI (Foreign direct investment) Hapa East Africa.
Sasa wewe kajamba nani umekaa kwenye kochi la shemeji yako ukisubiri dada yako alete msosi ule utajulia wapi?
FDI (Foreign direct investment) nitajie moja Mkuu,,,😎
 
Mimi siongelei CCM ya Nyerere. Ninaongelea post-Nyerere CCM. Hii ndiyo kansa ya taifa letu.
Umesema vizuri kuhusu China. Hivi unajua China na Tanzania zilikuwa kwenye viwango sawa vya umaskini in the 1950-1970s? Lakini leo hii, China inaisaidia Tanzania, huku Tanzania ikiendelea kuwa maskini.

Walioshiriki kuivuruga nchi hii, mmoja ndiyo yupo Ikulu leo, huku wengine tukiambiwa tuwaache kuwasema. Halafu mtu unakuwa shabiki wa CCM na viongozi wake.

Nimekueleza nenda kwanza kajifunze khusu Nchi ya Tanzania. Unaropoka ropoka tu kuhusu CCM? Unaijua CCM wewe?
Si ndio hao hao akina Maalim Seif Sharif Hamad walikuwa wanaihujumu wakafukuzwa na sasa wapo CUF?
Hao hao akina Lowassa walikuwa wakikihujumu chama sasa hivi ndiyo wamilk wa CHADEMA.

Halafu wewe mwenzetu unaongelea CCM ipi? CCM imeanzishwa mwaka 1977 kabla ya hapo kulikuwa na ASP na TANU.

Hivi wewe tangu mfumo wa vyama vya siasa vianze niambie hvyo vyama vya siasa vimefanya nini ndani? Aaidi ya kuturudisha nyuma tu. Tangu 1992 vijana wa BAVICHA mmefanya nini? Zaidi ya kuzalisha wapiga matusi kwenye mitandao kama wewe. Hamko na information mnachukua chukua tu vitu vichache?
Hapo ulipo huenda unatumiwa na adui wa nchi yetu kwa kujua au kutokujua.
Jipange dogo uje vizuri. Zaidi sana utaonekana hopeless kwa watu wenye akili. Siasa ndugu tunazijua sana ndiyo maana nchi hii ipo na amani mpaka leo. Zaidi mtaendelea kubweka bweka tu bila hata impact maana we know you more than the way you think.
 
Back
Top Bottom