Watanzania tunaimba viwanda mdomoni, Kenya wanajenga viwanda

Sio mbaya mpaka amalize miaka mitano tutakuwa na Viwanda vya sukari guru
 

Nina jambo, NDIYO MAMBO kadhaa ya kuongea.

Mosi maelezo YAKO yameegemea upande wa dhidi ya serikali. Hata hujaja na empirical evidence kuonesha kabla ya kuanza kwa sera ya viwanda, kuna viwanda vingapi vilijengwa kwa mwaka, na baada ya sera ya viwanda, vimejengwa vingapi kwa mwaka?

Pili hizo picha kwa ajili ya makampuni hayo makubwa nchini Kenya kuanzisha viwanda ni mipango tu, hakuna HATA kiwanda kimoja kilichofunguliwa hiyo ni mipango kama vile nasi tulivyo na mipango ya KUJENGA kiwanda cha kuchakata gesi asili KUWA LG. Hiyo ni mipango tu. Na vile kwa SASA kuna sera nzuri ya viwanda tutapata wawekezaji wengi tu.
Na hilo limejidhihirisha wazi kabisa, MAANA Tanzania inaongoza kwa FDI Afrika Mashariki.
 
These companies have been in Kenya but have never uplifted poor kenyans.

Look at the many coffee and tea estates that occupy most fertile kenya land owned by Britain which repatriate profits leaving kenyans poor
Uwepo wa wawekezaji sio tiketi ya kuaga umaskini. Umaskini unaondoka kwa namna ulivyotumia uwepo wa hao wawekezaji. Viwanda kama hivyo vikija hapa still bado maskini wataendelea kuwepo tu. Hata nchi ambazo hao wawekezaji wanatoka maskini wapo.
 

Jamani kwenye jukwaa hili la Afrika Mashariki hatuongozwi na mihemko. Tunaongozwa na facts and figures. Umetoa maelezo mengi na simulizi nzuri SANA lkn huna empirical evidence kuonesha FDI ya NCHI hizi kwa kipindi cha miaka mitatu iliyopita. Hapo ndiyo utajua NCHI gani wageni wanawekeza kwa wingi. Lkn vinginevyo ni porojo za kijiweni tu.
 
Watuambie na taxi holiday incentIves walizotoa! All of them hawatalipa kodi kwa miaka kati yards 15 mpaka 30. Magufuli asiruhusu magari haya yauzwe Tanzania maana kuna makampuni yamekubali kuwekeza na yatalipa kodi.

Lingine hawajui ya KUWA tunaongoza kwa kuwa na FDI kubwa katika ukanda huu.
 
Napenda nimuombe rais wetu atoke nje kuzungumza na wenye makampuni makubwa,nimeona makampuni makubwa ya magari yenye mpango wa kuwekeza kenya mpaka nimeogopa,hadi inanıuma.
Wawekezaji wakubwa kama hao hawaji tu lazima tuwafate hukohuko kwao.Mh Kikwete kwa ushawishi ALIKUWA anaweza.
 
Wacha kudanganya watu mchana. Kiwanda cha Peaugeot ishaanza kazi hapa Kenya. Pia kwa habari yako, Volkwagen golf pia inakuwa assembled hapa Kenya.
 
Mzeeia, natamani ningeishi kwenye dunia unayoishi.
 
Danganya wengine, hata hiyo dangote imesitisha uzalishaji.

Wewe Dangote alifungua heavy industry. The industry that produces raw materials of other industries. Hiyo kufunga ni temporally. In no time the production will resume.

Again the assembly factories are less expensive than motor vehicle parts manufacturering industries. These are heavy metallurgical industries which use raw materials FROM nature. They actually need a lot of power, capital intensively, technical capacity, etc
 


Labda Kenya hamna snitches kama chadema wanaokesha kuombea nchi yetu matatizo, who knows?
 
Mzeeia, natamani ningeishi kwenye dunia unayoishi.

Niko hapa hapa duniani. Ile tunachotofautiana ni mtazamo tu. You are seeing a lot of challenges and I see a lot of opportunities.
 
Reactions: Oii
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…